Confession: Mtanzania kusomea au kuishi Kenya na kurudi Tanzania ni big step

Okay, fine! What's your point here?

Maana naona sielewi tu mimi... mara Confession mara Mdingi mara Ontario mara Ung'eng'e mara... tushike lipi sasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
elimu(ndani na nje ya darasa) ambayo watz wengi huipata Kenya ndio huwa inawapaisha juu ya wenzao wengi wakirudi tz, ila sasa Shida watz wenzangu navowajua mimi ni kwamba ukitaka wapandwe ubishi uliojaa hasira jaribu kuwaambia ukweli
 

Hawa wenzetu dah! Watabisha mpaka akhera lakini hali mbovu ya elimu

 
Wewe jamaa ni limbukeni wa kutupwa.
 
Hii ndo English uliyojifunza Kenya??
 
Mkenya badala ya kusema I work anasema I waki. Na bado wanajiona wazungu weusi, duh.
Na bado analamba kazi pale arusha kampuni za wazungu na UN kwasababu ya hio English, anatuacha wabongo tunashangaa shangaa tu na PhD zenu za kiingereza cha kuandikia essay "due to", " there for" "as following" "as below" " in conclusion" "firstly" "secondly"
 
Na bado analamba kazi pale arusha kampuni za wazungu na UN kwasababu ya hio English, anatuacha wabongo tunashangaa shangaa tu na PhD zenu za kiingereza cha kuandikia essay "due to", " there for" "as following" "as below" " in conclusion"
Kwa hiyo?
 
Wabongo bana asa tuliopia ma bachelor na master United Kingdom..tuseme nn ?? Hahaha

Nice Thread Tho.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Nimejifunza Kitu Hapa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wabongo bana asa tuliopia ma bachelor na master United Kingdom..tuseme nn ?? Hahaha

Nice Thread Tho.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Msingi ndio kila kitu mpwa, yani mtu udogoni akiwa sehemu kama huko UK akarudi bongo huku anakupa kuteleza tu maana elimu ya darasani na nje ya darasa huko uk inakuwa imenata haitoki, sasa shida inakua mtu kashakomaa anaenda kusoma huko UK masters akiwa mtu mzima, hapo Mara nyingi nafasi ya kibadilishwa na elimu ya ndani na nje ya darasa kwa uk ni ndogo matokeo yake ndio kama unavyoona hata kwa mawaziri waliosomea masters na PhD huko UK wakirudi tz kiingereza bado ni broken na nadhani hii inapelekea hata wanapenda huko maisha yanakuwa ni yanaboa kwasababu lugha haiwabebi
 
Ukweli mchungu

We Tanzanians tumekuwa wazembe Sana

Sina hofu na kiingereza Cha kuandika ila Cha kuongea ni "ziiiiiii"

Mwanangu atasoma Kenya

Kuhusu ontario aisee the guy is an inspiration of his generation .

Very aggressive mkimchukia ontario Juu anazidi kukupiga gepu .

Bongo aibuuu!![emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi heshimu kiumbe anayekidharau kiswahili. English was just a mediocre lingual just like Swahili now.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimeandika nimekidaharau kiswajili lugha ya taifa langu??? Nachotaka kukandia ni kwamba dunia ni kama kijiji kwa sasa na language inayotumika sana kwenye mambo ya uchumi ni kiingereza, hata uwe na phd ukienda pale United Nations arusha au kampuni la wazungu huwa wanaangalia sana kiingereza mkuu, na ndio hapo sasa wakenya wanapotupiga gepu maana simu inaweza kupigwa huko london kama hujui kiingereza huna msaada hapo

Basi ingebidi tutkubali tu kutumia kiswahili primary mpaka vyuoni maana kiingereza hiki hatukijui ipasavyo ila cha kushangaza tunakitumia kwenye mitaala ya elimu yetu, heri vitabu vyote vitafsiriwe kama huko china, russia, korea, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…