Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

so we ndio bingwa?...subiri ufumuliwe washeli hizo
 
Reactions: SDG
Sijawah saliti ndoa yangu tangu kuolewa kwangu na haitotokea abadan Yarab mwenyezi Mungu nisimamie ktk hili
Be blessed if your uttering the truth and if you're deceiving let an unbearable and heavy God's punishment be up on u
 
Ngoja na mimi nifunguke, Mnamo mwaka 2008 nilikuwa chuo, sasa ikatokea binti mmoja nilimpenda ila kumwambia nikawa nashindwa (domo zege)

Baada ya kuhitimu masomo tukatengana katika kutafuta maisha hapo ndo nikamtongoza kwa simu na akakubali, kabla hatujakutana kufanya yetu akanitafuta tena na kuniambia kaolewa na jamaa mmoja tajiri na tukapoteza mawasiliano.

Iliniuma sana nikaahidi nitatimiza dhamira yangu hata kama uzeeni, baada ya miaka 6 akanitafuta yeye kupitia social network na mambo yakaanzia hapo, nikahakikisha natekeleza jambo nililoahidi.

Hapa nikajifunza Usimwamini Mwanadamu.
 
hahaha nyie watu na ghizi comments dah...
 
Reactions: SDG
ni shida sana yani hapo hata mii ningeanguka tu....dah we are weak bbut we need to be strong..sa kama hapo mara nifungue mara sijuiiiautomaticxaly utamalizananae tu...
 

OFM tutatia kambi pale
 
Sijui lengo la wanawake kuanza kujiliza huku wakitueleza matatizo ya waume zao ambao ni marafiki zetu huku wakijua ndege wafananao huruka pamoja, Sijui dhumuni lenu ni nini naomba mtusaidie nahisi huu ndo mzizi wa fitina.
 
Nilikuwa safarini toka DSM kwenda Dubai.Nilipanda na Dada wa makamo mrembo mwenye mwili mnene kidogo,tukazoeana mpaka tumefika yeye ilikuwa marayake ya kwanza kipindikile wa Tz wengi wanafuata bidhaa Dubai,basi nikawa kama mwenyeji wake.Aliniambia ni mke wa MTU lakini sikujua ni mama mchungaji,nilipokuja gundua nilijihisi ubaya sana kulala na mke wa mtumishi.Nilimpotezea mpaka Leo
 
Eeeh hawavumi lakini wamo ? Unavyo waongeleaga binti zako sijui alipigwa hadi kuzimia na mwalimu

Nilikuwa nakuona mama mmoja na heshima zake kumbe hovyo tu ??
Hakuna mtu mtakatifu mkuu kwani sisi ni binadamu na tuna mapungufu mengi tu. Historia zetu ndiyo zinatufanya tuwe tulivyo leo,, usimhukumu dada hapo kwa aliyo yapitia maishani mwake bali kama funzo tu katika safari hii ya maisha.
 
Sijui lengo la wanawake kuanza kujiliza huku wakitueleza matatizo ya waume zao ambao ni marafiki zetu huku wakijua ndege wafananao huruka pamoja, Sijui dhumuni lenu ni nini naomba mtusaidie nahisi huu ndo mzizi wa fitina.
hapana mwanamke anapendwa kusikilizwa hasa na mwanaume . anapokuja kukueleza ukampa nafasi ya kumsikiliza haloo kumtafuna ni rahisi sababu hataki dudu anataka umsikilize na mumewe hafanyi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…