Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
- Thread starter
-
- #21
Ficha ujinga wako mkuu, kwani thread hukuiona ikiwa na full proof yenye picha kuanzia kukodi trekta, kulima shamba, n.k....curiosity kills the cat, hapo nakuona umerudisha mpira umetumia mda huu kuandika comment umekuta dogo kaenda spidi kakumalizia ugali umeanza kumlamba makofi, 😂 😂 😂 😂'umeshasau ule Uzi wa Ontario alioenda kukodisha tractor huko manyara kwa 1M akaenda kulitumia kulimia watu huko pwani anapiga kama 30M'.
Na ukaamini sio?Kwa kweli nimekuona bonge la fala kwa mfano huo uliotoa,samahani lkn.
dodge
Hahah nakwambia ukweli nimekuona bonge la fala kwa kuamini ujinga ule,no wonder ulishindwa kutoboa CPA arifu,hahah.Ficha ujinga wako mkuu, kwani thread hukuiona ikiwa na full proof yenye picha kuanzia kukodi trekta, kulima shamba, n.k....curiosity kills the cat, hapo nakuona ukiwa na 30 yako umetumia mda huu kuandika comment umekuta dogo kaenda spidi kakumalizia ugali umeanza kumlamba makofi, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo kwao walikuwa poor ila akili ikawa mtaji wake,Je, kualikwa USA na ulaya kwenye events za youths ni kitu kidogo??, kwenda huko south na nchi kibao nyingine kwa kujilipia ni kitu kidogo??? Kuwekwa jarida la Forbes kitu kidogo??? Kuwa god father alieleta mwamko mkubwa wa forex hapa tz ni kitu kidogo?? Watz kulipia siti moja laki 3 wamejazana 200 ukumbini kumsubiri Ontario awape pindi ni kitu kidogo??? Nakukumbusha tu dogo alishapita kuingia maisha plus akakataa kwa hiari yake baada ya kuhitajika kwenye kikao huko marekani, What on god's flat earth are u talking about lad, Don't hate get inspired nigga,Hahah nakwambia ukweli nimekuona bonge la fala kwa kuamini ujinga ule,no wonder ulishindwa kutoboa CPA arifu,hahah.
dodge
Dogo kwao walikuwa poor ila akili ikawa mtaji wake,Je, kualikwa USA na ulaya kwenye events za youths ni kitu kidogo??, kwenda huko south na nchi kibao nyingine kwa kujilipia ni kitu kidogo??? Kuwekwa jarida la Forbes kitu kidogo??? Kuwa god father alieleta mwamko mkubwa wa forex hapa tz ni kitu kidogo?? Watz kulipia siti moja laki 3 wamejazana 200 ukumbini kumsubiri Ontario awape pindi ni kitu kidogo??? Nakukumbusha tu dogo alishapita kuingia maisha plus akakataa kwa hiari yake baada ya kuhitajika kwenye kikao huko marekani, What on god's flat earth are u talking about lad, Don't hate get inspired nigga,
Nilipata cpa yangu 2018 may and I love it 😎😎😎
U reaaly r starting to sound like a d*ck, umefura the likes of joka kifutu DogoAcha kuwa kama wadada wa kiswahili wavaa madela..
Huyo ontario simjui zaidi ya kumsoma hapa JF..na hizo issue za kukodi tractor,sijui kutengeneza 30m baki nazo wewe,usiniambie mimi..kuna vijana pia wengi tu wamesoma hapahapa bongo na wamefanya mambo makubwa bila ya kutaka kutumia njia ya kubrainwash watu.
Hahah chalii nikikwambia wewe ni mshamba unakataa, unaona kuandikwa Forbes Magazine ni jambo la ajabuu saaana.
Jokate pia alishawekwa kwny Jarida Forbes kama kijana mwenye miaka chini ya 30 mwenye biashara zenye mafanikio,wewe mafanikio yake ya kibiashara ya Jokate umeshawahi kuyaona?
Patrick Ngowi wa Helvetic Solar alishawekwa Forbes Magazine kama kijana mwenye mafanikio/tajiri Tanzania na sasa yuko ndani kwa kutakatisha pesa za wazungu.
So huyo chalii yako Tapeli kuwekwa kwny Forbes usidhani ina-justify chochote kile,sana sana inafanya aendelee kuwapiga watu wenye exposure kidogo/wanaomshobokea kama wewe.
Ana kila hali ya kuwekwa hilo gazeti we boya, hivi mtu alifanyiwa interview na kituo kikubwa cha habari DWTV wakamfata huko shambani kwake akiwa age 21 kwanini. Asiwekwe Forbes, ni kitu cha ajabu kwa hapa tz hasa ukiangalia Dogo alikuwa anapiga 2 in 1 shule na business,
Mbona umeruka huko kwengine mkuu,
Taja namba yako ya nida tuaminiMy friend, what I have posted is just my confession of the things I see but you treat it as an abomination, Mi ni mtanzania,
Pierre aliehojiwa na bbc chaneli ya kiswahili akiwa 42 na Dogo aliehojiwa akiwa 21 na Dwtv wapo sawa? Pierre aliehojiwa kipindi cha burudani na Ontario aliehojiwa kipindi cha biashara na ujasiriamali kuna usawa? Jesus Christ!!!We chalii bila shaka umetoka porini, kuhojiwa Dwtv unaona ni inshu wkt hata Pierre mlevi alihojiwa bbc fresh tu.
Ila nnachomkubali yule dogo ana ng'ombe zake dizaini kama zako hivi amezishika akili anytime anazikamua maziwa.
Eti nilipokodisha trekta kwa mil 1 na nikazalisha mil 30 ndani ya siku 30,hahah acha uboya chalaa angu.
dodge
Sikutegemea kabisa kwakweli, nilitegemea tuanze kujadili mfumo wetu wa elimu uemdane na Kenya watoto wawe smart na waongee vizuri kiingereza, kilichotokea watu wanamu attack mtanzania mwenzao aliepiga hatua akiwa na umri mdogo sanaAlmost 45% ya uzi unamsema Ontario. Iliyobaki ndo kusomea Kenya.
Du,Mimi dada yetu ilienda soma kenya ikatuletea chdti cha form four na mimba juu, worse enough ni mtoto aliozaliwa alikua nyeusi mpaka tukamwita cheusi dawa...Sasahivi ameolewa huko porininayani mume yake ilimpendea kingereza na sharp brain from kenya...Rubbish
Ni mkenya huyu fara, wengi hudhani English is oxygen. Pieces of shit.Ungejikita kwenye utilization of scarce resources uzi ungenoga. Haya mambo ya kusifia lugha ndo yanafanya viongozi wetu washinde angani kutembeza bakuli kwa kutothamini lugha zetu.
Sikutegemea kabisa kwakweli, nilitegemea tuanze kujadili mfumo wetu wa elimu uemdane na Kenya watoto wawe smart na waongee vizuri kiingereza, kilichotokea watu wanamu attack mtanzania mwenzao aliepiga hatua akiwa na umri mdogo sana
Si ungeandika Kiswahili tu Jombaa... maana kama nakuona vile unavyopata taabu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]U reaaly r starting to sound like a d*ck, umefura the likes of joka kifutu Dogo
Well u just admitted u don't know the guy well,if u got no data u aint got a right to speak neither contribute, u better go n do some research, else u gon be spitting senseless shit in this crib, u feel me bruv?? Seems u hate your fellow tanzanian making some pees bruv, at least get the decency to learn something from the guy who creeped the hell up insead of complainin or making some senseless excuses like serikali hakuna ajira. Who said it was brain washin bruv, thats an abomination bruv, you got proof?? seriously u are fumed up to the point the connection btn your brain and ur hate consumed fingers replying this post aren't a team no more, just like I said before mate u spittin bullcrap in here, go and do your homework.
I think the best place that suits you is the so called MMU forum, u lost your way in here innit