Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
please enlighten me!!!
Soma post za juu, nikwambie mara ngapi? Particularly zangu.
If January and his types are the best and bright "future leadership" of this country then we are fvcked!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
please enlighten me!!!
Soma post za juu, nikwambie mara ngapi? Particularly zangu.
If January and his types are the best and bright "future leadership" of this country then we are fvcked!
ohhh dear
and what exactly do you mean by 'his types' ?
Wenye kuweka mbele DNA zao za kijani zaidi kuliko ukweli.
Simuoni January kama mtu mwenye uchungu na nchi, namuona kama courtier tu.
And how did you reach to this conclusion?
january makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.
Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....
Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na rais kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....
Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.
Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......
Mzee shelukindo nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wake waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......
Naona wana-jf wameshaanza kujitokeza..... Tumuunge mkono january!?
Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa jamvini.....
Sio mbaya aachiwe agombee kwakuwa ni haki yake kama mtanzania wananchi ndiyo watakuwa waamuzi kama wanamtaka au laa.
Selemani smacks of Curtis if you ask me. Much too much, perhaps they are ideological cousins like Bluray and Kiranga.
GT usijitie hujui kusoma, au unarukia post ya mwisho tu?
This guy is going to run on the constituency ambayo, the current MP is somehow vocal in the house in comparable to many who just go to sleep and collect their allowances.
We need these people ingawa their not 100% trustworthy, but they give out their best shots under the circumstances, in raising some of our social concerns in the house.
Kwahiyo apite bila kupingwa? Mawazo mufilisi sana hayo! Kama mtu amefanya makubwa watakaoamua ni wananchi.
Makamba na mtu mwingine yeyote ana haki ya kugombea full stop.
Hapa JF kila anayetaka kugombea hafai; nyie mnaofaa, nendeni basi mkagombee.
All in all he still has the right to run for the sit, we might only speculate but he JM knows the real motives of his political ambitions. Lets hope a fair election his conducted na mwenye kushinda ashinde, but i truly believe Tanzania sasa ianze kupiga marufuku kutoa misaada wakati wa campaig hii inachangia kurudisha mafisadi or bringing in new ones.
Go January,sasa shelukindo aliahidi ndo mwisho 2005 anataka nini tena?Jamani ila hizi kampeni za mapiipiki wakati watu wanaishi kwa dola moja,kweli watu wanahitaji ukombozi wa kifkira
Baada ya kuichunguza thread kwa makini nimeonelea sitaeleweka hivo nimeghairi kuyafungua yaliyokuwemo kwenye makabrasha yangu.
- Wakuu watoto wa viongozi wana haki sawa kama watoto wa waongozwa kikatiba, na pia watoto wa matajiri wana haki sawa kama wa masikini kikatiba yetu, Tanzania hatuwezi kuanzisha sheria ya kuwakataza watoto wa viongozi kugombea uongozi, maana kama ninawaelewa vizuri wajumbe wengi katika hii thread, they are falling short calling for that yaani sheria ya kuzuia watoto wa viongozi kugombea uongozi.
- Ni mawazo ya hatari sana kwa wananchi kuwa nayo hasa waliosoma, na the so called exposed, ni mawazo ya kuligawa taifa na kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na viongozi wao na hasa watoto wao ni mawazo unprogressive na Tanzania hatuyahitaji, kwa sababu yakiwa entertained ni vigumu ku-draw the line, leo itakuwa watoto wa viongozi, kesho itakuwa wazee, keshokutwa itakuwa kinamama, and then itakuwa vilema, sasa where do you stop with this madness?
- Haya maneno ya eti mtoto wa Matumla ni lazima awe bondia kwa hiyo ndio mfano hai kwamba mtoto wa masikini akipewa uongozi ataendeleza umasikini ni maneno mabovu sana na ni matusi makubwa sana kwa jamii. JF tunatakiwa kushauri ideas ambazo zitasaidia taifa na creation ya new sound poilicies kwa the future of our nation, sasa what the government should take a note from this debate, kwamba tuanzishe sheria ya kuzuia watoto wa masikini au viongozi kugombea uongozi?
- It seems watu nowadays tunaanza ku-run out of ideas za kusaidia taifa letu, I mean a big and long thread, kulalamikia watoto wa wananchi wenzetu ambao hawajavunja sheria yoyote, wala kumuibia mtu zaidi tu ya kutumia haki zao za kikatiba kugombea uongozi, inasikitisha sana na infact inatisha sana, yaani kwa sababu wewe ni mtoto wa masikini basi uwe na more rights katika sheria zetu katika kufikiriwa kugombea uongozi, kuliko wengine kwa sababu ukiwa mtoto wa masikini utaendeleza umasikini kwenye taifa! Mnasema hizi ideas zinatolewa na those who are supposedly over-educated na intellectualls katika jamii yetu?
- Maneno mengi sioni popote ambapo walalamikaji wanashauri kwamba wapi ni the rightful place kwa watoto wa viongozi kufanya kazi, inaonekana wengi tunaamini kwamba ni watoto wa masikini tu ndio wanaoweza uongozi, sasa tuambieni ni nani waliolifikisha hili taifa hapa tulipo kama sio watoto wa hao hao masikini? Hii debate ni waste of time na ni nothing ila ubaguzi wa ajabu sana na tukiendelea hivi hili taifa tunakwenda pabaya sana, yaani Januari asitumie haki yake kikatiba kugombea uongozi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi Makamba, na mnasema haya maneno yanasemwa na watu walioenda shule tena wengiwao shule za nje, ambako watoto wa viongozi wapo kila kona za uongozi na hakuna tatizo lolote!
Inasikitisha sana wakuu, tuache kupanda mbegu za chuki na division kwa taifa letu, wananchi ndio waamue nani wanamtaka na nani hawamtaki kwa kutumia demokrasia tuliyonayo, yaani kupiga kura hakuna njia yoyote nyingine, hatuwezi kuanzisha sheria mbili katika taifa letu, moja ya watoto wa masikini na nyingine ya watoto wa matajiri, au ya watoto wa viongozi na ya watoto wa waongozwa, it does not make any sense!
Respect.
FMEs!
Fine,
Then let's stop this bs kwamba Tanzania is a classless society, with eaqual access to all. We might as well declare black on black apartheid and put some people into some homelands while bestowing knighthood, Maharajahood and Sultanhood on others.Sheesh.
Tujue moja kwamba ukizaliwa katika familia ya mchimba chumvi you are almost certainly destined to be a mbeba chumvi, just like medieval europe.They used to call that "knowing your station in life". By the way mizizi ya racism, the Aryan nation, Nazism and all these white supremacy bullshyt theories are essentially rooted in the same theory. I thought Napoleaon, the enlightenment, the Revolutionary War, the Bolshevik, the rare and more benevolent aspects of Mao, and the Fabians, in our case, most notably by Nyerere took care of that.How wrong was I.
Hayo mawazo uliyoyatoa hapo juu ni hatari sana, kwa sababu deep underneath hayako progressive, yanajenga class and caste systems. Kama unavyotaka watu wasi-m judge January vibaya kutokana na pedigree yake, vile vile unatakiwa ujue kwamba watu hawatakiwi kum judge favorably kwa sababu ya pedigree yake. Kuna failures wengi - kina Hussein Mwinyi na Charles Nyerere- just to mention two, ambao wametoka katika hizi so called political pedigrees.
January Makamba inabidi awajibu wananchi kwamba alimaanisha nini aliposema "A million flies can't be wrong, they eat shit" huku akiwafananisha watanzania wanao vote against their interests (CCM) na a million flies who eat shit. Labda anaelewa kwamba CCM ni tatizo, lakini kama ni hivyo ametumiaje influence yake kubadili mambo? the fact kwamba baba yake ni party general secretary haiwezi kuwa ignored in this aspect.
Kama anafikiri CCM ndio tatizo kwa nini bado yuko humo?
Kama anaamini CCM ndicho chama bora, basi hatufai kabisa, especially kwa sababu hakuna appreciable change anazoweza kutuambia kwamba ka contribute significantly for the last five years.
If anything, the ascent of January is poised to produce another arrogant, good for nothing, drunk, entitlement ridden, self promoting courtier posing as policy wonk, a poor person's Mkapa (in the worst possible interpretation of the idion).
At least with the Kikwetes of this world, one can excuse them on the basis of their lack of cometency.
The Mkapas and Januarys of this world will drive us to a ditch with their political partisanship while actually possessing the ability to introduce not onlly radical political reforms, but Deng Xiaoping style economic reforms.
Mark my words, and if the server does not crash and erase all our posts, you wanna revisit this thread in 5 years.For I fear he will be elected and god forbid my worst nightmares will be realized.
Sperm lotterry my foot, more like cracpot genetics theories. Hell, even if you are right, if Yusufu Makamba is any example of how January will be then he is not the right person.
I hope I am wrong, but I cannot help butt feel the cynicism.