Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kabisa kabisa[emoji23][emoji23]
Kwamba mshikaji amepita mulemule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa[emoji23][emoji23]
Kwamba mshikaji amepita mulemule?
Salute,Complex Person ni yule mtu ambae unazani unamjua kwa undani kumbe haujui kitu chochote kuhusu yeye na mwisho wa siku utabaki unashangaa tu na usimuelewe ... Ni watu ambao hawatabiriki na mara nyingi wanakuwa wasiri mno
Kila anachokifanya complex person kinaleta majibu ya kushangaza either in positive or negative ways
Complex people are curious, intelligent, and imaginative people who generally think outside of the box.
Nimekupata vyema MkuuWatu wenye tabia ngumu wanaweza kuonyesha tabia tofauti, kulingana na sababu tofauti kama vile tabia za kibinafsi, uzoefu, maadili, utamaduni, na mazingira ya kijamii. Baadhi ya tabia za kawaida za watu wenye tabia ngumu ni pamoja na:
1. Uwezo wa kufikiria kwa kina: Watu wenye tabia ngumu mara nyingi hufikiria kwa kina na kwa uangalifu kuhusu masuala na hali tofauti. Wao hulenga kuuliza maswali, kutafuta mtazamo tofauti, na kuchambua data ngumu kabla ya kufanya maamuzi.
2. Uwezo wa kuelewa hisia: Watu wenye tabia ngumu wanaweza kuelewa na kudhibiti hisia zao vizuri na wanaweza kuhisi hisia za watu wengine. Mara nyingi wana akili ya kujitambua na udhibiti wa hisia.
3. Uwezo wa kubadilika: Watu wenye tabia ngumu ni wepesi kubadilika na wako wazi kwa mabadiliko. Wanaweza kubadilisha mawazo yao, tabia na mipango kulingana na maelezo mapya na matukio yasiyotarajiwa.
4. Uwezo wa ubunifu: Watu wenye tabia ngumu mara nyingi wanayo ubunifu na wanaweza kufikiria nje ya sanduku. Wana uwezo wa kuunda wazo, mtazamo au suluhisho mpya na tofauti kwa masuala yanayowakabili.
5. Ujuzi wa kibinafsi: Watu wenye tabia ngumu wanaweza kuwasiliana kwa ufanisi, kushirikiana na kujenga mahusiano na watu mbalimbali. Wanaweza kuajiri na kupatanisha kwa amani.
6. Azimio: Watu wenye tabia ngumu wana ndoto ya mafanikio, ukuaji wa kibinafsi, na kufanikiwa kwenye maisha yao. Wanaweka malengo mazito na kufanya kazi ngumu ili kuyafikia, lakini pia wanatambua umuhimu wa uwiano katika maisha.
7. Uaminifu: Watu wenye tabia ngumu wanathamini uaminifu, usawa na uhalisia. Wana dira kuu na wanafanya kazi kwa maadili hata katika hali ngumu.
Kwa ujumla, watu wenye tabia ngumu wana mtindo wa utambuzi wa tabia ambao unawakilisha mkusanyiko wao wa kipekee wa sifa za kiakili, kihisia, kijamii na tabia. Wanaweza kuonyesha tabia tofauti kulingana na mazingira na hali wanazokabiliana nazo, lakini kwa ujumla wanakabiliwa na kiwango cha juu cha utata na ufinyanzi katika vitendo na maamuzi yao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna A very thin line btw complex person na mwezi mchanga,mtu amenuna ghafla anaanza kuangua kicheko Sasa kama hutatoka nduki unasubiri utambue nn mkuu?
Sahihi mkuuComplex Person ni yule mtu ambae unazani unamjua kwa undani kumbe haujui kitu chochote kuhusu yeye na mwisho wa siku utabaki unashangaa tu na usimuelewe ... Ni watu ambao hawatabiriki na mara nyingi wanakuwa wasiri mno
Kila anachokifanya complex person kinaleta majibu ya kushangaza either in positive or negative ways
Complex people are curious, intelligent, and imaginative people who generally think outside of the box.
Well said, Na wenye roho mbaya, chafu, visasi. (Wana visasi sababu hawapendi kuongea) Sehemu aliyotakiwa akuelekeze atachagua kukaa kimya na kukulipiza, hata kama ni kazi utashangaa next time paap haupo kwenye timu.Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
GOOD EXAMPLE IS TOMMY SHERBY ( PEAKY BLINDERS) [emoji1]Habari Wanabodi
Nimeona quotes mbalimbali kuhusu complex person, je hawa ni watu wenye traits zipi?
Je umeshawahi washuhudia? Inasemekana ni watu wenye kuvutia at the same time ni dangerous people.
Ni watu vigumu kusomeka na kutabirika, ni watu wasiotabirika kifikra, kimaamuzi na kivinginevyo
Je, unajua nini kuhusu watu hawa, Je umeshawahi washuhudia? Toa experience yako
JF, home of Tanzanians great thinkers!
View attachment 2797692
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Well said, Na wenye roho mbaya, chafu, visasi. (Wana visasi sababu hawapendi kuongea) Sehemu aliyotakiwa akuelekeze atachagua kukaa kimya na kukulipiza, hata kama ni kazi utashangaa next time paap haupo kwenye timu.
Perfectionists, kwa ujumla wana tabia mbovu.
😀😀😀😀Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana
Ni mfano tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna A very thin line btw complex person na mwezi mchanga,mtu amenuna ghafla anaanza kuangua kicheko Sasa kama hutatoka nduki unasubiri utambue nn mkuu?
Huu mwandiko umejaa hasiraWell said, Na wenye roho mbaya, chafu, visasi. (Wana visasi sababu hawapendi kuongea) Sehemu aliyotakiwa akuelekeze atachagua kukaa kimya na kukulipiza, hata kama ni kazi utashangaa next time paap haupo kwenye timu.
Perfectionists, kwa ujumla wana tabia mbovu.
Ofcourse, how can i entertain such kind of people, Siwapendi.
Ahsante kwa muongozo![]()
5 Traits of a Complex Person (and What It Really Means to Be One) - Learning Mind
What does it mean to be a complex person? Human beings are, by nature, extremely complex. We have the ability to think ahead, to dream, to love and to mourn the loss of loved ones.www.learning-mind.com