CONCERN: Why are all car manufacturers setting up shop in Kenya? Iko wapi Tanzania ya viwanda?

Zii Kafrican, sisi wakenya huwanga waungwana, tunaweka topics zetu na ni akina wale unawajuanga huja kuchafua. Ona sasa vile tumetulia, hatubongi zile sh!t juu yao, juu akuna mtu hapa ametudiss.

Mwendo hapa huwa ni, ukileta takataka, sisi pia tutakupa takataka......yani GIGO.
Hauwezi kuta mkei anaishia kwenye zile forums zao, ingawa huko pia huwa nacheki wakituchomea picha.
Lakn ukweli, wakenya hapa pia wamezidi pia kuwachokoza saazingine bila sababu
 
so make me understand, how will small start ups survive before their big breaks?, did you know in kenya you can own a company and file nil returns?
cost benefit analysis. instead you get paye and vat you loose coperate tx.
 
Hao AVIC wenyewe unaowasema wanajenga makao makuu yao kwa Afrika nzima jijini Nairobi. Naskia hilo jengo litakuwa one of the tallest in Africa (zaidi ya floor 70 kama sijakosea)
Avic International to build Africa HQ in Nairobi - Capital Business
Ni sawa kujenga Nairobi iwe HQ yao hata hivyo ni bora kuliko wakiwa na ofisi China, sasa hio.ofisi naamini itahudumia investment zao kwa hapa Africa ikiwemo Tanzania, cha msingi na serikali kuedelea kuweka mazingira safi kwa wawekezaji wavutiwe na nchi yetu, hatuna haja ya kujifananisha na Kenya, kila nchi ipo unique kabisa na kwa mahitaji tofauti, hapa na kua na progressive sera na za uhakika zenye kugusa kila mtanzania formal na informal sector...nchi hii ni kubwa sana na resources za uhakika serikali wakiwa serious Tanzania ya Viwanda inawezekana.
 
Hata Japan alianza China akafuatia with their own brand
Wacha wazungu waje kufungia vyuma Kenya
 
Mbona tuna benbros, dar coarch, quality gerege, simba trailers,

lakini kwa ushuru huo wa magari, labda matela ya punda ndio yanaweza zalishwa tanzania.
 
Takwimu umetoa wapi hizi? Au umeamka tu na kuandika the first thing on your mind?

Habari ya 2012 hii
More than half of new cars assembled in Kenya on lower taxes
Wakati huo brand new ilikua 10,500 ambapo assembled localy ndani ya hizo brand new ni 5,400..


Hii hapa habari ya 2015...
http://wardsauto.com/industry/kenya-sets-pace-east-africa-vehicle-market-grows
A government official expects another record year for new-vehicle registrations as a result of robust construction, energy-sector development and growth in tourism despite Kenya’s engagement in a counterterrorism war in neighboring Somalia.
Rising demand for commercial vehicles and luxury cars pushed new and used motor-vehicle registrations in Kenya to nearly 100,000 units last year, according to the Kenya National Bureau of Statistics.

Reporting in the agency’s 2015 economic survey, director general Zachary Mwangi notes the 102,606 newly registered motor vehicles in the country in 2014 was up about 9.0% from 94,017 units in 2013. Both totals include trailers.

“Specifically, the number of commercial panel vans and pickups increased by 28%, from 9,819 units in 2013 to 12,568 units in 2014,” Mwangi says.

Sales of new heavy trucks rose 11.6%, from 9,570 units in 2013 to 10,681 in 2014.

Mwangi tells WardsAuto he expects new-vehicle registrations to set another record this year as a result of robust construction, energy-sector development and continued growth in tourism, despite Kenya’s engagement in a counterterrorism war in neighboring Somalia.

“Improved governance and a sustained strong internal demand for services are likely to favor demand for not just commercial vehicles but also cars,” Mwangi says.

The Kenya Motor Industry Assn. also indicates more new vehicles likely will be sold in the country this year, although they accounted for fewer than one in six registrations last year.

New-vehicle dealers sold a record 17,499 units in 2014, a figure that has increased despite the government’s removal of restrictions on imports of used cars in the early 1990s.

Many of those new vehicles were sold by Toyota Kenya, Cooper Motor, Simba Colt and DT Dobie, which are the leading dealerships in East Africa.

The dealers today face fierce competition from Kenyan assemblers of pickups and heavy-commercial vehicles, including General Motors East Africa Ltd, Kenya Vehicle Manufacturer (which makes Nissan, Mazda, Land Rover, Mercedes, Iveco and various buses under license) and the Association of Vehicle Assemblers, which builds Nissan Urvans and Land Rover 110 models, in addition to bus bodies, custom-design trailers, fire trucks and ambulances.

General Motors has an assembly plant in Nairobi that assembles heavy-commercial vehicles for sale within Kenya as well as for export to Burundi, Ethiopia, Malawi, Mozambique, Rwanda, Somalia, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe.
 
Akuna kitu hapo hiyo miladi unayosema inaanzishwa si lolote si chochote tatizo siyo miladi tatizo ni tija kwa tz atukuwa na ndege nyingi tu wakati wa nyerere zipowapi mm sipongezi idadi ya miladi bali tija ya miladi
 
Jiulize Kwanini kuna tangazo la benki ya kcb hapa na nbc hakuna. Mabenki ya Kenya yana operate hapa tz na ya hapa hayapo kule. Tunabanana namatajiri kununua magari ya mitumba, wakati mwingine na nguo pia.
 
Bora maana sijawahi kuwa na wazo la kununua gari jipya kabisa zero km. Wakija hapa atanunua Bakhresa tu. Ila magari makubwa ya biashara sawa wazo lipo
 
Tanzania hatueleweki Nani atakuja kuwekaza hapa mkulu anabadilika kama kinyonga!!

Kwetu Mkoa wa Pwani, kuna viwanda zaidi ya mia vinachipua kila unapokwenda, kuanzia Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga. Pita ujionee.

Wawekezaji wapo na wanafanya kweli.

Nawashangaa sana msiyoyaona yaona hayo.
 
Matatizo ya TZ ni makubwa sana na yanaanzia kwenye katiba. Kila mtawala akija anafumua watendaji wa idara na taasisi karibia zote. Vile vile mambo kama vile kusitisha makubaliano ya kimkataba kati ya serikali na mwekezaji yanaogopesha wawekezaji wapya. Vile vile yatakiwa kuwe na mazingira rafiki kwenye kulipa kodi. Pamoja na hayo bado katika africa tanzania ipo juu katika kuvutia wawekezaji japo ipo nyuma ya Kenya.
 
Mkuu, one of the major reasons for investors to shun their investments into Tanzania is this brutal regime and absence of democracy as well as insanity taxation.
Tanzania looks like a drama state in which the dwellers therein act by performing theatre.
The ccm government for the past 60 years had simply been pondering over how to continue staying in power,but not how to wipe out poverty.
Since Magufuli came in power, he has been blurting about industries in vain, if he should have focused on his campaign rhetoric, the focus to having industries as his slogan "Tanzania ya viwanda " would have made more steps forward, but he is busy killing oppositions by having Lipumba as his puppet.
He has hatred against those all who do not uphold ccm, last year he signed the most brutal media bill and made it a law, his intention was to zip up all medias which write the evils of his government.
Despite many defects which Kenyans experience, but their government had been a democracy fearing, and it envisages farther about its people's economic fate, unlike Tanzania which treats her citizens like just junk beasts.
When it comes to industrialization,Tanzania will never develop until ccm gets out of power, but with ccm, Tanzania will remain poor forever.
 
Usijali, Poland wanakuja na ki assemble matrekta kibaha,project ile pia itafungua njia
 
kilam ako wapi aone link zake zilikuwa fake?
 
kilam ako wapi aone link zake zilikuwa fake?

Nani mwenye link feki sasa? Yeye alisema magari 25,000 mapya yanakuwa imported wakati si kweli.
 
Leta kiwanda chako Tanzania, baada ya miezi 5 tunataifisha mitambo yako yote na tunakunyang'anya passport usirudi kwenu. achana na tz , tunajua tunaelekea wapi!
 
Mkuu hapa umeongea kiushabiki kidogo, Ingekuwa suala la democracy ndo kigezo, basi hivyo viwanda vyote vingekuja tz, maana kwa recent records sisi tuko juu ya Kenya!

Shida kubwa iko kwenye sera za uwekezaji, hapa ndo tunakwama, probably na heavy taxation.

TIC hawafanyi kazi yao vizuri, kwanza wamekuwa na shida tangu yule mama akatae mshahara mpya! Lakini hata kabla ya hapo huyo mama alikiwa anaendesha tic kwa remote,
 
demokrasia kwa sasa Kenya inaongoza Africa mashariki. Usifananishe Kenya na vitu vya kipumbafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…