Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kweli kabisa,kuna vita kubwa Sana ktk Ulimwengu wa roho, Tuombe MUNGU atusaidie.Ishike imani yako. Imani siyo comfort zone, ni vita kamili. Umejaribiwa kidogo tu unataka urudie zama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa,kuna vita kubwa Sana ktk Ulimwengu wa roho, Tuombe MUNGU atusaidie.Ishike imani yako. Imani siyo comfort zone, ni vita kamili. Umejaribiwa kidogo tu unataka urudie zama?
Then izo nguvu za kichawi zitageukia upande wa FAIDA.My Brother Mshana Jr mimi ni shabiki wako lakini si kwa sababu ya mambo yako ya Kilozi bali ni kwa ajili ya uwezo wako.
Kimsingi KUNA AINA MBILI ZA SPIRITUALITY na wewe utakuwa unajua.
Primitive Spirituality Vsv Enlightened Spirituality.
Ulozi ni Primitive Spirituality-Achana na hizo mambo.
Holy Spirit IS REAL.
Ebu soma vitabu vya BEN HINN.
SOMA VITABU VYA DEEPACK CHOPRA.
DESMOND TUTU.
Conversation With God book one mpk 3.
Katekisimu ya Kikatoliki-Kitabu cha awali kabisa..
Then izo nguvu za kichawi zitageukia upande wa FAIDA.
YOU ARE SO MUCH INFORMED.
Najua ushirikina ni ajira pia. Kila heri mzee wa miujiza.Umefurahi tuu ama unanicheka?
Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi. Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe. Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana. Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli. VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao.
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa. Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao.
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
We mwongo sana huna loloteNiliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa moyoni
Naamini nanyi ni mashuhuda wa hili kwakuwa nilipunguza mada za ushirikina kwa asilimia 80 ama 90 hivi. Na kila nilichomiliki chenye viashiria na viasili vya ushirikina ama niligawa au niliviharibu na kuviteketeza kwa moto kwa mikono yangu mwenyewe. Nilihakikisha naishi maisha ya ukamilifu na usafi wa kiroho
LAKINI wapendwa shetani ana nguvu sana sana. Unapokuwa umevaa koti jeupe la mshika dini na asiyependa mambo ya ulozo lakini ndani u mchafu kupitiliza wala sheatani hawezi kukusumbua kabisa lakini once unapomkataa kwa roho na kweli. VITA HUANZIA HAPO! atakujia na washirika wengine SABA kuhakikisha wanakurudisha kwenye himaya yao.
Juzi kati nilikuwa maeneo ya mikwambe Kigamboni kibada mpaka saa tatu usiku hivi wakati naondoka nikagundua kuna watu walikuwa wameniungia body na nilienda nao mpaka Tuangoma halafu wakapotea kusikojulikana
Tangu hapo nimejiwa na msisimko wa ajabu kabisa. Msisimko wa kutafuta zile nguvu za giza tena. Najitambua kiimani na kiroho niko vizuri mno. Lakini sasa naona viashiria vya kunirudisha kilingeni vinazidi kupata nguvu kila uchao.
Tafadhalini naomba msije mkanishangaa in case mkisikia nimerudi Msata Kilingeni penye shina langu. Lakini pia ukiweza na ukipenda kwa utashi wako pls niombee. Kuna shida nyingi huko vilingeni basi tuuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilinge uliuza, hela uliyouza ukala sasa hapo umefanya nini, hiyo hela ungeleta tujengee choo cha kanisa, tuyazike mapepo huko.
Hope huko ulikokuwa ndo asili ya mauchawi yako sasa yana njaa na yangekukunywa damu.
Vile uko kijana mdogo tena handsome hivyo, Mamndenyi stop
![]()
Bartolo Longo - Wikipedia
en.wikipedia.org
Hapana mkuu .. Mungu atabaki kuwa Mungu
Kwanza unaijua dini na una ihubiri, pili una mkiri kristo kwa mijibu wa nyuzi na coment zako tatu ni muwazi sana kwenye mambo ya upande wa pili yaani kwa obilisi, unatoa siri nyingi kiasi cha kwamba wewe hauko upande wao.[emoji38][emoji38][emoji38]KWANINI
Sure nakwambia. We fatilia au Kuna anasumbuliwa mwambie awe mtu wa kitimoto. Hawasogei kwako wale.Jidanganye utalimishwa hadi uone moto
[emoji1545][emoji1534][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwanza unaijua dini na una ihubiri, pili una mkiri kristo kwa mijibu wa nyuzi na coment zako tatu ni muwazi sana kwenye mambo ya upande wa pili yaani kwa obilisi, unatoa siri nyingi kiasi cha kwamba wewe hauko upande wao.
Pia kuna mambo mengi kidogo nimechukua kutoka kwako kupitia nyuzi na coment zako, sasa kama wewe ni 'mzee wa busara' ina maana nimechukua ushauri wa giza kwa muktadha wa nuru!
Sure nakwambia. We fatilia au Kuna anasumbuliwa mwambie awe mtu wa kitimoto. Hawasogei kwako wale.Jidanganye utalimishwa hadi uone moto
Hapo uliposema.umegawa vifaa vya kazi ndo unanipa ukakasi kiongozi.. Yaan ni sawa uamue kuacha ujambaz then ugawe zana za ujambaz kwa jambazi mwingine aendeleze ujambaziNiliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa moyoni