Je hii SOLD na IMPORTED hazina maana tofauti? Imported zingine zitakuka in transit. So both of you could be right!!!Acha uongo wewe.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
By Dominic Omondi | Updated Thu, January 19th 2017 at 00:00 GMT +3
Volume of vehicles sold last year plunged 30 per cent, with the industry selling about 13,535 units compared to 19,523 units a year earlier.
Low appetite for imports helps narrow Kenya’s trade deficit
Goodness. Umetafuta ile link inakufurahisha.
Kuna difference ya brand new na second hand. Most imports in Kenya (and Africa) are second hand vehicles. In Kenya, this number is constantly over 100,000 per year.
Source - Vehicle imports decline for the first time in five years - Nairobi News
If we only did 13,000 vehicles a year, we would not need the superhighways we are building.
Uongo hii brotherThe most suprising thing to me is that if you have a dormant company in tz, you can file nil returns lazima ulipe tax even without doing business, very funny
Hyo taarifa uliona inatoka kwa mwanasiasa ninayempinga! Ukweli sio huo, na kama unataka kuhakikisha sema tukusaidie!Lakini si niliona sehemu taarifa kwamba sababu za kutowafuata wakuu wa mikoa na viongozi wengine kwenye sakata la vyeti feki ni kwamba vigezo vya viongozi hao ni kujua kusoma na kuandika tosha.
Sasa kawaida mtu wa la saba anajua kuandika na kusoma, lakini uongozi kwenye taasisi nyeti unahitaji kuyajua mengi hususan uundwaji na usimamizi wa sera endelevu na zenye tija.
Hilo la kumteua mkurugenzi wa TIC kutoka kwa siasa sio issue maana mwisho wa siku wasifu/CV yake ndio muhimu. Kwamba amesoma hadi wapi, ana sifa zipi kwenye historia ya utendaji wake.
Hyo taarifa uliona inatoka kwa mwanasiasa ninayempinga! Ukweli sio huo, na kama unataka kuhakikisha sema tukusaidie!
Ukiona ukweli ulivyo utakubaliana na ukweli hata wa kutokubaliana na huyo boss wa TIC maana ni mwanasiasa achilia mbali taaluma yake.
kilamBefore his appointment, Mr. Mwambe was District Commissioner for Manyoni District in Singida Region, from June 2016. From May 2015 to June 2016, Mwambe was Director of Trade, Investment and Productive Sectors at the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.
New Executive Director Of Tanzania Investment Centre Appointed - TanzaniaInvest
kilam
Mimi ni mtanzania na najua vizuri matatizo yaliyopo kwa wanasiasa wetu! Hawa makada wa vyama tunawafahamu vizuri kabisa!
Ukiona hadi mimi nakosoa tena kwenye jukwaa la Kenya ujue ni kwa kiasi gani nataka mabadiliko kwenye masuala husika! Acha ujumbe huu ufike brother! Mimi ni mtanzania mzalendo, ila kwenye blanda natakiwa kuwa mkwwli ili kuisaidia nchi yangu!
ccm ni janga la taifa
Unaweza usipoteze ila ukachangia kupoteza! Ingekuwa haupotezi majaji, wanajeshi na watu wengine wangeruhisiwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa!Ukada wa chama haukupotezei sifa wala haupunguzi ufanisi wa mtu. Karibia watu wote ni makada kwa namna moja amaa nyingine.
That is where the EAC and SADC come in. Hivyo viwanda havianzishwi kwa kuangalia soko la ndani tu. Wanaangalia soko zima la EAC: watu zaidi ya 150 million na SADC na COMESA etcSidhani kama viwanda vya aina hii tunavihitaji, tunahitaji viwanda vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kwa wingi katika soko la ndani. Idadi ya magari mapya yanayonunuliwa kwa mwaka Tanzania hayafiki hata 10,000, unataka assembly ili umuuzie nani wakati soko la ndani ni dogo?
That is where the EAC and SADC come in. Hivyo viwanda havianzishwi kwa kuangalia soko la ndani tu. Wanaangalia soko zima la EAC: watu zaidi ya 150 million na SADC na COMESA etc
Hivi punde tutakuwa tunaagiza magari yetu yote kutoka Kenya.
uchaguzi tu,hamna jipya🙂Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
That is so irrelevant to the topic..why don't you open your own thread? Just a thoughtLol kenya annually imports 119,000cars of this 25,000 are Brand new
Ethiopia Is second with only 3000 brand new and 25,000 imports
Mtaishi mkisema wakenya ni Maskini Lakini Umaskini wetu sio wenu!!
Wapendwa,
Napenda kujuzwa kuna nini cha ziada ambacho hatuna sisi Tanzania kampuni zote za magari wameamua kuunda viwanda vyao nchini Kenya na sio Tanzania kwa ajili ya kuhudumia soko la ukanda wa Afrika Mashariki
Walianza Toyota, wakaja Volkswagen, Iveco now Volvo pia wametangaza jana kufungua kiwanda Mombasa.
I thought ukiwa Tanzania unaweza kuaccess soko la SADC na EAC kwa pamoja. Why are we not using that to our advantage? Tatizo liko wapi? Ni umeme, maji, business start-up procedures au tax incentives?
Ninachojua kuwa na viwanda vya kuassemble magari ni very big business ambayo sisi watanzania hatutakiwi kupuuza hata kidogo.
Nishauri tu serikali ifanye study jinsi ya kuvutia uwekezaji kwenye hii sekta ya kuassemble magari tuchangamkie before its too late. Pia kwenye textile & apparel pamoja na pharmaceuticals.
Nawasilisha.
FranklY speaking wakat sisi tupo kwenYe crisis Ya identitT tunavutana mashati wakenYa wana build a corporate KenYa Just imagine juz hapa sonko picks polycarp Igathe kama running mate unaona kabisa wanafikiri nini ....sisi tupo apa jiji kama DAR mkuu wa mkoa Think shisha is a problem [emoji23] MaYor wa manspaaa nae kila jambo analeta siasa basi unachoka tu