Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

OMG..
Hii kalii
 
Kuna watu wanastahili kunyongwa hadharani.
Ikiwa baba/mume akagundua mwanae na mkewe wanachukuliwa na mtu mmoja, yaani hata kukuchinja ataona haitoshi
Ni kitu ambacho najuta Maishani sana, Sema ilikuwa ujana, Nikifikiria huwa nakata tamaa sana, Hata leo nikipata tukio baya huwa naconclude ni uchafu wangu wa nyuma that's hope I have
 
Sijawahi kutembea na mke wa mtu ilaa kabla sijaoa mademu wawatu,washkajii nkuwa na wafetuu balaaa. Toka nioe rasm sijawahi hataa mfetua hata ambae hajaolewa
 
Nilipeleka mwanangu hospital ya agha khan upanga.
Kwenye foleni za registration na malipo hamadi nikakutana na aunty moja limetimia balaa. Msambwanda wa hatari,jicho balaa, rangi ya mtume.

Nae alikuwa ameleta mtoto hospital. Story nyingi tukabadilishana business card. Baada ya hapo ikawa historia ila baadae niliogopa kwani ni mtu anaheshimika na jamii, kwenye tv anatokea sana na alidai ana mume lakini sijawahi kumsikia mumewe na yuko free sana kwenye simu wasap muda wote anaweza chat chochote.

Na mwepesi kudanganya kwake ameenda semina bagamoyo au Arusha kumbe nimemtuliza lodge siku 4.
Ila hayo mambo nusu yaigharimu ndoa yangu nikaachana nayo. Nahisi yule dada anaendelea na mtu mwingine kwa sasa.
 
Kushinda haya mambo unahitaji kumwomba Mungu. Ni machafu na yanakatisha tamaa katika familia. Ninachojua shetani akikutaka atatumia mwanamke au mwanamme. jihadharini sana. Mpende mke wako wa ndoa fullstop.
 
Ulibakwa mkuu,
.
Exactly mkuu, hata umri wake na wa kwangu ni quite different. Na zaidi sana kuna wakati nilikuwa namkwepa akawa ananipata kwa kunipa hela naenda nampiga dushe weeeee hadi ananambia basi sasa - kama unanikomoa! Kuhusu mumewe ni majanga matupu, safari nyingi nje ya nchi na kwa maelezo yake hata akirudi nyumbani ni mzigo hoi goigoi
 
Kwa uzoefu na ukweli wanawake wengi walio kwenye ndoa huwa wanatoka nje sababu waume zao hawatimizi majukumu ya kinyumba haswa mapenzi

Yupo swahiba mmoja yeye kila siku safari halafu akaja kumfuma mkewe na meseji za mapenzi za dalali mmoja aliyekuwa anawasaidia kuuza kiwanja chao kigamboni
Jamaa alikurupuka kweli kuona mkewe kaenda kula bata masaki na dalali. Lakini tulimshauri kwamba swahiba mbona we watoto wa Tumaini
 
Kwa mwandiko wako tu inadhihirisha kweli bado level yako ni ya kidato
 
Ulikuwa na kondom?
Unaitolea wapi kondom ktk hali kama hiyo mkuu, hutarajii, hujui lolote, huna wazo yaani ni mapichapicha tu. Kwakuwa mt* mbano uliendelea baadaye tulipima na kwa bahati tulikuwa vizuri vinginevyo ningekuwa marehemu sasa
 
Reactions: SDG

Utakuja pigwa risasi acha wizi
 
Acha ufala huo, usiji proud kutembea na wake za watu ndugu yangu. Kwani wanawake wameisha ambao hawajaolewa?
 
Reactions: SDG
Kwahiyo hujui kama alitoa mimba au alijifungua salama?

Na kama alijifungua je mtoto anaishi vipi?

Yani duniani kuna watu tuna/wana tiketi za kwenda kwa shetani tayari wana/tunasubiri tu siku ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…