Condom ilipasuka nikiwa katikati ya tendo. Ninaishi kwa hofu bado

Condom ilipasuka nikiwa katikati ya tendo. Ninaishi kwa hofu bado

Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.

Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni siku ya 65 imepita nimeenda kupima nipo negative. Hii ina accurancy kiasi gani?

Nasubiri tena siku 25 zilizobaki, ila naishi na msongo wa mawazo
Tutafanyia utafiti mpaka tujue wewe ccm
downloadfile.jpg
 
Tatizo likishasimama unaparamia tu, uwe na kamkakati ka kupima kabla ya tendo itakusaidia kidogo...
Ashiki zipo tuuu lakini kuwa makini zisikupelekeshe
 
kwan si tulishakubaliana sikuhzi kisukari na kansa ndo magonjwa hatarishi au
 
Back
Top Bottom