CONCERN: Why are all car manufacturers setting up shop in Kenya? Iko wapi Tanzania ya viwanda?

CONCERN: Why are all car manufacturers setting up shop in Kenya? Iko wapi Tanzania ya viwanda?

Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.

Tatizo siyo TIC
Tatizo liko wazi kabisa, tatizo makodi mengi na mlolongo mrefu na cooparate tax 30% kubwa, nani aje sasa?
 
Tatizo siyo TIC
Tatizo liko wazi kabisa, tatizo makodi mengi na mlolongo mrefu na cooparate tax 30% kubwa, nani aje sasa?
Mi sidhani kama kodi ni tatizo.
It should be that hata kodi iwe kubwa vipi mwekezaji bado atataka kuja Tanzania.
Solution sio kupunguza kodi, in my view. Mi naona infrastructure. That is where Kenya wametupiga bao.
 
Nacada bans 19 shisha flavours

THURSDAY JUNE 26 2014

The National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (Nacada), in conjunction with the Ministry of Health, has ordered the products to be withdrawn from the market immediately.

The banned shisha flavours include Al Fakher strawberry flavour, Al Fakher orange flavour, Al Fakher two apples with mint flavour, Al Fakher vanilla flavour, Al Fakher two appeals flavour, Al Fakher guava flavour, Al Fakher orange with mint flavour, Al Fakher orange flavour.

Others are formulated kuber (positive for morphine), nakhala molasses tobacco apple flavour, strong formulated shisha cocktail, medium formulated shisha cocktail, mild formulated shisha, Al Fakher energy drink flavour, Al Fakher packet strawberry flavour and Al Fakher chocolate with mint flavour.

http://www.nation.co.ke/news/Nacada-bans-19-Shisha-flavours/-/1056/2362124/-/jft2ma/-/index.html

Wanampaka the alcoholism awereness month wenzetu hiz iniatives zinaanzishwa na watu binafsi mfano mzuri ni HuYu David Ogot his doin a verY great job Tunao kina kalapina hapa wana same project kama ilikuwa sio a man hunting project where not financing hawa kina kalapina there duin a good job ..na MC (Manicipal council ) in move own kwenYe other priorities Kina J.P.Morgan vandabelt hawakuwa serikali lakin ndo walio build na kuishape modern America....same problem Identity nan afanye nn na wakat gan ? hatujui
 
Mi sidhani kama kodi ni tatizo.
It should be that hata kodi iwe kubwa vipi mwekezaji bado atataka kuja Tanzania.
Solution sio kupunguza kodi, in my view. Mi naona infrastructure. That is where Kenya wametupiga bao.

Mkuu
Ndiyo infrastucture na umeme ni moja ya sababu. Lakini pia kodi ni moja ya tatizo kubwa sana Tanzania.
Mfano hivyo viwanda vinaingiza vipuri vya ku assemble hayo magari ama kitu chochote na ukiangalia pale bandarini tax yake inazidi thamani ya hicho kipuri kinachoingizwa. Ukitoka hapo, akitengeneza faida baada ya kuuza tuseme gari anakatwa cooperate tax ya 30%.

Nani mjinga wa hivyo? na hata akiwa mjinga akaendelea bas bei ya hicho kitu anachotengeneza itakuwa ni 300% kwa mteja wa mwisho. In return, hatafanya biashara bidhaa yake inakuwa bei kali na hatauuza kitu na hivyo inamfanya mtumiaji wa mwisho bora anunue kutoka korea hilo gari alipe tax bandarini 150%

Tanzania ishushe tax hadi around 10% at the very most. hii iwe income, import, cooperate na hata kwenye bank unapokopa interest rate yapaswa kua hivyo.
 
Why multinational brands are leaving Kenya

JANUARY 25TH, 2017

By Ben Oduor

About two months ago, World Bank lead economist for Kenya, Eritrea, and Rwanda, Apurva Sanghi, raised a red flag. Multinational companies were leaving Kenya at a rate never witnessed before in the country. Even more alarming, most of them blamed unchecked influx of cheap imports into the local market for their exit.

Several other experts have raised concerns following the exit of over 10 multinational firms from Kenya to other markets within the last 10 years.

Leading tyre maker Sameer Africa, producer of Yana tyres, was the latest company to bow out in September 2016, decrying high energy costs, cheap and subsidised imports and the 2005 reduction in custom duties under the EAC Common External Tariff (CET).The company shifted focus to offshore production of its tyres by manufacturers based in China and India.

In 2014, battery distributor Eveready East Africa shut down its Nakuru manufacturing plant to import batteries from its affiliate in Egypt following stiff competition from cheap illegal imports.

Eveready’s managing director, Jackson Mutua, said sourcing batteries from Energizer Egypt would eliminate costs of running the Nakuru factory as well as boost the firm’s competitiveness in pricing. The decision led to the retrenchment of 99 employees.

Two weeks later, Cadbury Kenya called it quit in the Kenyan market. The confectionary manufacturer announced it was ceasing all manufacturing operations in the country to retain only the marketing and distribution functions of the business, a decision that cut almost 300 jobs.

The other companies that have since left Kenya for alternative markets include Bridgestone, Unilever, Procter and Gamble, Reckitt Benckiser, Johnson and Johnson, and Colgate Palmolive.

“What is happening is not good for Kenya as a country and as EAC’s economic superpower,” says Dan Odaba, a lecturer of International Relations, Peace and Conflict Studies, Disaster Risk Reduction, and Development Studies at the United States International University Africa (USIU-Africa), who has been keeping abreast with the state of affairs in the region’s economies.

According to the USIU don, this trend could easily lead to deindustrialization, a situation where the size or share of the manufacturing sector reduces in the economy.

“If the Government (of Kenya) does not create an enabling environment for both the existing and new companies for investments, then the country will simply, and very soon, lose out on emerging suitable locations such as Ethiopia,” says Odaba.

His views are echoed by Sanghi who also argues that Kenya risks undergoing deindustrialization as a result of the influx of the mostly cheap imports from China.

Why multinational brands are leaving Kenya - The East African Business Times
Sababu zinazotolewa na wataalamu, kutoka kwenye hio article kuhusu kufungwa kwa viwanda ni
  1. Cheap ILLEGAL imports
  2. Stiff competition from similar products
  3. SUBSIDIZED imports from India, Singapore, Malaysia and China
Ni sababu hizi hizi za matairi feki kutoka China ndio sababu za kufa General tyre na kampuni nyingine kibao zilizokuwepo Tanzania. Kama EAC, nadhani tunahitaji kuwa na sera za pamoja za kulinda viwanda vyetu dhidi ya Waasia. Subsidy policy za India na China kwa wawekezaji wao zimeua viwanda vingi sana duniani. Kwa Marekani, steel Industry kule Detroit na maeneo mengine imekufa baada ya Wachina kuzalisha steel ya bei rahisi kutoka migodi ya Brazil na kusambaza kwenye viwanda vya magari na bidhaa nyingine.
Tunahitaji common strategy kama EAC, na sio nchi moja moja.
 
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Mkuu we unamfahamu vizuri mwambe? si wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa.Na kumbuka zile ni teuzi tu.Kama wewe ni mwalimu tukikupa ukuu was mkoa sio kwamba taaluma Yako imekufa.Magufuli analo faili la Geoffrey anamfahamu toka akiwa BOT.Suala La uwekezaji linategemea mambo mengi,huko Kibiti mwekezaji akikimbia utamlaumu Mwambe?kama umeme wa uhakika Hanna napo utamlaumu Mwambe.Acha majungu we endelea kunywa pingu uko Geza ulole.
 
Serious? I'm disappointed as well!

Tangu lini mwanasiasa akajua mambo haya? kwa hili namshushia JPM credits[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Serious? I'm disappointed as well!

Tangu lini mwanasiasa akajua mambo haya? kwa hili namshushia JPM credits[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mkuu wewe unaamini kila mkuu wa wilaya ni Mwanasiasa omba cv yake yule si mwanasiasa.Alikuwa mkuu wilaya kwa Sababu ilikuwa in fursa hata wewe ungeacha taaluma yako na kwenda.Magufuli alimtoa Mwambe BOT.Na alipomuweka ni sawa sawa kabisa.
 
Mkuu we unamfahamu vizuri mwambe? si wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa.Na kumbuka zile ni teuzi tu.Kama wewe ni mwalimu tukikupa ukuu was mkoa sio kwamba taaluma Yako imekufa.Magufuli analo faili la Geoffrey anamfahamu toka akiwa BOT.Suala La uwekezaji linategemea mambo mengi,huko Kibiti mwekezaji akikimbia utamlaumu Mwambe?kama umeme wa uhakika Hanna napo utamlaumu Mwambe.Acha majungu we endelea kunywa pingu uko Geza ulole.
Ile position ipo sensitive inahitaji vetting na si uteuzi wa rais! Mwambe hana CV ya kupewa cheo kile kama unabisha leta CV yake hapa!
 
Sababu zinazotolewa na wataalamu, kutoka kwenye hio article kuhusu kufungwa kwa viwanda ni
  1. Cheap ILLEGAL imports
  2. Stiff competition from similar products
  3. SUBSIDIZED imports from India, Singapore, Malaysia and China
Ni sababu hizi hizi za matairi feki kutoka China ndio sababu za kufa General tyre na kampuni nyingine kibao zilizokuwepo Tanzania. Kama EAC, nadhani tunahitaji kuwa na sera za pamoja za kulinda viwanda vyetu dhidi ya Waasia. Subsidy policy za India na China kwa wawekezaji wao zimeua viwanda vingi sana duniani. Kwa Marekani, steel Industry kule Detroit na maeneo mengine imekufa baada ya Wachina kuzalisha steel ya bei rahisi kutoka migodi ya Brazil na kusambaza kwenye viwanda vya magari na bidhaa nyingine.
Tunahitaji common strategy kama EAC, na sio nchi moja moja.
This comment has made my day. Good thinking comrade!
 
Mkuu wewe unaamini kila mkuu wa wilaya ni Mwanasiasa omba cv yake yule si mwanasiasa.Alikuwa mkuu wilaya kwa Sababu ilikuwa in fursa hata wewe ungeacha taaluma yako na kwenda.Magufuli alimtoa Mwambe BOT.Na alipomuweka ni sawa sawa kabisa.
Fuatilia post za huko nyuma utaelewa! Hata mwigulu amefanya kazi BOT na ni mwanasiasa na anafanya mambo kwa matakwa ya kisiasa!

Pili, ni ukweli usiopingika kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ni makada wa vyama! Kwa mfumo wa Tanzania iko hivyo, hata kitawale chama gani, labda katiba ibadilishwe
 
Nobody denies that, Cicero. Even these makers in Kenya pay taxes. But the taxation regime need not be too punitive. I suspect that must be one of the things keeping off such investors from establishing in your country, opting for Kenya and Rwansa instead.

I see no other reason why they should snub Tanzania.
True kaka but also we need a cap used cars import at 8ys or below..mostly new cars are bought by the govt n rarely u see mwananchi wa kawaida going for the new year ones...
 
mtoa mada sahau viwanda nchi hii, Viwanda alivyofanikisha Magufuli ni vya kwenye Magazeti, Majukwaa na kwenye Hotuba mfano kama ile ya mama Samia Suluhu juzi kati...Statistics kibaaaao, oooh, mara Tanzania imefikia lengo la viwanda kwa 7.1%....kama kuna mtu hata aliye hukohuko serikalini, naomba anipeleke kwenye hata Kiwanda kimoja kilichojengwa na Serikali ya Magufuli, nionane na wafanya kazi, aki nitampa 5 Million cash.

Serikali iko busy kuifanya CCM ndio serikali...Rais yuko busy kusamehe watu kwa kutompigia kura...Wakuu wa mikoa wako busy kuramba rambi rambi...Wabunge wako busy kususia kuwawekea dhamana Mameya wao wakiitega kusubiri Polisi itawashtaki vipi!!....

JAMANI...Tanzania ya viwanda ni wewe na mkeo na watoto wako, full stop.
 
Customer base ya Kenya ni kubwa sana kuzidi ya Tz, Tz watu wanaonunua gari mpya kabisa ni wa kuhesabika, magari mapya Tz ni kwa ajili ya government, makampuni binafsi and the likes, wengi wanafikiria kiwanda kikawa hapa basi bei itapungua, la hasha, kununua IST mpya kwa 30ml ni wangapi wataweza hizo bei.

Suluhisho la kwanza ni miundombinu bora na sekta ya fedha iwe rafiki zaidi. Mikopo ya usafiri Tz ni kama hamna, usafiri bado unaonekana kama sehemu ya anasa, sekta ya fedha ipunguze masharti magumu na kuanza kutoa mikopo ya riba nafuu.
 
Sidhani kama viwanda vya aina hii tunavihitaji, tunahitaji viwanda vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kwa wingi katika soko la ndani. Idadi ya magari mapya yanayonunuliwa kwa mwaka Tanzania hayafiki hata 10,000, unataka assembly ili umuuzie nani wakati soko la ndani ni dogo?
Haswa Mkuu na hawa wenye hizi kampuni naamini watakua wanafanya utafiti ni wapi pana returns za.uhakika kwa biashara zao...kwa sasa hatuhitaji hizi assembly labda miaka ijayo..Kenya hata fuso na canter wanaingia show room..sasa hapa ni used imports...kwa hapa tunahutaji viwanda vya kuongeza value for import maembe(tabora),machungwa(tanga) korosho(tandahimba),karafu(tanga), azieti( singinda) na kadhalika ili wale wakulima wapate value for money na tukuze uchumi wetu kila pembe ya nchi
 
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Umeona aliyechaguliwa kuwa CEO wa TIC? Alikuwa mkuu wa Wilaya Singida Sishangai kampuni kwenda Kenya niko disappointed for sure.
Tatizo lako ni 1 tu, umemfahamu Mwambe akiwa mkuu wa wilaya tu, haujui huko nyuma alikua nani kabla hajaingia kwenye siasa, kukuweka sawa ni kuwa Jamaa ni mtaalamu wa Uchumi aliyeitumikia BOT kwa muda mrefu sana
 
Haswa Mkuu na hawa wenye hizi kampuni naamini watakua wanafanya utafiti ni wapi pana returns za.uhakika kwa biashara zao...kwa sasa hatuhitaji hizi assembly labda miaka ijayo..Kenya hata fuso na canter wanaingia show room..sasa hapa ni used imports...kwa hapa tunahutaji viwanda vya kuongeza value for import maembe(tabora),machungwa(tanga) korosho(tandahimba),karafu(tanga), azieti( singinda) na kadhalika ili wale wakulima wapate value for money na tukuze uchumi wetu kila pembe ya nchi
Sori value for export
 
We need to be serious when it comes to issue of realibility of Power, Electricity is development We don't need politics in issue of power generation and availability that's the reason behind of investors to set up a business in kenya
 
Mi sidhani kama kodi ni tatizo.
It should be that hata kodi iwe kubwa vipi mwekezaji bado atataka kuja Tanzania.
Solution sio kupunguza kodi, in my view. Mi naona infrastructure. That is where Kenya wametupiga bao.
Unapo zungumzia infrastructure unazumgumzia barabara na madaraja au officers and factory spaces. Au umeme na maji?? Kiwanda cha matreka kiko katika hatua za mwisho, kampuni ya AVIC International Beijing karibu kuanza kujenga heavy industrial machinery (earth excavators etc) tena wanatumia chuma chetu cha hapa hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom