spanishdasilva
Member
- Jun 9, 2024
- 17
- 30
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.
Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni siku ya 65 imepita nimeenda kupima nipo negative. Hii ina accurancy kiasi gani?
Nasubiri tena siku 25 zilizobaki, ila naishi na msongo wa mawazo