Nay wa Mitego aliimba kuwa "viongozi wetu ni panya road walio vaa suti ".Ukiwaona walivyovaa suti na tai na kujiita niwazalendo utafikiria ni wa maana. Hizi aibu tutaziona nyingi sana sababu ya kupenda kwetu rushwa kulikopitiliza
Kwa hiyo Kila Co nchi hii akitoa ulinzi anapata maokoto! Basi raha sana. Kuna kazi za utajiri! Hapa mabenki yamekuwekea hela huku acacia, kule wasafirishaji , hapa watu Gani sijui....sio kuna makando kando anayapitisha? Ukipikea 21m Kwa makampuni au individuals hiyo account ya IGP itakua nono kweli.Kwani IGP siyo jeshi la polisi?
Hayo ni mawazo yako wewe na sina sabau ya kukupinga, isipokuwa elewa haya:Kwa hiyo Kila Co nchi hii akitoa ulinzi anapata maokoto! Basi raha sana. Kuna kazi za utajiri! Hapa mabenki yamekuwekea hela huku acacia, kule wasafirishaji , hapa watu Gani sijui....sio kuna makando kando anayapitisha? Ukipikea 21m Kwa makampuni au individuals hiyo account ya IGP itakua nono kweli.
Anyway ilikua ya ulinzi
Pesa inatakiwa iingie kwenye account ya jeshi then from hapo ifanyiwe matumizi hii ya kumlipa IGP direct hata kama ni halali Kwa sisi matomaso inaleta maswali....Hayo ni mawazo yako wewe na sina sabau ya kukupinga, isipokuwa elewa haya:
Ukienda kupaki gari nje ya polisi unaweza kuulizwa pesa za ulinzi na unalipa cash na siyo kosa la jinai kwa Tanzania.
Hawawezi issue ni 2008-2015 JPM alikuwa hajashika usukaniChadema wanatafuta sababu ili huu mzigo umuangukie JPM
Haya mambo ndio alikuwa anakuja kuyafanyia kazi wahuni wakamnyamaMagufuli alikuja kurekebisha makosa ina maana hakuwaona hawa mafisadi?
Mbona watu humu wanamhusisha JPM kwani alikuwa in power that time?hii naona ni mwaka 2015 before october hivyo alikuwa JKJK na rushwa ilikua sawa na samaki na maji.
Sijaona makubaliano yao na kwanini kampuni kubwa iwe inalipa na malipo yanajadiliwa kwenye mikutano ya pamoja na IGP na wao wenyewe.Pesa inatakiwa iingie kwenye account ya jeshi then from hapo ifanyiwe matumizi hii ya kumlipa IGP direct hata kama ni halali Kwa sisi matomaso inaleta maswali....
Yaani uhongwe dhahabu safi kabisa?🤣🤣🤣Kwenye kuhongwa matofali sio kweli mkuu, hapo umetusokota
Hiyo ni taarifa ama hisia?!!Ndio maana walimuua yule bwana "dhalimu " aliyezuia michongo yao ili kupisha kazi iendelee. Hakika angebaini hili angewameza kwa meno yake
Sasa kama CCM walishawaondolea Kinga ya kuwashitaki wakifa au wakiwa hai nani ataweza kuprove?Tarnishing of other people's image is a bad habit......
No one is guilty until it's proven otherwise.....
Acha utoto....Sasa kama CCM walishawaondolea Kinga ya kuwashitaki wakifa au wakiwa hai nani ataweza kuprove?
Maana mahakama ndio chombo pekee nchi chenye manlaka ya kumtia mtu hatia.
Jiwe fisadi. I know him more than you know. Mimi namjua sana. Nina mpaka namba za simu za watu wa familia yake
Huyu jamaa hamjui Barrick aiseeeeee.Yaani uhongwe dhahabu safi kabisa?🤣🤣🤣
It doesn't matter we all know JPM hakuwahi succumb to pressure kwenye lolote. Sasa kwa issue ya Mwanyika alifikishwa mahakamani na akakiri kosa la uhujumu uchumi na kulipa almost 2 Billion means kwenye file lake ni FISADI ALIYEKIRI MAKOSA.Huwezi kufahamu mazingira yalomfanya JPM amteue Mwanyika (ambae alikuwa akirekodiwa simu zake na watu wa JPM) maana suala la Acacia lilikuwa ni zito kupita maelezo
Magu kwanza ana roho mbaya sana. Waliokuwa karibu na magufuli hawakuinuka kiuchumi kama wale waliokuwa na Kikwete. Mmoja alikuwa analia ada ya mwanae huku anafanya kazi kwa mkuu. Nilimuonea huruma sana. Alitamani kuhama ahamie ofisi nyingine lakini alipomwambia Jiwe alimkaripia akaufyata.Acha utoto....
Si ujinga katiba kuweka kipengele cha KINGA dhidi yao....
Una uhakika mimi simjui na familia yake ?!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Muulize Furaha Dominick atakueleza [emoji1787][emoji1787]
Hii si kweli hakuna ufisadi JPM alipambana nao nachojua alideal na wapinzani wake tu kisiasa. Mfano kina Bulembo walikuwepo kwenye list ya mafisadi wa Mali za CCM so was Rostam ila sikuona walichukuliwa hatua sasa ni vita Gani hiyo ambayo ipo mdomoni tu sio kwenye vitendo.raisi yoyote yule ataefanikiwa kupiga vita ufisadi Tanzania bila kupoteza uhai wake.
Hapana huyu alikua na maadui wengi sababu ya nature ya uongozi wake wa kiherere here na ujuaji mwingi na sio kupambana na ufisadi. Kwani huwezi kupambana na ufisadi mpaka utukane watu hadharani?Tumeona wenyewe hayati JPM kajaribu lakini tumempoteza, huo ndo ukweli.
Unfortunately kwenye nchi za demokrasia Hili hakiwezekani maana Ili uwe Rais lazima uwe na kundi la wafuasi hivyo ukisema uchukue hatua uwe tayari kugombana na chama kizimaMtu anaefanya ufisadi akigundulika ni kifungo cha maisha jela.