Hiyo Einstein's relativity nilishasoma hiyo
nimeuliza vitu ambavyo havionekani hata kwa hiyo mantiki vyenyewe tunasemaje?
Nina mashaka kama umesoma, ama kama umesoma umeelewa, au kama ulielewa bado unakumbuka relativity.
Halafu swali lako hapa linaonyesha hata mimi hujanielewa, na labda huwezi kunielewa. Labda kwa sababu huna msingi mzuri wa uelewa wa the basics of Einstein's relativity.
Usipoelewa the basics of Einstein's relativity, ku grasp concept ya kwamba hatuoni vitu kama vilivyo sasa (indeed "sasa" is highly subjective as to make it meaningless outside of a relativistic franework, but that is adding complications to a concepts whose basics are not understood) , bali kama vilivyokuwa muda uliopita, ni vigumu sana.
Ukielewa the basics of Einstein's relativity, kuelewa hili ni rahisi sana.
Nilichokwambia ni kimsingi kwamba hakuna kinachoonekana directly, tunaona effects tu. Nimeelezea vizuri habari za photon, speed of light and why direct observation is impossible due to the speed of light limit. Make that "universal speed limit". At least in the context of carrying information, far removed from any "spooky action at a distance" phenomena.
Hapo hapo unaniuliza upepo, O2 na infrared inayitoka kwenye remote inaonekana?
Mimi nakwambia tai zangu zote ni za bluu, sina tai nyekundu.
Wewe unaniyliza "hata tai zako za kwendea kazini ni nyekundu?".
Nishakwambia sina tai nyekundu, kwa nini unauliza kama tai za kazini ni nyekundu?
Nishakwambia hakuna kinachoonekana directly, kila tunachoona tunaona effect tu, kwa sababu nikizozitaja hapo juu.
Halafu wewe bado unaniuliza kama upepo , O2 na infrared vinaonekana!