Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Mi sidhani kama kodi ni tatizo.Tatizo siyo TIC
Tatizo liko wazi kabisa, tatizo makodi mengi na mlolongo mrefu na cooparate tax 30% kubwa, nani aje sasa?
Wanampaka the alcoholism awereness month wenzetu hiz iniatives zinaanzishwa na watu binafsi mfano mzuri ni HuYu David Ogot his doin a verY great job Tunao kina kalapina hapa wana same project kama ilikuwa sio a man hunting project where not financing hawa kina kalapina there duin a good job ..na MC (Manicipal council ) in move own kwenYe other priorities Kina J.P.Morgan vandabelt hawakuwa serikali lakin ndo walio build na kuishape modern America....same problem Identity nan afanye nn na wakat gan ? hatujuiNacada bans 19 shisha flavours
THURSDAY JUNE 26 2014
The National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (Nacada), in conjunction with the Ministry of Health, has ordered the products to be withdrawn from the market immediately.
The banned shisha flavours include Al Fakher strawberry flavour, Al Fakher orange flavour, Al Fakher two apples with mint flavour, Al Fakher vanilla flavour, Al Fakher two appeals flavour, Al Fakher guava flavour, Al Fakher orange with mint flavour, Al Fakher orange flavour.
Others are formulated kuber (positive for morphine), nakhala molasses tobacco apple flavour, strong formulated shisha cocktail, medium formulated shisha cocktail, mild formulated shisha, Al Fakher energy drink flavour, Al Fakher packet strawberry flavour and Al Fakher chocolate with mint flavour.
http://www.nation.co.ke/news/Nacada-bans-19-Shisha-flavours/-/1056/2362124/-/jft2ma/-/index.html
Mi sidhani kama kodi ni tatizo.
It should be that hata kodi iwe kubwa vipi mwekezaji bado atataka kuja Tanzania.
Solution sio kupunguza kodi, in my view. Mi naona infrastructure. That is where Kenya wametupiga bao.
Sababu zinazotolewa na wataalamu, kutoka kwenye hio article kuhusu kufungwa kwa viwanda niWhy multinational brands are leaving Kenya
JANUARY 25TH, 2017
By Ben Oduor
About two months ago, World Bank lead economist for Kenya, Eritrea, and Rwanda, Apurva Sanghi, raised a red flag. Multinational companies were leaving Kenya at a rate never witnessed before in the country. Even more alarming, most of them blamed unchecked influx of cheap imports into the local market for their exit.
Several other experts have raised concerns following the exit of over 10 multinational firms from Kenya to other markets within the last 10 years.
Leading tyre maker Sameer Africa, producer of Yana tyres, was the latest company to bow out in September 2016, decrying high energy costs, cheap and subsidised imports and the 2005 reduction in custom duties under the EAC Common External Tariff (CET).The company shifted focus to offshore production of its tyres by manufacturers based in China and India.
In 2014, battery distributor Eveready East Africa shut down its Nakuru manufacturing plant to import batteries from its affiliate in Egypt following stiff competition from cheap illegal imports.
Eveready’s managing director, Jackson Mutua, said sourcing batteries from Energizer Egypt would eliminate costs of running the Nakuru factory as well as boost the firm’s competitiveness in pricing. The decision led to the retrenchment of 99 employees.
Two weeks later, Cadbury Kenya called it quit in the Kenyan market. The confectionary manufacturer announced it was ceasing all manufacturing operations in the country to retain only the marketing and distribution functions of the business, a decision that cut almost 300 jobs.
The other companies that have since left Kenya for alternative markets include Bridgestone, Unilever, Procter and Gamble, Reckitt Benckiser, Johnson and Johnson, and Colgate Palmolive.
“What is happening is not good for Kenya as a country and as EAC’s economic superpower,” says Dan Odaba, a lecturer of International Relations, Peace and Conflict Studies, Disaster Risk Reduction, and Development Studies at the United States International University Africa (USIU-Africa), who has been keeping abreast with the state of affairs in the region’s economies.
According to the USIU don, this trend could easily lead to deindustrialization, a situation where the size or share of the manufacturing sector reduces in the economy.
“If the Government (of Kenya) does not create an enabling environment for both the existing and new companies for investments, then the country will simply, and very soon, lose out on emerging suitable locations such as Ethiopia,” says Odaba.
His views are echoed by Sanghi who also argues that Kenya risks undergoing deindustrialization as a result of the influx of the mostly cheap imports from China.
Why multinational brands are leaving Kenya - The East African Business Times
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Mkuu we unamfahamu vizuri mwambe? si wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa.Na kumbuka zile ni teuzi tu.Kama wewe ni mwalimu tukikupa ukuu was mkoa sio kwamba taaluma Yako imekufa.Magufuli analo faili la Geoffrey anamfahamu toka akiwa BOT.Suala La uwekezaji linategemea mambo mengi,huko Kibiti mwekezaji akikimbia utamlaumu Mwambe?kama umeme wa uhakika Hanna napo utamlaumu Mwambe.Acha majungu we endelea kunywa pingu uko Geza ulole.Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Serious? I'm disappointed as well!
Tangu lini mwanasiasa akajua mambo haya? kwa hili namshushia JPM credits[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mkuu wewe unaamini kila mkuu wa wilaya ni Mwanasiasa omba cv yake yule si mwanasiasa.Alikuwa mkuu wilaya kwa Sababu ilikuwa in fursa hata wewe ungeacha taaluma yako na kwenda.Magufuli alimtoa Mwambe BOT.Na alipomuweka ni sawa sawa kabisa.Serious? I'm disappointed as well!
Tangu lini mwanasiasa akajua mambo haya? kwa hili namshushia JPM credits[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ile position ipo sensitive inahitaji vetting na si uteuzi wa rais! Mwambe hana CV ya kupewa cheo kile kama unabisha leta CV yake hapa!Mkuu we unamfahamu vizuri mwambe? si wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa.Na kumbuka zile ni teuzi tu.Kama wewe ni mwalimu tukikupa ukuu was mkoa sio kwamba taaluma Yako imekufa.Magufuli analo faili la Geoffrey anamfahamu toka akiwa BOT.Suala La uwekezaji linategemea mambo mengi,huko Kibiti mwekezaji akikimbia utamlaumu Mwambe?kama umeme wa uhakika Hanna napo utamlaumu Mwambe.Acha majungu we endelea kunywa pingu uko Geza ulole.
This comment has made my day. Good thinking comrade!Sababu zinazotolewa na wataalamu, kutoka kwenye hio article kuhusu kufungwa kwa viwanda ni
Ni sababu hizi hizi za matairi feki kutoka China ndio sababu za kufa General tyre na kampuni nyingine kibao zilizokuwepo Tanzania. Kama EAC, nadhani tunahitaji kuwa na sera za pamoja za kulinda viwanda vyetu dhidi ya Waasia. Subsidy policy za India na China kwa wawekezaji wao zimeua viwanda vingi sana duniani. Kwa Marekani, steel Industry kule Detroit na maeneo mengine imekufa baada ya Wachina kuzalisha steel ya bei rahisi kutoka migodi ya Brazil na kusambaza kwenye viwanda vya magari na bidhaa nyingine.
- Cheap ILLEGAL imports
- Stiff competition from similar products
- SUBSIDIZED imports from India, Singapore, Malaysia and China
Tunahitaji common strategy kama EAC, na sio nchi moja moja.
Fuatilia post za huko nyuma utaelewa! Hata mwigulu amefanya kazi BOT na ni mwanasiasa na anafanya mambo kwa matakwa ya kisiasa!Mkuu wewe unaamini kila mkuu wa wilaya ni Mwanasiasa omba cv yake yule si mwanasiasa.Alikuwa mkuu wilaya kwa Sababu ilikuwa in fursa hata wewe ungeacha taaluma yako na kwenda.Magufuli alimtoa Mwambe BOT.Na alipomuweka ni sawa sawa kabisa.
True kaka but also we need a cap used cars import at 8ys or below..mostly new cars are bought by the govt n rarely u see mwananchi wa kawaida going for the new year ones...Nobody denies that, Cicero. Even these makers in Kenya pay taxes. But the taxation regime need not be too punitive. I suspect that must be one of the things keeping off such investors from establishing in your country, opting for Kenya and Rwansa instead.
I see no other reason why they should snub Tanzania.
Haswa Mkuu na hawa wenye hizi kampuni naamini watakua wanafanya utafiti ni wapi pana returns za.uhakika kwa biashara zao...kwa sasa hatuhitaji hizi assembly labda miaka ijayo..Kenya hata fuso na canter wanaingia show room..sasa hapa ni used imports...kwa hapa tunahutaji viwanda vya kuongeza value for import maembe(tabora),machungwa(tanga) korosho(tandahimba),karafu(tanga), azieti( singinda) na kadhalika ili wale wakulima wapate value for money na tukuze uchumi wetu kila pembe ya nchiSidhani kama viwanda vya aina hii tunavihitaji, tunahitaji viwanda vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kwa wingi katika soko la ndani. Idadi ya magari mapya yanayonunuliwa kwa mwaka Tanzania hayafiki hata 10,000, unataka assembly ili umuuzie nani wakati soko la ndani ni dogo?
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Tatizo lako ni 1 tu, umemfahamu Mwambe akiwa mkuu wa wilaya tu, haujui huko nyuma alikua nani kabla hajaingia kwenye siasa, kukuweka sawa ni kuwa Jamaa ni mtaalamu wa Uchumi aliyeitumikia BOT kwa muda mrefu sanaUmeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Sori value for exportHaswa Mkuu na hawa wenye hizi kampuni naamini watakua wanafanya utafiti ni wapi pana returns za.uhakika kwa biashara zao...kwa sasa hatuhitaji hizi assembly labda miaka ijayo..Kenya hata fuso na canter wanaingia show room..sasa hapa ni used imports...kwa hapa tunahutaji viwanda vya kuongeza value for import maembe(tabora),machungwa(tanga) korosho(tandahimba),karafu(tanga), azieti( singinda) na kadhalika ili wale wakulima wapate value for money na tukuze uchumi wetu kila pembe ya nchi
Unapo zungumzia infrastructure unazumgumzia barabara na madaraja au officers and factory spaces. Au umeme na maji?? Kiwanda cha matreka kiko katika hatua za mwisho, kampuni ya AVIC International Beijing karibu kuanza kujenga heavy industrial machinery (earth excavators etc) tena wanatumia chuma chetu cha hapa hapa Tanzania.Mi sidhani kama kodi ni tatizo.
It should be that hata kodi iwe kubwa vipi mwekezaji bado atataka kuja Tanzania.
Solution sio kupunguza kodi, in my view. Mi naona infrastructure. That is where Kenya wametupiga bao.