Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.Zina nini hizi?
Zina mikusanyiko, mikutano na makongamano ya kudai Katiba mpya.
 
Wanatafuta chain nzima ya keyboard warriors ambayo inaongozwa na kigogo, maria sarungi, fatma karume, beberu biden,tundu lisu,zito kabwe,lema, hilda na wengineo ambao wanaonekana kero kwa serikali ya ccm, pia polisi wanachokitafta ni data za hawa wapinzani wa ccm
 
Inatakiwa waweke password kila file.
Hamna kufungua labda waflashi simu nzima.

Ila hawa wapinzani wetu sijui kama wanajua hili. Nyumbani kwa Mbowe kwenyewe hata CCTV hamna, ameenda kusachiwa hakuna video yoyote kwenda kwa wanachama wake.
Dodoma hivyo nyumbani kwake hata CCTV hana walimpiga wakamvunja wakamuacha hapo.

Wapinzani wawe serious!
 
Mi najitolea kufunga cctv na mifumo mingine ya ulinzi kwa viongozi wa chama. Kwa anayehitani, just inbox
 
Simu zina data nyingi sana ambazo zinasaidia kufanya upelelezi. Contacts, sms, messages za whatsapp, viber, location data, call logs, picha, videos, bank account, na vingine vingi vinakuwepo ndani ya smartphone. Ukiipata simu ya mtu pamoja na laptop yake basi unaweza kujua mambo mengi sana. Ndiyo maana kama wengi wakiona karibu wanakamatwa, wanazivunja simu na laptop zao ili zisiwake tena.
 
Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.Zina nini hizi?
Ni kutafuta namna ya kubambika kesi
 
Polisi huwa wanapenda kuzikimbilia ili wapate makosa, wakikuta umepiga pic na mkeo chumbani wanakufungulia mashtaka.
 
Hitaji la Uhuru kamili Tz lipo kupitia Katiba bora.Kwa msaada wa tekinolojia na utayari na uelewa Watanzania unavyokua karibuni tutafika.Hakuna mwenye furaha hata wana CCM wenyewe,hata alienanafasi akiwemi c.man na rais wapowapo tu kwa hofu na unafiki.
 
Back
Top Bottom