CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

Msitutoe kwenye hoja ya Bandari
 
Unatetea watu walio karibu na raisi wainuke ki uchumi. Sawa mnaakili Sana wa Tz
 
Sijaona makubaliano yao na kwanini kampuni kubwa iwe inalipa na malipo yanajadiliwa kwenye mikutano ya pamoja na IGP na wao wenyewe.

Sijawahi kuona wala kusikia rushwa ya sampuli hiyo.
Kuna vitu havifai kutetea,
 

Worst case scenario hapa ni kwamba na wao wapo kwenye payroll
 
Hayo ni mawazo yako wewe na sina sabau ya kukupinga, isipokuwa elewa haya:


Ukienda kupaki gari nje ya polisi unaweza kuulizwa pesa za ulinzi na unalipa cash na siyo kosa la jinai kwa Tanzania.

And then baadae sisi kina kajamba nani tunadanganyika eti kuna chuki za kidini..ambazo watu wenye akili ndogo wanazitumia kutuvuruga bila sababu zozote ili waendelee kula kwa upole.
Nikiona leo Sudan Ya kusini na Sudan ya Kaskazini zinavyosambaratika, najiuliza wanaopigana sio watu wa dini moja? Mbona wanachinjana kama kuku wenye mdondo?
Tanzania tuache haya mambo ya aibu ya rushwa, dhuluma, kutumia vibaya nafasi na mali za umma etc...hatuna matatizo hayo ambayo walafi wanataka kutupa.
Tupambane na wala rushwa na mafisadi kama kweli tuna nguvu hizo. Vinginevyo tufunge midomo milele maana tutahukumiwa mbele ya Mwenyezi Mungu mwenye haki
 
Kuna vitu watu wanajiandikia ujinga tu, hata hawaelewi kilichoandikwa, mradi "fulani kasema".

Wajinga ndiyo waliwao.
Kweli sisi wajinga tunaliwa kweli kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…