MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
GT
What is this? Provoked and then you are this way?
Cant you summarize this reference?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kijana amekwishafulia, alikwenda Lushoto kwa gia kuwa ametumwa na Rasis na kwamba akichaguliwa atakuwa waziri; sasa juzi Jakaya kasema wazi wazi kuwa watu wanaopitapita kujitangaza kuwa amewatuma ni waongo yeye hajamtuma mtu kwenda kugombea ubunge!! Sasa watu wa Lushoto wameisha stukia hata vijizawadi wapambe wa January wanavyojaribu kugawa wanaambiwa HATUDANGANYIKI!!
Inawezekana Mkulu ameshamwaahidi unaibu waziri. Ana haki kama mtanzania mwingine lakini je nchi inakuwa ya kifalme sasa?
Let us try and be honest here, are you really sure of this considering the way our political system operates ? Kwamba mtoto wa mkulima anayo nafasi sawa na mtoto wa Raisi na Mwenyekiti wa CCM au mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM ? Let's not kid ourselves, kwa mambo yanavyoendeshwa Tanzania hili ni kama vile kudai vyama vya upinzani vina safasi sawa na CCM. Kwa mfumo wetu wa utawala huku ni kudanganyana na kuamini hivyo ni kama sawa na kuiga tabia ya mbuni - by burying our heads in the sand.
Umerudi tena
Quote from where?
uliambiwa ulete ushahidi kuwa January alisema/aliandika maneno hayo umeshindwa
let it go man, unazidi kujidhalilisha maana JF style ni KUMKOMA NYANI GILADI na suitegemee useme kitu bila kuja na evidence za kuback up your claims
Tuletee ushahidi kuwa January Makamba alisema maneno hayo Tafadhali!!!!
- Mkulu GT, saafi sana na tupo pamoja sana hapo, kugombea ni haki ya kila mwananchi wa Tanzania, kujinadi kisiasa ni haki affordable by our laws of the land, kama ninawaelewa wengi hapa ni kwamba Tanzania tunahitaji sheria maalum kwa watoto wa viongozi na nyingine kwa ajili ya watoto wa waongozwa, and that kind of thinking is pathetic!
- Wananchi wa Bumbuli ndio peke yao wenye haki ya kuamua nani wanayemtaka na sababu za msingi sio kwa sababu mtoto wa Makamba, yale mambo ya kiognozi mzuri lazima awe mtoto wa masikini Tanzania tumeshindwa kuthibitisha hilo kwa sababu mifano iko wazi kwamba sio kweli watoto wa masikini ndio wamelifikisha hili taifa lilipo sasa, ni haki ya kisheria ya jamhuri Januari kugombea nafasi yoyote ya uongozi katika Tanzania na nafasi aliyonayo sasa inampa an edge maana sio mchezo kuifanyia kazi Presidential Insititution, huyu kila siku ya Mungu anaona siri nzito sana za taifa!
Respect.
FMEs!
Kuna watu wanajishtukia hapa, hata kabla hujasema kitu kuhusu watoto wa vigogo wao washaona umewasema.
Kwa taarifa tu nimembamiza January kwa sababu ya maneno aliyosema ambayo yanamuonyesha kuwa si mtu mwenye kujali wananchi bali ni courtier tu anayetaka kupanda ngazi.Nchi yenyewe tushawaachia ile kama alivyosema Mwanakijiji. Baba zenu washakula, na nyie mle mpaka vitukuu, kilichobaki kutafuta vitabu vya kibuluu tu usawa huu. Hujaguswa ushamaka, ukichomwa mkuki je? Nchi kuwaachia tushawaachia, sasa hata kusema tusiseme? Laana tupu, si January, si Shelukindo, si nani, CCM nzima laana tupu.
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.
Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....
Mapokezi haya mabaya ya January ambaye anasema ametumwa na rais kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee Makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....
Wengi wamekuwa wakisema January hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.
Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......
Mzee Shelukindo nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wake waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......
Naona wana-JF wameshaanza kujitokeza..... Tumuunge mkono January!?
Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa jamvini.....
MtazamoWangu Re: CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli
Watu wanauliza alishindwa baba yake mara mbili itakuwa yeye asiyejulikana ?
Mzee makamba mwenyewe ameshindwa kumnadi kijana wake baada ya kufukuzwa na wananchi alipoenda kumnadi jm,
- It works both ways na ni none ishu cha muhimu ni haki ya Januari kugombea uongozi, kuwa au kutokwua mtoto wa kigogo au maskini ni absolutely out of the line sheria ya Tanzania ni moja tu kwa wote.
- Yale yale hakuna fundisho nyani bwana hajioni hata siku moja, I mean talking about mibaba mijizi mbona itakuwa aibu sana hapa, kama hoja zimeisha ni bora kuweka kalamu chini kuliko kuanza kujivua nguo na mibaba mijizi! Bwa! ha! ha! ha!
- Can we talk about mibaba mjizi? Bwa! ha! lijitu halijaguswa tayari lishaanza kujihami inachekesha sana! kama huna hoja acha hii avenue you know kwamba ni self destructive sijui kwanini huwa unaianza anyways!
Respect.
FMEs!
January kashawaambia Watanzania, including you, kwamba "A million flies cannot be wrong, they eat shyt". The masses of Tanzanians cannot be wrong, they all vote CCM. Vote CCM = Eat shyt.
You eat shyt. Huyu ndiye mbunge wenu mtarajiwa. Mnategemea atafanya kipya?
- Evidence please!
Es!
Mjadala unatakiwa uwe kati ya January Makamba na Mzee Shelukindo nani atakuwa mbunge mzuri kwa watu wa Bumbuli. Wewe unamtetea Mzee Shelukindo wakati amekuwa mbunge kwa miaka kibao na hajafanya lolote la maana kwa watu wa bumbuli. Ukweli ambao hautaki kuusema ni kwamba Shelukindo nae hakubaliki sana kule jimboni na watu wamemchoka. Wewe unataka tumuone yeye ndio victim wa CCM machinery. He is an incumbent, he has to defend his records.wewe hata wakati hii thread inaaza ulibisha kwamba JM hagombei ubunge, sasa hvi kila unachoambiwa unataka ushahidi wewe mbona hutoi ushahidi wa kubisha kwako.....unalazimsha hoja hii iwe ni chuki wa watoto wa wawakubwa....wivu....lazima pale tunapoona kuna mtu anataka kutake advantage ya nafasi yake ili kuwarubuni wananchi tuseme, mungu mkubwa wananchi wa bumbuli wameshaona rangi za january mapema, uongo, ulevi na dharau.....na wameapa kula pesa zake mpaka mwisho lakini ubunge hawampi.....na huwezi kubadilisha misemo ya busara kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka....
na kama ukitaka ushahidi, fuatilia kampeni za JM jimboni, timu yake imeshaanza kuparaganyika hata kabla ya muda..
na mzee shelukndo ameshafika jimboni baada ya kusikia michezo michafu inaendelea....ngoja tufuatilie tuone haya mapambano yataishia wapi....