Kuna muda wanakuwa na akili nyingii ila kuna muda anakuwa ni kilazaKwanin wanaitwa hivyo Mkuu
Elezea kiufupi
Ahaa, kwa ulivyamalizia inaonesha ni watu wenye bad personality kimtindoHawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
Mbn kama unanisema mm mkuu hapaHawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
KumbeKuna muda wanakuwa na akili nyingii ila kuna muda anakuwa ni kilaza
Inawezekana MkuuKwamba una tabia za ubinafsi?
HahahahahaYaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wana ego sana nk
Ni mfano tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wana ego sana nk
Ni mfano tu