Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

Hahahaaaaa
 
kichwa kama sababu ni ya giv, nani akakumbia naongea na mitume, kunguru sungura wewe mpenda fan ndo maana bichwa kubwa ubongo wa mende kwa kupenda mambo ya kimagharib inzi type scorpion wewe mxiiiuwwwww mshonyo wa harmorapa.
Umejiuliza why r u here on Jf?
Mostly importantly y u keep reading all the pages wakat unaponda?
Tens nyie mnaojifanya washika dini ndo wazinzi mbwa
Kama huna cha kushare na siai kwenye huu Uzi nenda jukwaaa jingine sio unaanza kuleta dini zako ushenz mtupu
 
Ubize. Wanaume kupiga kazi mnaoa magolokipa mnawaachia hela huku wskishinda na bongo muvi...wanaume tukirud tumechoka performance kamoja ka afya...hawashibi ....lazma kuchepuka ...limentokea na naendelea tuu kuwasaidia hamna namna
 
HV ulilazimishwa kusoma na kucoment kwenye hii post?kama hukulazimishwa mapovu ya nn sasa kwani hayo matendo ulitenda wewe au sisi?
Dhambi zetu zinakuhusu nn mkuu?
HV kwanza ni lazima ucomment so unaweza kusoma na kupita tu sio?y u r making t so necessary na ww to be involved?
Watu washa.to.MBA hao wake za watu n a waume za watu so uchukie usichukie t doesn't change a thing n mostly importantly is not your business so just learn to mind your own fuc.kin business pal
 
Kumbe ndicho ulichonifanyia ayubu
 
Reactions: SDG
Daaaah
 
Aisee INAONESHA mitego ya wanawake inawabamba sana VIJANA WENZANGU
 
Bila Kumshika mwenyezi Mungu kuepuka kutembea nje ya ndoa ni ngumu sana,yaani shetani anashambulia mpaka misikitini na makanisani,ni hatari...
 
Mungu akurehemu mpaka siku utapokutana naye ana kwa ana
 
Malaika wa adhabu wanakutakia mchana mwema!!
 
Yaan nikikukuta pepeni lazima niandamane
 
Reactions: SDG
Dont allow your wife to tell another man her problem ...because the shoulder to cry on can became a dick to ride on
NB: kizungu kilikuja na meli
Hata mie naona ;
Nahisi utakuwa mwalimu wa kingreza wa mkulu[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Cha wizi kitamu kama cha porini kwenye nyasi. au kando ya njia.
 
Reactions: SDG
Umemtukuza shetani vya kutosha mkuu amekuteuwa kumwakilisha kwenye harakati hizi za kula wake za watu
 
Reactions: SDG
mungu ailaze roho yako mahali pema amiini
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…