William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Vipi mbona hot au wafikiri alias name zimetupiga chenga?
members wetu ambao kwa kiasi kikubwa huwa wako driven by HATE na ENVY badala ya kujenga hoja kumjenga au kumbomoa mtu basi why not isitumike HOJA badala UDINI na BACKGROUND ya mtu?
- Januari hajawahi kuwa kiongozi zaidi ya kua msaidizi wa Rais, kazi ambayo haimpi nafasi ya kuonyesha makucha yake, sasa anataka independence ya kuonyesha uwezo wake kiuongozi, na ni kijana kama tunavyotaka,
FMEs!
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni
leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.
Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....
Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....
Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.
- This is incredible, yaani Januari mara katoa pesa za shule zimekubaliwa, mara hatakiwi, mara wanamchukia baba yake, lakini mara hawamfahamu na hajulikani lakini alishawapa hela za shule, mara amekwua akijiotanganza na kujinadi sasa you wonder what is what na hii habari tena ya kulewta na a Great Thinker. Duh! kuelekea uchaguzi tutajionea mengi sana!
es!
- Ni tabia ya mwizi siku zote kufikiri watu wote wengine ni wezi kama yeye. Anyway, sina muda wa kujadili hewa mkuu badala ya hioja muhimu kwa taifa, naomba nikuachie uendeelee na mjadala wako, ila ukinihitaji sipo mbali sana!
William.
Hapa kuna matatizo mawili makubwa
La kwanza nilishalitaja hapo awali nalo ni IMMATURITY ya baadhi ya wachangiaji au members wetu ambao kwa kiasi kikubwa huwa wako driven by HATE na ENVY badala ya kujenga hoja kumjenga au kumbomoa mtu basi why not isitumike HOJA badala UDINI na BACKGROUND ya mtu?
Humu ndani mmmoja kati ya makamanda wetu hapa JF ni WILLIAM MALECELA ambaye if anything regardless whether mnakubaliana naye au hamkubaliani naye lakini we always judge his views lakini si kwa sababu ni mtoto wa Mzee Malecela.
Sasa tatizo la January ni kuwa na Baba ambaye ni Mwanasiasa ambaye in one way or another kutokana na nafasi ambazo aliwahi kushika au anashikilia amekuwa vocal na saa zingine wengi hawapendezwi na anayosema kama ambavyo wengine hawapendezwi na aliyokuwa akisema Mzee Malecela. Nitakuwa mjinga sana kama nikatumia criteria hiyo kama kigezo cha kumcriticise not only William bali January, Ridhwani na wengine ambao walizaliwa kwenye hizo family by BIRTH.
Sababu ya pili nadhani inatokana na FRUSTRATIONS ambazo zinatokana na portrait halisi ya Tanzania's new ruling class na kwa mitazamo ya wengi humu JF kundi hili ni arrogant, out-of-touch alliance of MPs and other insiders who ruthlessly pursue their own interests, ignoring the public good na hizi zinaleta hii new JF phenomenon ambayonaweza kuiita JANUARYPHOBIA au sijui tuiite MAKAMBAPHOBIA (maana naona hata dada yake Bi Mwamvita has always been on firing line from some members wa JF )
Tunajua kuwa tangu Mwinyi aingie Madarakani na kuanguka kwa ukomonisti mambo mengi yamebadilika Tanzania na kumekuwepo kwa tofauti kubwa sana za kijamiii na if anything Tanzania ya leo si ile yenye tofauti kati ya WAJAMAA dhidi ya MABWANYENYE bali ni naweza kusema kuwa tunachokiona hapa ni division is between a narrow, self-serving and - increasingly corrupt Political Class and the mass of ordinary wananchi au WALALAHOI na kuelewa how modern day Tanzanian politics zinavyofanya kazi ni muhimu kujua Sinificance ya OLD ESTABLISHMENT ya the SYKES,NYERERES,BOMANIS, RUPIAS and so on hivyo tusijidanganye na I will say it...today it is impossible to grasp how power operates without understanding the nature of this Political Class in Tanzania.
Lets face it, hii Political Class yetu ni metropolitan na ni Dar-based. Hivyo its obvious kuwa members wake wana perceive life through the eyes of a member of Dar es Salaam's affluent middle classes ambao wengine wanashinda humu JF. Na hii inawabadilisha kuwa separate, privileged elite kama the SHELUKINDOS, ambao wako isolated from the aspirations and the problems of provincial, rural Tanzania....na mbaya zaidi ni kuwa as standards of decency, morality and education spiral ever downwards kwenye majimbo na mikoa mbali mbali Tanzania, we are rapidly acquiring an electorate kama ya aliyeleta hii thread ambayo ni incapable of rational thinking beyond anything that does not put UDINI au UZUSHI kwenye kujenga hoja zao!
Lets face it sasa hivi we are ruled now by this elite of time serving self-advancing bureaucrats and placemen. Kundi hili la Akina SHELUKINDO ndilo lina form the same social class, have the same values, the same goals and aspirations (money and power). Sasa kama kuna watu wapo ambao wanataka kubreak hii circle be it ni MNYIKA or JANUARY MAKAMBA or ZITTO then beit sie wengine tushachoka lakini kwa mtizamo wangu ni kuwa hawa old SHELUKINDOS, KIGODAS, RUPIAS they are exactly the same, pigs swilling in the same trough.
By the way I'm not sure how DIRTY huyu SHELUKINDO wants to play it kwani naona gloves are off na its just a matter of time watu waka chose sides ili tujuane ni akina nani wanataka CHANGE na akina nani wanataka kuendelea hili kundi la WAZEE walioishiwa
Mkuu FMes imewahi kudaiwa kuwa Raisi ni mzuri ila anaangushwa na wasaidizi wake. REDET pia walitoa taarifa eti iliyofanyiwa utafiti kuwa Uongozi wa Kikwete ni safi ila serikali yake aliyoiunda mwenyewe ndiyo inapwaya. Sasa hawa wasaidizi wake ndio akina nani na kwa nini January si moja wao.
.Kwa mfano hadi sasa sasa kwenye articles zenu zote za kumtetea Kijana January bado hujanionyesha kwenye nafasi yake kama mshauri wa Rais wa Jamhuri wa TZ kafanya nini kuwaletea maisha bora watz
January atuambie,kwa nafasi yake ya ushauri wa Rais kawafanyia nini watz?Haya maneno kama ni modern intelluctual wa chuo maarufu USA haina uhusiano wa kuja kuwa effective kuwahudumia watz kwani hata Chenge au Balal nao walisoma vyuo maarufu USA!
Tunataka rekodi ya uchapa kazi wa January Makamba kama mshauri wa Rais kwa miaka hii 5 ya utumishi wake,lkn hivi hivi kwa maneno yenu akina Game Theory na FMEs "sidanganyiki ng'o"
...Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......
Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......
Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???
Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....
From where? Mbona unaweweseka? Njia ya mwongo ni fupi. Hata hivyo bado nasimamia niliyosema hapo juu ni ya ukweli. hakuna ubaya wowote wa kupigiana madebe lakini upotoshaji ndio tunaoukataa.
.
Nape, Ridhwan, January etc wanasimama wenyewe kwa merits zao wenyewe regadless ni watoto wa nani, naomba tuwahukumu wao kama wao na sio kwa majina ya baba zao.
Nigga please...stop it right there. Be envious for what? Kwa sababu tu inasemekana anataka kugombea ubunge?
As far as I'm concerned, it don't matter what you or him do....y'all can run for whatever y'all want. Y'all still gonna have two eyes, two ears,two nstrils, an asshole etc. Y'all ain't gonna be that much different from the rest of the volks. Y'all gonna still shit and fart...so what's there to be envious about?
Worse of it, y'all ain't gonna do shit anyways with youe pea-sized brains (just like the rest of the volks). Mud hut houses are still gonna be there. Poverty is till gonna be there.
So I say if y'all wanna run..go on 'head and knock yourselves out. But cut this envy this jealous that everytime when something critical is said about you. Lol..why exactly be envious of someone who is an MP of dumbos anyway? Bullshit
Ku circumvent issues zinzogusa character na integrity ya January directly, na kuzifunika kwa ku address issues weak za familia yake hakuondoi ukweli kwamba January aliwakejeli wananchi wa Tanzania kama "A million flies who eat shit, they can't be wrong".
Anaweza kuya own maneno haya kabla hajawaletea wananchi longolongo nyingine? Maana isije kuwa anakenua meno katika kutafuta kura huku moyoni akifikiri kwamba "you all are shit eating flies".
Msitake kumtetea mtu majununi kama huyu.
- Mwenye tabia za kuweweseka humu anafahamika sana, Bwa! ha! ha!
es!
1) Lete ushahidi kuwa JM alisema maneno haya
2) Jibu la sentensi yako lilishajibiwa na Muyaka
MBONA UMEGHAFILIKA?
KWA JAMBO LISILO NA SHAKA?
SHETANI UMEMSHIKA
UMEMWACHA NABIA?
...kuna wataomuunga mkono, na kuna wataompinga. Lakini, iwapo wengi wetu tunataka demokrasia ya kweli, ushindi wa kura bila mizengwe na milungula, sioni sababu kwanini Bro January alipeleka hiyo misaada ya pikipiki nk ilhali tayari kulikuwa na minong'ono "atatumia jeuri ya pesa!"
BTW, hivi ni kweli wananchi wenzangu wa pale Lushoto wanahitaji piki piki kujiletea maendeleo yao, au kuna 'siri-sirini' kusambaza huo usafiri wa haraka?
Tayari kashaanza kunuka rushwa hata ofisi hajaipata.
Nyerere angeuliza, huyu mfanyakazi wa serikali pikipiki kazipatapataje? Na atazirudisha vipi?
Inabidi tujiulize na sie.
Kama jambo halina shaka unaomba ushahidi wa nini sasa?
Angalia sasa unajivua nguo mchana kweupe. Ni aibu kwa kweli una michango mingi tu mizuri lakini unapojibadilisha kama kinyonga hapo ndio unapopotea step. Tuliza boli unahitaji kujipumnzisha na kufikiri hakuna kinders hapa.
Tupingane kwa hoja na sio kama vinyonga au nani kapayuka zaidi.