Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nay wa Mitego aliimba kuwa "viongozi wetu ni panya road walio vaa suti ".Ukiwaona walivyovaa suti na tai na kujiita niwazalendo utafikiria ni wa maana. Hizi aibu tutaziona nyingi sana sababu ya kupenda kwetu rushwa kulikopitiliza
Hebu jenga picha mtaani unakutana na kikundi cha vijana wako smart ndani ya suti si utaibiwa hadi boksa maana hutakuwa na tahadhari ukidhani ni wema