Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Andika riwaya upate lau fedha
 
Ninazo za kutosha na sio kipaumbele kwangu
Namaanisha kuwa unachoandika kinaonekana kuwa hadithi ya kubuni au kutaka kupigia chapuo dini kwa kutumia kisa kinachoonekana kama cha kweli hata kama siyo.
 
Namaanisha kuwa unachoandika kinaonekana kuwa hadithi ya kubuni au kutaka kupigia chapuo dini kwa kutumia kisa kinachoonekana kama cha kweli hata kama siyo.
Ni mtazamo wako i wish ungejua nini maana ya neno CONFESSION au unadhani hii ni CHIT CHAT!?[emoji848][emoji2827]
 
Mpare na dumba ni sawa na samaki na maji
 
Jipe moyo mkuu, watu wengi wanatoka kwenye ushikina wanakuja nuruni wewe unatamani kurudi huko? Unajua kwenda mbinguni ni vita lakini Mungu ni mwaminifu hachelewi kufungua mlango wa kutokea. Bora uteseke ukifa uende pema kuliko pabaya. Nakushauri komaa tu mkuu!
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji2827]
 
Mkuu rudi kilingeni,wazee watawi tupate pa kueleza matatizo yetu.uanze na kocha wa yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…