Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 12, 2024 #1 Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Oct 12, 2024 #2 Bora hiyo kuna hadi ya 1800's..
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 12, 2024 #3 Sisi tunataka shortcut
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 Oct 12, 2024 #4 Kipindi hicho hawajagundua Printed Circuit Board.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Oct 12, 2024 #5 Wenzetu wameumiza vichwa for yrs, sisi aaaah hatuna sababu ya kuumiza vichwa, labda pmb tu ndio tunazipa kazi.
Wenzetu wameumiza vichwa for yrs, sisi aaaah hatuna sababu ya kuumiza vichwa, labda pmb tu ndio tunazipa kazi.
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 12, 2024 Thread starter #6 ERoni said: Wenzetu wameumiza vichwa for yrs, sisi aaaah hatuna sababu ya kuumiza vichwa, labda pmb tu ndio tunazipa kazi. Click to expand... na bado tunawaita mabeberu
ERoni said: Wenzetu wameumiza vichwa for yrs, sisi aaaah hatuna sababu ya kuumiza vichwa, labda pmb tu ndio tunazipa kazi. Click to expand... na bado tunawaita mabeberu
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,097 Reaction score 5,348 Oct 12, 2024 #7 Life Management said: na bado tunawaita mabeberu Click to expand... Unajua beberu huwa linawafanya nini mbuzi wengine. Akili kumkichwa mtu wangu
Life Management said: na bado tunawaita mabeberu Click to expand... Unajua beberu huwa linawafanya nini mbuzi wengine. Akili kumkichwa mtu wangu