Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Mtaalamu wa kuwarestisha in pisi wenzake huko CCM. ukitofautiana wa wenzako huko ccm kaa mbali na huyo magoti, mangula anammanya sana
 
shemeji anajua alichofata mana watu aina hiyo mwili wote urefu wake huhamia miguuni
Usitusemee sisi wanawake tunajuana.na tunajua alichofata mbele ya pesa hata kama ana njiti itaonekana mguu wa mtotoπŸ˜‚
 
Magotiiiiii...........
Akizama chmbo huwa anatoa kitu hatare huyu mwamba mtu mbad.
Dada ajiangalie 🀣
 
Kwa hiyo ule msururu wa vigezo vya 'awe mweupe, mrefu, hofu ya Mungu n.k.' vyote mbele ya pesa vinapiga breki.
Usiwe serious sana, wanawake most of tge times huingia kwenye mahusiano sababu ya huruma tu au kama sadaka, wengine sababu ya ukaribu, wengine upweke na webgine visasi.
Wengi hawapo kwenye mahusiano kwa vigezo hivyo vinavyotajwatajwa
 
Huyo mbeba sumu hana tofauti na grand p,anapendewa pesa tu ....hayo ni fuso halafu magoti kirikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…