Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Confession: The hurting truth -- natamani kurudi kwenye ushirikina

Aaah tatizo uliacha njia njema ya kitamaduni,jikubali kuwa wewe ni mwafrika pure unayumba yumba ukitaka kufuata mambo ya mila zetu wewe dili huko huko
Tatizo lako unachanganya mambo kwa kutamani kua Myahudi Mweusi
Hapo ndio unafeli chagua upande wa asili yako halafu songa mbele hakuna mbusi itakuchezea!
 
Mkuu hivi Huwezi kuwa na Mzizi wa Kumloga Mmiliki wa Arsenal apigwe radi???
 
Mzee baba we urudi tu kazini, wengi tunahitaji huduma yako! Kuna fataki nataka kuzirudisha mahali mkuu.
 
MSHANA JR

Toka nimejiunga hapa JF nimekuwa nikisumbuliwa Kiroho sana juu yako, Lakini sikuwai kupata nafasi ya kufunuliwa chochote juu yako.. ILA LEO NIMEPATA MWANGA.

Nianze tu kukuuliza, Je, ULIPOKUWA UPANDE WA GIZA (Kama unavyosema mwenyewe) Ulikuwa hupati majaribu ya kiroho au kimwili?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] vita ni kubwa sana nitakuja na post tofauti
 
Mkuu hivi Huwezi kuwa na Mzizi wa Kumloga Mmiliki wa Arsenal apigwe radi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha leo
IMG-20210912-WA0099.jpg
 
Back
Top Bottom