youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation.
Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet)
Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa
Wengine wapo chuo, dropout
Nimewashuhudia wakiwa wanaanza from scratch, yani wakiwa hawajui hata kutumia socia media.
Lakini mpaka sasa hivi, content zao mnazisoma kila siku.
Nina uhakika namba zao unazo
(wapo zaidi ya kumi)
Leo nitakupa siri jinsi walivyofika hapo
Ndani ya miezi mitatu tu
1. Kitu cha kwanza walichagua niche
(nakumbuka niliwapatia kitabu cha dan koe kinaitwa make it profitable)
Njoo DM
Kiliwasaidia sana kuchagua niche zinazowapa pesa hawajafika hata miaka 20
Baadhi ya niche wanazotumia ni hizi👇
2. Niche za muhimu ni
👉 Cooking na recipes
👉 Health and fitness
👉 Technology / AI
👉 Travel / Tourism
👉 Educational content
👉 Relationship and sex
👉 Money / wealth
👉 Burudani / comedy
Kwenye kuchagua niche ndo kuna kufanikiwa au kupoteana
3. Hatua ya tatu
Ni kuchagua na ku optimize profile zao.
Tayari una niche yako,
Utachagua brand name yako,
Unaweka taarifa zako zote kwenye profile yako.
Contact, vitu utakavyokuwa unauza, call to action.
Hapa ni kujifanya mtaalamu wa kitu ulichochagua.
4. Baada ya hapo walianza kutengeza engaging content Non stop
24/7 mwaka mzima huku wakikusanya traffic whatsapp na kwenye offer zao.
Hapa kuna content za kufundisha, za kuuza, za kukusanya leads.
Content is the king.
Ukiweza kucheza na algorithm. Hiyo 15 M inakuja fasta
5. Kitu kingine walichofanya ni
Kukusanya Audience
Especially whatsapp
(HAKUNA WATU WANANUNUA KAMA WATU WENYE NAMBA ZAKO)
Wanakujua vizuri sana huwa wanasubiri uwatangazie offer.
Hawa vijana walikuwa wanasevu namba 20 kila siku kwa mwaka mzima
Guess what.... More sales
6. Njia nyingine waliyoitumia
Kuwekeza kwenye matangazo ya kulipia.
Ukishaona bidhaa yako inapendwa sana na watu
Unaiwekea bajeti ya matangazo.
Hiyo mimeona kija anaweka
Laki moja kwenye tangazo linamletea sales za millioni within a week
7. Njia ya mwisho wanayoutumia ni
Kutengeneza products zao wenyewe
Haoa kuna kanuni moja
Inasema
More offers = More sales = More money
Wengi wanafeli kwenye kutengeneza products zao hasa physical products
Wanategemea kuuza za wengine.
Mwisho kuna tools za muhimu ambazo ni lazima kuzitumia.
Design tools ( Canva, Capcut, adobe)
Scheduling (later, Hootsuite, Buffer)
Pia automation tools kibao
Utazipata hapa wa.me/+255693880325