Kila nachoandika hapa ni real life sio stori, hawa wenzetu hapo wana nusu ya rasilimali tulizonazo wameweza kuwa Mara mbili aisee, truth pains. Nachoweza kusema akili inapanuka kwa haraka ukiwa na shida kama walizonazo hawa wakenya, not to brug but even Israel has a small area and most of it was a desert ila cheki sasa walipo. Hata mbegu ya mkenya ilikua inaiongoza marekani kabla ya trump
Mzee wangu ni mtu wa tarime huko karibu kabisa na Kenya, kufikia mpakani kwa Kenya ni kama nusu SAA tu kwa kutembea vichochoro vya misitu, basi enzi hizo shule kwa Tanzania hapo kwa mzee ulikuwa mbali sana ikabidi awe anasomea kenya, alipata kujua kiingereza akiwa shule ya msingi na kukiongea fluently, akaja kwenda Fanya mtihani wa taifa huku tz akapita vizuri kabisa na kuchaguliwa sekondari, From there onwards akasomea tz ila kwa msingi alioupata akiwa anasema Kenya alikuwa smart flani ivi na kiingereza kinatembea, akaajiriwa engineer shirika flani ivi la serikali ya Tanzania na nchi nyingine, basi kwa jinsi alivyo sharp na kiingereza kumbeba akikikutana na maboss wa nchi x akapewa umeneja, mambo nyumba ni yakawa fresh tu, hadi Leo ana picha zake alipokua huko na huwa anakiri kule ndo kulimfungua kichwa. Also ni mtu anajua Ku influence flani watu, kazi alikua nayo ya sio ya juu kivile ila alikuwa ni mtu wa kutafutwa, kupigiwa sana simu na kuombwa ushauri na mkuu wa mkoa alipoishi, regional police commissioner , DC, n.k no matter viongozi wanabadilishwa kiasi gani this has not changed till now, pia huwa anaombwa kua mcer kwenye harusi (a bit talkative)
Mwengine ni Huyu kijana anaitwa ontario, kijana akiwa na 23 alikuwa tayari na 100,000 USD, alisomea huko Kenya elimu ya msingi nadhani na sekondari akaja kumalizia huku sekondari, ni kijana mdogo sana ola mambo anayofanya si kitoto, kafanya mengi ola kubwa alilofanya ni kuleta mwamko Tanzania wa kyijua biashara ya forex, nakumbuka enzi hizo anaenda mkoa hadi mkoa kufundisha forex kwa siku 3 watu wanakua kama 250 ukumbini na kila mtu kulipia laki 2, na hapo walitaka waanze trading dogo anahamasisha wanafunzi wa trade kwa broker wake ambako alikua na gawio kidogo kwa kila kichwa, sadly wengi wakaanza mzushia ni tapeli, mwizi na bla bla kibao, the kid is smart, kamcheki huko insta sirjeff Dennis,
So that is my confession and I hope its not an abomination to my fellow Tanzanians, Nadhani huko Kenya kinatanua akili kidogo hata kiingereza kinakuongezea points huku tz ambako nibkawaida kukuta hata ministers wa educatoon hawakijui vizuri, No bad feelings guys.