Condom ilipasuka nikiwa katikati ya tendo. Ninaishi kwa hofu bado

Mkuu umepm mbele ya siku 65; miez miwili na uko negative bado unahofia nn sasa
 
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.

Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni siku ya 65 imepita nimeenda kupima nipo negative. Hii ina accurancy kiasi gani?

Nasubiri tena siku 25 zilizobaki, ila naishi na msongo wa mawazo
Kijana MUNGU anakupenda. Acha katabia ka Uzinzi na utubu umrudie MUNGU au niseme uokoke. Umeelewa kijana?
 
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.

Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni siku ya 65 imepita nimeenda kupima nipo negative. Hii ina accurancy kiasi gani?

Nasubiri tena siku 25 zilizobaki, ila naishi na msongo wa mawazo
Usiwe na hofu, pengine demu anakataa kupima kwa sababu anataka kuzaa mtoto na wewe na pia inawezekana akawa anaishi kwa tofu kutokana na mienendo yake.
 
Tujitahidi kua na mwenza mmoja, tupime kabla ya mzagamuo.

Ndom izue mimba.
 
Wakati nafanya tendo kwenye round ya pili, nikawa nakaribia kukojoa nikagundua condom imevuja.

Kumuambia mwenzangu tukapime, akawa mkali sana. Nilifanya kila jitihada akawa ananikimbia, leo ni siku ya 65 imepita nimeenda kupima nipo negative. Hii ina accurancy kiasi gani?

Nasubiri tena siku 25 zilizobaki, ila naishi na msongo wa mawazo
Mi nakumbuka miaka hiyo, nilipita sehemu nikakutana na kabinti kako njema kweli nikakalia timing nikakapata nikaenda ndani bwana.. hata bao moja bado ndom ikapasuka nikapata mawazo kweeli.

Kesho yake nikaenda hospital nipewe pep.. ile nimeunga foleni kuja kufikiwa ilikuwa saa 10 jioni..ile kufika tu dokta akasema inabidi tukupime kwanza kabla hujapewa dawa daaah!!

Nikakaa nikawaza kweli kile kimchecheto cha kungoja majibu..basi nikaomba nije kesho ili nijiandae kupima.. mpaka leo sikuwahi rudi!

Kijana kuwa makini na hizi ngono zembe, raha ya dakika 5 itakupa stress miaka na miaka! Badilika.
 
Back
Top Bottom