Confession: Mtanzania kusomea au kuishi Kenya na kurudi Tanzania ni big step

Honestly i was embarassed, Sheria itungwe Tz wazito wasitumie kiingereza wanaporekodiwa

your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site
Msomi wa Kenya hebu msahihishe waziri tujue angetakiwa aongee vipi ili nasi tujifunze.

Karibu tafadhali!
 
Ni uzembe tu, ukishindwa unajitetea kwamba sio lugha ya mama, ifahamike hata Kiswahili sio lugha ya mama kwa wale hamjatokea Pwani kilikobuniwa.

Umeshawahi msikia mzungu akiongea Kiswahili? Vile anapata taabu, Hivyo ndivyo 100% ya Wakenya wanavyosikika mbele ya English Native speakers.
 
Kingereza tunakitumia kufanikisha makubwa na ndio maana tumewazidi kiuchumi mara mbili yenu, tumewazidi kielimu, tumewazidi katika kila kitu kinachutumia ubongo na ujanja.
Lakini nyie kingereza kinawatesa hadi huruma, full PhD holder hata kutunga sentensi ya msingi ambayo mtoto wa chekechea huku anatiririka tu freshi https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/01/2264632_VID-20200107-WA0090.mp4
 
Ukweli mchungu

We Tanzanians tumekuwa wazembe Sana

Sina hofu na kiingereza Cha kuandika ila Cha kuongea ni "ziiiiiii"

Mwanangu atasoma Kenya

Kuhusu ontario aisee the guy is an inspiration of his generation .

Very aggressive mkimchukia ontario Juu anazidi kukupiga gepu .

Bongo aibuuu!![emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL I'd yako mtoa mada hii

Hahaha unateseka kichizi
 
Kingereza tunakitumia kufanikisha makubwa na ndio maana tumewazidi kiuchumi mara mbili yenu, tumewazidi kielimu, tumewazidi katika kila kitu kinachutumia ubongo na ujanja.
Lakini nyie kingereza kinawatesa hadi huruma, full PhD holder hata kutunga sentensi ya msingi ambayo mtoto wa chekechea huku anatiririka tu freshi https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/01/2264632_VID-20200107-WA0090.mp4

Yule profesa amesoma vyuo bora duniani, ana exposure ana mafanikio kuliko 99.9 % ya Wakenya ukiwemo wewe.
Back to the topic,
unadhani hayo madai yako yana maana youote ikiwa mpaka sasa Tanzania inawasaidia chakula? Je ni kwa nini Kenya inapokea misaada ya Chakula kutoka pembe zote za dunia hadi leo 2020? Where is Engilish?
Unadhani Kingereza kimekuwa na mchango wowote katika kupunguza matatizo ya njaa kwa mamilioni ya Wakenya?
Unatambua Wakenya milioni Mbili unusu waneathiriwa na Funza? Unadhani ni nini kinafanya maradhi kama haya kuwako kama sio ufukara wa kutupwa? Je, Kingereza hiki chenye mother tongue ya kiluhya kimesaidia nini kupunguza funza miguuni na mikononi mwenu?
Hiki Kingereza cha kikamba kimesaidia nini ikiwa 45% ya wakenya wanaishi below poverty line?
 
Akikujibu huyo shobo kinanda kwa mabeberu nitag mkuu
 
Hata ukiwa na exposure ya aina gani na una vinasaba ya kizembe kama mlivyo, utaishia kushindwa hata kutunga sentensi ya kingereza.
Ujuaji wa kingereza humpa mtu uelewa zaidi, unakufungua kimawazo na kimtazamo, na ndio maana nikakwambia nchi yetu ndogo, zaidi ya nusu yake kame tupu, lakini tunawazidi kiuchumi mara mbili yenu.
Uchumi wa Nairobi pekee unatoshana na wa Tanzania yote visiwani hadi bara ukizingatia mna madini kila sehemu, ardhi nzuri mvua kote n.k.
 
Mtu akijua kiingereza anajua tu kama ilivyo mtanzania anavyokijua kiswali ambacho hakimpi shida kabisa, Ikumbukwe uzi huu sio wa mashindano mkuu, naona unataka kuanzisha ligi out of topic

Again wakenya wengi kiingereza hawajifunzi darasani tu, bali hata wakitoka darasani kwenye jamii napo kinatumika hii inasaidia sana tofauti na hapa kwenye jamii kiswahili kinatumika zaidi, ukiingia darasani nako walimu wanafundishia kiswahili kwa asilimia kubwa sana, unakuta mwalimu ana define kitu kwa english ila anaanza kuelezea kwa kina kwa kiswahili na hii ni hadi vyuonu.

Umesahau kwamba kiingereza ni lugha ya kimataifa? Umesahau kwamba kiingereza ni lugha ya biashara za kimataifa? Umesahau kwamba kiingereza kinapanua wigo wa fursa walizopata kina lupita nyongo? Umesahau kwamba kiingereza ni lugha inayofanya hawa ndugu zetu wachukue ajira za hapa tz huko UN arusha? Umesahau kwamba kukijua kiingereza unaweza kusoma karibu nchi yoyote duniani?

Hapo english counsel na kwa ras simba washkaji zangu kibao wanaenda wanatoka hapo bado ndio yale yale tu ya kujua kiingereza cha kuandika ila kile cha kuelewana wakiongea na wazungu ni sifuri, wengi wakiongea na mtu tofauti na mtanzania mwenzao au mzambia basi inakuwa shughuli kweli kweli, watu kibao wamesoma hapo wakienda huko UN wanalalamika wazungu wanamungunya maneno

Naona tunarudisha uzi nyuma kwa ubishi badala ya kusonga mbele
Mbona unajihami mkuu... Hakuna mashindano swala ni kueleweshana tu.

Kwanza labda niende na wewe kwa maswali pengine utanielewa...

Hivi kati ya kiswahili na kiingereza ni lugha gani wanafunzi wa Tanzania hufeli zaidi??...

Wengi tunajua ni kiswahili pamoja na kwamba ni lugha yetu ya asili, mpaka hapo inakuoasa ujue ya kwamba juhudi za mwanafunzi ni muhimu zaidi kwenye kujifunza.

Hao marafiki zako walioenda British council wakatoka kapa ilitakiwa uwaulize kama kweli walihitimu kwenye ngazi ipi kimpangilio maana pale kuna beginner,Intermediate mpaka kuwa expert unakuwa umefundishwa vyote ukihitimu hapo umeiva... Ndio maana kufaulu ni ngumu kama MTU hujatulia.

Wapo wa Tanzania wengi wamesoma hapa hapa Tanzania... Tena shule za Kata lakini kwenhe kiingereza wako vizuri kuliko walio soma private schools.

So usione kama ukienda Kenya ndo utajua kiingereza... Kule pia kuna wakenya hawajui kiingereza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiwa na exposure ya aina gani na una vinasaba ya kizembe kama mlivyo, utaishia kushindwa hata kutunga sentensi ya kingereza.
Ujuaji wa kingereza humpa mtu uelewa zaidi, unakufungua kimawazo na kimtazamo, na ndio maana nikakwambia nchi yetu ndogo, zaidi ya nusu yake kame tupu, lakini tunawazidi kiuchumi mara mbili yenu.
Uchumi wa Nairobi pekee unatoshana na wa Tanzania yote visiwani hadi bara ukizingatia mna madini kila sehemu, ardhi nzuri mvua kote n.k.

Unazungumzia eneo??
Switzerland ni nchi ndogo sana,
Population ya Kenya ni Mara saba zaidi,
Eneo la kenya ni Mara 10 zaidi,
Ila uchumi wa Switzerland yenye Watu milioni nane ni Mara 10 ya uchumi wa Mido inkamu kenya,

Kuhusu eneo ni ujinga na upunguani wa Serikali ya kenya kwa kuwaachia wazungu na wanasiasa wachache sana wamiliki mashamba yenu yote na walime maua na Chai na kuuza ulaya wakitengeneza pesa zao huku wakiwaacha mamilioni ya wakenya wakijazana kwenye slums na kuangamia kwa njaa, funza, mashilingi na ufukara.
Ardhi ya Uhuru Kenyatta peke yake inatosha kuhifadhi wakenya milioni 20 (yaani wewe na familia yako pamoja 45% ya wakenya wote)

Hata hivyo dunia ya leo ukame sio kisingizio tena,
Misri pia ni nchi kame na hawana njaa, namibia pia kame tupu na kamwe hutaona Rais wao anazurula duniani kuombaomba chakula kama afanyavyo Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya
UAE ni nchi kame 100% lakini wanapatia msaada wa chakula kenya.
IMG_7295.JPG
 
axactlile akchwali , Therefore, By conclusion, I. would like To advice, As i mention above , Surely does, Over the weekend Hence thats whats matter
😂😂😂👋
 
Unazungumzia eneo??
Switzerland ni nchi ndogo sana,
Population ya Kenya ni Mara saba zaidi,
Eneo la kenya ni Mara 10 zaidi,
Ila uchumi wa Switzerland yenye Watu milioni nane ni Mara 10 ya uchumi wa Mido inkamu kenya,

Kuhusu eneo ni ujinga na upunguani wa Serikali ya kenya kwa kuwaachia wazungu na wanasiasa wachache sana wamiliki mashamba yenu yote na walime maua na Chai na kuuza ulaya wakitengeneza pesa zao huku wakiwaacha mamilioni ya wakenya wakijazana kwenye slums na kuangamia kwa njaa, funza, mashilingi na ufukara.
Ardhi ya Uhuru Kenyatta peke yake inatosha kuhifadhi wakenya milioni 20 (yaani wewe na familia yako pamoja 45% ya wakenya wote)

Hata hivyo dunia ya leo ukame sio kisingizio tena,
Misri pia ni nchi kame na hawana njaa, namibia pia kame tupu na kamwe hutaona Rais wao anazurula duniani kuombaomba chakula kama afanyavyo Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya
UAE ni nchi kame 100% lakini wanapatia msaada wa chakula kenya. View attachment 1334247

Of course mataifa yenye majirani wachapa kazi huwa yanapaa kiuchumi, maana hata sayansi imebaini ukiwa umezungukwa na watu wenye akili na wachapa kazi, na wewe pia utaboreka, kwa mfano makajamba wengi mnaoishi huko Tandale hamna jipya zaidi ya kucheza bao siku inaisha, lakini wanaoish Oysterbay, utakuta mawazo yao yako tofauti kiaina na wanatusua.
Sasa kwa Kenya tumezungukwa na mataifa maskini na mivivu haswa nyie wa Kusini, wengine tunaweza tukasema wanakwama kwa sababu ya vita, lakini nyie hapo mna kila kitu ila uvivu wa kufa mtu, mnatukwamisha kwa kujaza maelfu ya omba omba kwenye nchi yetu, ona mnavyotusumbua....

NAONA MAADA IMESHAKUWA TZ vs KE,

Nlichotegemea humu ni watz na wakenya wafanye mgongano wa mawazo ni jinsi gani sisi kama ndugu ama watani wa jadi tupeane madini ya fikra kipi kifanyike

1, watz tukabiliane na mfumo wa elimu yetu tunayofundishia lugha ambayo haitumiki nje ya darasa huku wenzetu wakiwa na advantage ya lugha hii kwa kuitumia hata nje ya darasa kitu kinachofanya hata mtu ambae hajaingia darasani huko kukijua.

2. Kitu kingine ni wenzetu hawa wakenya wana shida kibao zinazoforce uumize kichwa, resources ni chache kuanzia madini, mbuga za wanyama, ardhi ya kilimo (wanalazimika ku import) n.k hii hali ilimtesa sana mzee akiwa anaishi huko ikamwingiza mapema akiwa na umri mdogo katika ngoma ya survival of the fottest, ilimlazimi mzee aumize kichwa zaidi ili na yeye akimilishe mahitaji yake, hii ndio ikamfanya alipokuja huku tulikojaliwa vingi kupata advantage ya ujanja ujanja aliopitia huko kenya katika ngoma ya survival of the fittest japo hadi leo anasema ilikuwa ni moja ya kipindi kigumu sana katika maisha yake, Ananiachaga hoi huyu mzee yeye sio mzito ila wazito wanavyomtafutaga kumuomba ushauri, kampani, n.k unaweza kudhani kachanjia, Nadhani ule msoto aliopitia alijifunza connections ni muhimu
 
Lala, Huna maarifa ya kutufanya tujadili mchango wa akili yako ndogo.
 
Navyoona nina haki ya kukiri kwamba nak*nya points nzito kuzidi kimba unalotoa mdomoni mwako kulinukisha humu

Yani tabgia maada ianze sijaona ulichochangia zaidi ya ku attack na kuwa kichocheo kama mwajuma, kama huna cha kuchangia ni heri uvue chupi ukae pembeni
 
Back
Top Bottom