CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

Right here! I will never under any circumstance work there....never.

siwezi kukukatalia hadharani,HUENDA unasema ukweli pamoja na mashaka niliyonayo kuhusu hilo..sababu yangu ya kutokukupinga japo sikuamini ni kuwa sikujui,sijui unapataje mkate wako wa kila siku wala uwezo ulionao kupata kazi za kueleweka na sehemu nyingi kiasi gani zisizo ikulu ya Kikwete,ila nnachokuambia ni kuwa huongei kwa nafasi waliyonayo watanzania wengi.
 
lete ushahidi ni wapi JM alisema maneno hayo na alimwambia nani


Ushahidi upo kwa Kasoro Mihayo moderator wa www.youngafrican.com, kwenye archives huko ndiko kuna madudu yote aliyosema, mengine unprintable hapa.Mimi najua kwa sababu nilikuwepo.

Mie sina muda mchafu wa kukeep archives za maneno ya pretenders kama kina January na hangers on wao wanaotokwa mate kwa njaa ya madaraka.

Nchi yenyewe tunaiangalia tu, ikiwa ndio wajinga wajinga kama hawa wanaenda kuishika si hatari kujivua uraia vile vile.
 
Jamani hii nimeinyofoa kwa mchangiaji mmoja kule bidiiforum

"Nadhani, mtu kama Mzee Shelukindo akiwa na miaka 71 kwenda kugombea na
kijana mdogo kama Januari Makamba sio afya kwa Taifa. Januari agombee Ubunge na vijana wenzake au watu wazima kidogo na Mzee Shelukindo apumzike".
 
and ??????? ...
 
Makamba J inabidi achukue tahadhari na njia anazotumia kutaka kujinadi kwa wananchi wa jimbo la bumbuli. ni utamaduni mbofu na mazoea yaliyojaa uozo ambao tumeuendekeza kuwa utakapo kugombea ubunge shurti utoe takrima. Ushauri wa bure tu kwa makamba J ni kuwa aweke mikakati endelevu ambayo itawashawishi wapiga kura wa bumbuli na vyema kujua kuwa ni process ambayo matokeo yake yatakuwa gradually. kama kiongozi kijana mtarajiwa inabidi aonyeshe mapinduzi ya kifikra na mtazamo ambao utawatofautisha na viongozi wa moingo iliyopita.
 

- Glad kwamba finally umekubali kwamba kupingana kwa hoja ndio muhimu, maana unajua perosnal utachafuka maana ulishachafuka sana kwenye really life licha ya hapa, sasa I am back bring it on anyway, perosnal au hoja you know better,

- Nilikuwa nimetoka kidogo, sasa nipo bring it on! kama ulivyosema mwenyewe hakuna mtoto hapa wote watuwazima, I love it! ila nenda kule kwenye mjadala wa Ngeleja utakuta majibu yako very clear na niGnaweza kurudia na kuongeza tena, hutishi mtu hapa tisha wajinga hao hao huko kwenu!


es!
 

- Mkulu Pasco, salute na kwa mara ya kwanza tupo ukurasa mmoja, Great Thinkers ni vyema tukajiepusha na kujishusha hadhi na hoja za wivu na chuki za binafsi, hakuna scientific facts zozote zinazosema kiongozi bora ni lazima awe mtoto wa masikini!

- Januari anatuwakilisha vijana wengi Tanzania, na ndio tunachotaka kuwa-challenge wazee kwenye maeneo yao tena mbele ya wananchi, na kwa hoja.

Respect.


FMEs!
 

- Sasa wewe mwenyewe ushasema ni tatizo la system, what is Januari problem hapa, watoto wangapi wa viongozi wameshindwa uchaguzi na wanafahamika?

- Mbona mtoto wa Warioba hakumshinda Kimbisa kwenye umeya? Muacheni Januari awakilishe kizazi kipya wakuu!

Respect.

FMEs!
 
Tatizo letu bongo, wanaojulikana hawana sifa, wenye sifa hawajulikani.
 

Khe khe khe nicheke mie. Sasa unaongelea my personal real life? Mjadala wa Ngeleja unanihusu nini mimi? Je, nimesema chochote huko? Sasa huku kwetu ni wapi kuliko na wajinga?

Sikiliza haya ndiyo mambo ya kutishana nyau ambayo yanajidhihirisha jinsi unavyojivua nguo tena kwa hiari yako mwenyewe. Mimi bado nasimama kwa dhati kwa kile nilichokiandika hapa kwenye hii forum. Kila nilichoandika ni kweli tupu. Jazba unazoonyesha ni kuashiria jinsi gani ambavyo hujakomaa kihoja - inatia aibu. Ukiangalia post yako ya #98 ulisema mimi nimemtukana January Makamba nikakuuliza unaweza kunionyesha hapo? No hukuweza kujibu hilo, Now unataka personal life na wajinga wa huku. Haya nyie werevu vipi?
 


- Nonsense na irrelevant to the ishu at hand, Januari ana haki zote za kugombea ubunge, wewe huna kwa sababu sio raia wa Tanzania kama sisi, sasa tuachie taifa letu bro, unaweza kushauri tu lakini huwezi kutuamulia anything, sisi wenye taifa letu ndio tutaamua nani anafaa na nani hafai, the rest of your rants ni kawaida yako miaka 62 sasa lakini akili za mtoto wa miaka 10 na kulala humu JF, na mi-ID 1000, aibuu sana kwa umri wako na elimu uliyonayo, inatia kinyaa sana!

- Wewe umekomaa kihoja sasa why waste your time na wasiokomaa kihoja, unaona unajivua nguo mwenyewe na uwezo mdogo wa kufikiri, kila kukicha kunifuata fuata na huku sijakomaa kihoja Bwa1 ha! ha! ha! ha!

- Pole sana mkuu ila hatishiki mtu hapa na mi-ID yako, unaweza kubadili as much as you want, ila utaendelea kudanganya wengine sio mimi, hii mada umeileta kwa sababu ya tabia zako za kawaida za chuki na wivu, huna lolote mkuu siku zote umejaa chuki na wivu!


es!
 

Babu, gaffe kama hizo zinagharimu kwenye jamii zilizo sophisticated. Bongo hata unaweza ukawatukana watu bila hata ya wao kujua na bado wakakuchagua vilevile.

Si umesikia alichosema Harry Reid kuhusu Obama na "no negro dialect" na kuwa "light skinned"? Sasa mark my words...huyu jamaa ndiyo kwishney...come november he'll no longer be the senate majority leader let alone being a senator.
 
Babu, gaffe kama hizo zinagharimu kwenye jamii zilizo na sophisticated. Bongo hata unaweza ukawatukana watu bila hata ya wao kujua na bado wakakuchagua vilevile.

For real?

Mbona kuna mzee mmoja alisema "You all can go to hell" halafu hao hao unsophisticated peeps wakamtoisa?

Tusi wa underestimate watu, inabidi tuwaeleze huyu January ni nani.Mimi tatizo ninaloliona ni kwamba watu hawana access na JF, na hatuna press ya ku pick up on a line like this. Lakini kama anabanwa kujieleza kuhusu hili mbele ya wananchi watu watamuona mtu wa ajabu kutaka kura za hawa nzi wala mavi.
 

Sawa, lakini ni wangapi wanaotusi na kutoswa? Halafu huyo huyo uliyemrejea anafanya nini sasa hivi?
 
- Wanacnhi wa Tanzania hasa huko Tanga, mbona walishampa ubunge mtu ambaye alikuwa mwizi anatafutwa US, kwa kukimbia na karibu dola elfu sabini za credit cards, labda wabongo ndivyo tulivyo na huyu mtu akaishia kupewa rushwa na Mwapachu, ili ampishe kiti cha ubunge tena kwa maneno yake mwenyewe yule mtu akiniambia mbele ya mtoto wake anayejifanya kichwa mbele sana hapa sasa, Bwa! ha! ha!

- Kweli ndivyo tulivyo, alijisemea Mkulu Nyani! sasa tuko kuangalia maboriti ya wengine, ya kwetu hatusemi na inachekesha saan kwamba haya yote ni huko huko Tanga. Bwa! ha! ha!

Respect.


FMEs!
 

Si unaona shida yako. Hii mada mimi sijaileta wala sina miaka 62. Mkuu mimi Mtanzania wa kuzaliwa na nimekulia Tanzania na kusoma Bongo. Hizi tarumbeta zako za Pwagu na Pwaguzi ni za kuishiwa hoja. Unajiadhiri tu. Wewe sio Mod unawezaje kujua ID zangu ndio nikakwambia wewe tishia nyau tu.

Umetaka hoja nimekwambia maneno yangu yote yako wazi na bado nasimamia nilichoandika.
 

Ukweli mtupu jemedari
 
baba yake ana ushawishi ktk serikali.

Ushawishi katika Serikali una maana gani? Je ushawishi wa karibu, ndani au katika Serkkali umesadia vipi kuleta maendeleo katika jimbo na wananchi wake?

Ni kwa nini Watanzania wanaendelea kupumbazwa kuwa eti mtu akiwa karibu na viongozi wa Taifa au akichaguliwa kuongoza jimbo, ni muhimu aingie katika madaraka ya Kiserikali au kichama kama wasifu fulani wenye mvuto, ilhali utendaji kazi na hata uhamasishaji wa kuleta maendeleo kwa wanajimbo haupo?

Kuna manufaa gani kujivuna kuwa fulani ni Waziri, Msaidizi wa Rais, Mwenyekiti wa Chama au Binti wa Muasisi wa Taifa ikiwa baada ya kupewa dhamana, wanabakia kuwa ni wanaojitumukia na si majimbo yao?

NI Wabunge wangapi ambao ni mashuhuri wa jina kutokana na vyeo au mahusiano fulani ambao wameleta mafanikio ya kweli katika majimbo yao?

Hii dhana ya kusema mtu ana ukaribu na fulani au ni rafikiwa fulani ni ya kijinga sana. Mtu apimwe kwa matendo na kauli zake, kama anafaa apewe sifa, kama ameonyesha matunda ya kazi aongezewe muda.

Lakini kama ni kauli na umaarufu tuu, bila vitendo, basi zaidi ya asilimia 75 (75%) ya Wabunge, Wanasiasa na Viongozi wa Tanzania hawastahili kuwa katika nafasi walizonazo na dhamana walizopewa inapaswa wanyang'anywe!
 
Lakini kama ni kauli na umaarufu tuu, bila vitendo, basi zaidi ya asilimia 75 (75%) ya Wabunge, Wanasiasa na Viongozi wa Tanzania hawastahili kuwa katika nafasi walizonazo na dhamana walizopewa inapaswa wanyang'anywe!

Mwambie Kiranga....
 

- Mkuu Rev, tumewashauri wale wote wanaogombea na wanaodai kwamba mimi niko karibu na Rais, kuwaomba wananchi wawanyime ili wapewe kazi na Rais, maana wako karibu naye, watapewa anyways!

Respect.


FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…