Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
Intelejensia ya Rohoni IPO MAHALI HAPA..
Twende kadiri ya maongozo ya kiroho..
Twende kadiri ya maongozo ya kiroho..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu; Hebu kuwa mkarimu utueleze japo kwa kifupi changamoto ulizokutana nazo uliporudi Kilingeni Msata.Mkuu alumn huko ni mateso kuliko furaha.. Furaha ya kweli iko kwa Yesu
Statement ngumu sana hii Mshana.Hapana kiendacho kwa mganga hakirudi na kichomwacho moto hata jivu huchukui
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] vita ni kubwa sana nitakuja na post tofautiMSHANA JR
Toka nimejiunga hapa JF nimekuwa nikisumbuliwa Kiroho sana juu yako, Lakini sikuwai kupata nafasi ya kufunuliwa chochote juu yako.. ILA LEO NIMEPATA MWANGA.
Nianze tu kukuuliza, Je, ULIPOKUWA UPANDE WA GIZA (Kama unavyosema mwenyewe) Ulikuwa hupati majaribu ya kiroho au kimwili?
Rudi kwenye white valuu siyo poa ulozi uli pumzika kuacha mchezo[emoji14]Natumia hii mkuuView attachment 1934914View attachment 1934915
Mie najua huwa anataniaHivi vitu huwa unaongea siriazi kweli au changamsha genge tu?