Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.