William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Kila mwanachi ana haki ya kugombea uongozi, na kila mwananchi ana haki ya kujinadi wakati wa kampeni za uchaguzi huo, kuwa au kutokuwa mtoto wa kiongozi au wa masikini kama sio waongozwa haibadilishi anything,
- Maoni ya mwananchi mmoja humu JF sio ya wananchi wote kule Bumbuli, serious accusations kama za hii thread ni lazima ziambatane na some type of evidence au facts, otherwise ni waste of our valid time,
- Waliolifikisha hili taifa hapa lilipo ni watoto wa maskini sio wa viongozi, sasa hizi bakora itabidi tuanze na watoto wa masikini na baba zao, hili ni taifa la wananchi huru na ni la kibepari, sasa tusitishane as if kuwa masikini au mtoto wa masikini ndio kuwa na haki zaidi kikatiba kuliko kuwa mtoto wa tajiri au kiongozi, hizi ni empty thinking na hazina nafasi kabisa kwa taifa letu, kama ni rushwa tunajua imeanza lini Tanzania haikuanzishwa na watoto wa viongozi, kama ni umasikini wa wananchi haukuletwa na watoto wa viongozi waliouleta tunawajua sana, sasa please watu waache kutisha wengine hapa na empty b/s!
- Hili ni taifa la wananchi wote wa Tanzania, iwe mtoto wa masikini au wa tajiri au wa kiongozi wote ni wa-Tanzania na wote tuna haki sawa, kama ni bakora ni vyema tuanze na wale waliotufikisha hapa tulipo, yaani watoto wa masikini! Kilichotaka kusemwa katika kuanzisha hii thread, kimeshaonekana yaani chuki na wivu wa kujinga dhidi ya watoto wa viongozi wanaotuzidi maarifa, bahati mbaya sana hakuna katiba inayosema anything on that yaani watoto wa viongozi na wa masikini, sasa kam a tumeishiwa hoja ni vyema kuweka chini kalamu, badala ya kuanza kutishia wengine eti kwa sababu ni watoto wa viongozi, sometimes huwa tunaishia ku-reveal inferiority zetu I mean ni Great Thinker gani anayeogopa mtoto wa kiongozi, hii thread ni aibu kubwa sana kwa taifa! na wananchi wote wenye akili nyingi sana!
- Januari ana haki za kugombea na kujinadi kama katiba inavyosema, hakuna la kuongea wala kupunguza!
Respect.
FMEs!