orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Wameshindwa kufunga video conference wataweza kudukua?WanamaIT wao wataalamu hasa, yaani wanaifungua fasta tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshindwa kufunga video conference wataweza kudukua?WanamaIT wao wataalamu hasa, yaani wanaifungua fasta tu
Nyenzo za mawasiliano .. Lakini ni ushamba wa kizamani kwakuwa siku hizi technology imekua sanaNiliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.Zina nini hizi?
Mwaka 2016 FBI walishindwa ku-unlock iPhone ya mtuhumiwa wa ugaidi Syed Rizwan Farook, wakawataka Apple Inc waifungue na Apple wakagoma wakisema hata wao apple hawana uwezo huo, baadae FBI kukwepa aibu wakasema walikodi kampuni la ki-Israel na wakaifungua simu hiyo, jambo ambalo halikuwa kweli.WanamaIT wao wataalamu hasa, yaani wanaifungua fasta tu
Alivunjwa wapi wakati alikuwa ameanguka baada ya kulewa Maisha Club. Jibapa acha uongo.Inatakiwa waweke password kila file.
Hamna kufungua labda waflashi simu nzima.
Ila hawa wapinzani wetu sijui kama wanajua hili. Nyumbani kwa Mbowe kwenyewe hata CCTV hamna, ameenda kusachiwa hakuna video yoyote kwenda kwa wanachama wake.
Dodoma hivyo nyumbani kwake hata CCTV hana walimpiga wakamvunja wakamuacha hapo.
Wapinzani wawe serious!
Yani FBI unawachukuliaje mkuu. Kama Mexico, India na Kuwait zimeweza kuhack iPhone 12 yenye iOS latest kwa kutumia Pegasus spyware ya Israel sembuse FBI. Tena ni zero click inaingia file lolote na kutuma data zote SMS, call list, phone book, audio, video, photos, location, etc.Mwaka 2016 FBI walishindwa ku-unlock iPhone ya mtuhumiwa wa ugaidi Syed Rizwan Farook, wakawataka Apple Inc waifungue na Apple wakagoma wakisema hata wao apple hawana uwezo huo, baadae FBI kukwepa aibu wakasema walikodi kampuni la ki-Israel na wakaifungua simu hiyo, jambo ambalo halikuwa kweli.
Mwaka 2020 pia FBI walishindwa ku-unlock simu ya Mohammed Saeed Alshamrani ambazo zilikuwa na password, na katika kukwepa aibu, baadae wakatoa taarifa ya uongo kuwa wamefanikiwa kuzifungua simu hizo.
Kwa sababu ya ulinzi wa data zao, Viongozi wengi wanatumia iPhone na macbooks. Sasa hao IT wa polisi wetu ndio wataweza kweli?
Mkuu hilo suala la FBI kushindwa kufungua zile simu mbona linajulikana tu!Yani FBI unawachukuliaje mkuu. Kama Mexico, India na Kuwait zimeweza kuhack iPhone 12 yenye iOS latest kwa kutumia Pegasus spyware ya Israel sembuse FBI. Tena ni zero click inaingia file lolote na kutuma data zote SMS, call list, phone book, audio, video, photos, location, etc.
Wakati Pegasus inaanza kutumika sana 2020 na kuuzwa, hapo kuna wataalamu washakuwa na njia za kufungua data bila kuuza hizo njia. Kama Pegasus isingekuwa inauzwa kama bidhaa tusingejua hadi leo
Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.Zina nini hizi
Humo ndimo CCM na TRA wanamowapata wanaowapa misaada ya fedha wapinzani na viongozi wa CCM na serikali wanaoshirikiana na wapinzani.Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.Zina nini hizi?
Ninabisha 100% wakati unafatilia pia jijulishe kwa nini FBI waliiomba Apple iwafungulie data. Wao waliamini kwa vile walitumia kigezo cha kukamata waarifu lakini Apple wakatumia sheria ya privacyMkuu hilo suala la FBI kushindwa kufungua zile simu mbona linajulikana tu!
Walitoa taarifa tena kwenye VOA world news, na wakaomba Apple kuwasaidia
Nakumbuka Apple licha ya kusema hawawezi, pia walisema hadi mtumiaji aruhusu coz wakiifungua bila ridhaa yake watakuwa wamekiuka terms.
Usibishe tu, fuatilia kujua ukweli ndio uje u-comment
Nani kakudangaya? , bila ya kuwapa password hakuna kufungua simu labda iwe ni kimeo cha mchinaWanamaIT wao wataalamu hasa, yaani wanaifungua fasta tu
Wameshafungua iphone. Soma hii hapaMkuu hilo suala la FBI kushindwa kufungua zile simu mbona linajulikana tu!
Walitoa taarifa tena kwenye VOA world news, na wakaomba Apple kuwasaidia
Nakumbuka Apple licha ya kusema hawawezi, pia walisema hadi mtumiaji aruhusu coz wakiifungua bila ridhaa yake watakuwa wamekiuka terms.
Usibishe tu, fuatilia kujua ukweli ndio uje u-comment
Hivi namba ya voda ya zitto wamerudishaga kweli?Mwisho wa siku wanazirudisha wenyewe