Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Comrade Peter Magoti afunga pingu za maisha

Leo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
View attachment 1923901

Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa na uenezi, Ndg Humphrey Polepole.

Mkewe ni wakala wa Ulimbwende wa kampuni maarufu ya Black Fox Models Africa.

Harusi hiyo imefanyika katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tuwatakie ndoa njema na yenye furaha.

View attachment 1923900
Mtaalamu wa kuwarestisha in pisi wenzake huko CCM. ukitofautiana wa wenzako huko ccm kaa mbali na huyo magoti, mangula anammanya sana
 
shemeji anajua alichofata mana watu aina hiyo mwili wote urefu wake huhamia miguuni
Usitusemee sisi wanawake tunajuana.na tunajua alichofata mbele ya pesa hata kama ana njiti itaonekana mguu wa mtoto😂
 
Magotiiiiii...........
Akizama chmbo huwa anatoa kitu hatare huyu mwamba mtu mbad.
Dada ajiangalie 🤣
 
Kwa hiyo ule msururu wa vigezo vya 'awe mweupe, mrefu, hofu ya Mungu n.k.' vyote mbele ya pesa vinapiga breki.
Usiwe serious sana, wanawake most of tge times huingia kwenye mahusiano sababu ya huruma tu au kama sadaka, wengine sababu ya ukaribu, wengine upweke na webgine visasi.
Wengi hawapo kwenye mahusiano kwa vigezo hivyo vinavyotajwatajwa
 
Leo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
View attachment 1923901

Kada huyu ambaye anafanya kama Ofisa Makao Makuu ya Chama. Alikuwa msaidizi wa karibu sana kwa aliyekuwa Katibu wa NEC, Siasa na uenezi, Ndg Humphrey Polepole.

Mkewe ni wakala wa Ulimbwende wa kampuni maarufu ya Black Fox Models Africa.

Harusi hiyo imefanyika katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tuwatakie ndoa njema na yenye furaha.

View attachment 1923900
Huyo mbeba sumu hana tofauti na grand p,anapendewa pesa tu ....hayo ni fuso halafu magoti kirikuu
20210911_133315.jpeg
 
Back
Top Bottom