Complex person ni mtu gani?

Complex person ni mtu gani?

Habari Wanabodi

Nimeona quotes mbalimbali kuhusu complex person, je hawa ni watu wenye traits zipi?

Je umeshawahi washuhudia? Inasemekana ni watu wenye kuvutia at the same time ni dangerous people.

Ni watu vigumu kusomeka na kutabirika, ni watu wasiotabirika kifikra, kimaamuzi na kivinginevyo

Je, unajua nini kuhusu watu hawa, Je umeshawahi washuhudia? Toa experience yako

JF, home of Tanzanians great thinkers!

View attachment 2797692
"Complexity" ni vitu vya kusadikika. Wanasema anaemuona mwenzake ana "complex" fulani basi naye pia ana "complex".

Kumuona mwengine anafanya mengine au anaongea mengine au namna zake unamuona zipo kinyume na ufanyavyo wewe.
 
Back
Top Bottom