Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

shetani kazini
Wanawake wanashida sana kazi kwenu wanawake
 
Una Roho Mbaya Sana..
mbaya sana..
mbaya kweli..
Hiyo sio Roho ya kiume..

TAMBUA HUJAMTELEKEZA HUYO BINTI BALI UMETELEKEZA MTOTO WAKO..
 
Mwanamke kukataa kusex hata mkiwa mazingira hatarishi ni rahisi sana. Ila mwanaume kukataa kusex hata kama hukuwa na mzuka wa kufanya hivyo ni vigumu sana provided mwanamke ameamua msex.
Acha uongo,kuna mama Mwenye Nyumba wangu alikuja chumbani kanilamba sehemu zote lakini nilimchomolea hadi mpaka kaniita lofa .na nkamwambia ntafanya makosa yote Ila siyo kutembea na mke wa MTU.
 
Una Roho Mbaya Sana..
mbaya sana..
mbaya kweli..
Hiyo sio Roho ya kiume..

TAMBUA HUJAMTELEKEZA HUYO BINTI BALI UMETELEKEZA MTOTO WAKO..
Soma thread umalize ww acha kutokwa povu...nan na ni wapi nimeandika nilizaa naye?? Acha kubweka na ufwatilie mwendelezo wa thread.
 
Reactions: SDG
Una Roho Mbaya Sana..
mbaya sana..
mbaya kweli..
Hiyo sio Roho ya kiume..

TAMBUA HUJAMTELEKEZA HUYO BINTI BALI UMETELEKEZA MTOTO WAKO..
Na yeye ndo alitaka tuachane baada ya kupata mimba na mimba alienda kuitoa ili aokoe ndoa yake.Mimi sikutaka nimfanye aachike thats why tuliachana for good and my regreats ni kua sitaki jambo hilo lirudie..so next time kabla hijatokwa mapovu malizia mwendelezo wa thread sio tuu unaanza condemnation as if wewe ni malaika na huna dhambi.
 
Reactions: SDG
Nimesoma Comment yako na ndiyo niliyoijibu sijaona sehemu uliyosema hujazaa nae hapo kwenye Comment.!!!
ningekushauri edit hiyo comment kama hukuzaa nae..hakuna mwenye akili timamu ataisoma comment yako na ataona ipo sawa...

Otherwise Tusameheane Kama Nimekosea..
 
Hua nafurahi saana nikiona mwanaume au mwanamke kafumaniwa,zaidi napenda wanaong,ang,aniana,lakn kizaz cha nyoka hawaachi tu kuchepuka,naombeni anaefahamu mganga au mchawi wa kutoa dawa ili mtu mmoja anase,nitamlipa pesa nzuri sana.
 
Acha uongo,kuna mama Mwenye Nyumba wangu alikuja chumbani kanilamba sehemu zote lakini nilimchomolea hadi mpaka kaniita lofa .na nkamwambia ntafanya makosa yote Ila siyo kutembea na mke wa MTU.
Hivi unadhani unaweza kumlamba mwanamke sehemu zote akawa anakwangalia tu?

Kama hataki basi hata kiuno hutomshika. Ila jiangalie ww,ulikuwa hutaki ila umelambwa hadi ***** lakini ukawa umetulia.
 
Hivi unadhani unaweza kumlamba mwanamke sehemu zote akawa anakwangalia tu?

Kama hataki basi hata kiuno hutomshika. Ila jiangalie ww,ulikuwa hutaki ila umelambwa hadi ***** lakini ukawa umetulia.
Point of correction: huko unako dhani hakufika, niliwambia watch it hana freedom hiyo.# Ila mkuu Yule mama ni mzuri sana,but niliogopa kupotezwa marinda nikikamatwa.
 
Unaitolea wapi kondom ktk hali kama hiyo mkuu, hutarajii, hujui lolote, huna wazo yaani ni mapichapicha tu. Kwakuwa mt* mbano uliendelea baadaye tulipima na kwa bahati tulikuwa vizuri vinginevyo ningekuwa marehemu sasa

Hahahah, unamwambia please subiri kidogo nakuja, unachukua baiskeli au bodaboda fasta unafuata zana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…