CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

please enlighten me!!!

Soma post za juu, nikwambie mara ngapi? Particularly zangu.

If January and his types are the best and bright "future leadership" of this country then we are fvcked!
 
Soma post za juu, nikwambie mara ngapi? Particularly zangu.

If January and his types are the best and bright "future leadership" of this country then we are fvcked!

ohhh dear

and what exactly do you mean by 'his types' ?
 
ohhh dear

and what exactly do you mean by 'his types' ?

Wenye kuweka mbele DNA zao za kijani zaidi kuliko ukweli.

Simuoni January kama mtu mwenye uchungu na nchi, namuona kama courtier tu.
 
Ngoja nikafungue makabrasha yangu. Naona yanahitajika humu.
 
january makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.

January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.

Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na rais kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee shelukindo nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wake waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wana-jf wameshaanza kujitokeza..... Tumuunge mkono january!?

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa jamvini.....

Huyu ndg.january si ndio anaandaa hotuba za Mhe. Rais kama sikukosea.

Sasa kama anajiandaa kugombea ubunge ndiyo tuseme ubunge una ulaji kuliko kuwa ikulu?

Labda ana mtazamo wa mbali, kwamba akishinda huo ubunge labda anaweza kupata uwaziri halafu kuanzia hapo akapanda mpaka ngazi ya juu kabisa ya uongozi nchini katika miaka ijayo.

Sio mbaya aachiwe agombee kwakuwa ni haki yake kama mtanzania wananchi ndiyo watakuwa waamuzi kama wanamtaka au laa.
 
Watanzania kila kukicha tunaambiwa watawala wanaandaa watoto wao kuwa watawala na watoto wa wawatawaliwa wataendelea kutawaliwa kwa kunyimwa elimu bora. Watoto wa watawala hawasomi katika shule za kata mmesikia leo ufaulu wa kidato cha nne umeshuka kwa asilimia 11 achilie mbali elimu ya msingi wanayopewa kina Kayumba ni mkakati wa maksudi wa viongozi wetu leo NAMKUMBUKA MWALIMU JKN ambaye hakuandaa watoto wake kuwa watawala. Si Januari Makamba pekee gazeti la Mtanzania leo ukurasa wa 4 ipo picha ya lowasa anamnadi mtoto wa Marehem Sokoine kutaka ubunge viti maalum Arusha. Mtasikia mtoto wa Mzindakaya anagombea Kwela au Sumbawanga mjini. Balozi Karume anataka Urais Zanzibar amrithi ndugu yake Amani aliyemrithi baba yake Abeid Karume. Mtoto wa Mzee Ruksa ni 5Mbunge na Waziri, mtoto wa Marehemu Simba wa vita Kawawa ni Mbunge, watoto wa Kikwete usiseme hata wa miaka 9 ni Kamanda wa chipukizi Taifa orodha ni ndefu mnaweza kuongeza haitoshi kwa watoto tu Malechela ni Mbunge na mke wake Anne ni Mbunge, Sita ni Mbunge na Spika Mke wake ni Mbunge na Waziri, Abdallah Kigoda ni Mbunge na dada yake Aisha Kigoda ni Mbunge na waziri wa Afya hata Amos Makala na mwanae sasa lipi la kushangaza kwa Januari Makamba ???
 
Kama wamejitokeza kugombea na wengine wamegoma kwa sababu tu wanashindana na watoto wa vigogo wakishinda tatizo ni nini ? Nae kagombee kama unasifa , unajua hao makamanda wanauwezo mkubwa sana wa kushinda huko mbeleni zaidi ya wengine wote hao wanalelewa hapo kama jk alivyolelewa kuwa hivi alivyo sasa kwahiyo na nyie kina kayumba leeni watoto wenu , wafundisheni wapeni nafasi mtaona
 
Sio mbaya aachiwe agombee kwakuwa ni haki yake kama mtanzania wananchi ndiyo watakuwa waamuzi kama wanamtaka au laa.

What we need is an open democracy, then anybody in the social can compete equally. Lakini sio some preveleged kid, kwenda sehemu na kusema eti sasa na yeye awe mmbunge.

This makes us question the person moral grounds and ignore all of his credentials as a potential good leader.

This guy is going to run on the constituency ambayo, the current MP is somehow vocal in the house in comparable to many who just go to sleep and collect their allowances.

We need these people ingawa their not 100% trustworthy, but they give out their best shots under the circumstances, in raising some of our social concerns in the house.

Sasa this guy january, to me personally by challenging this man he has already demonstrated where is interest lies politically. Need I say more, what would be the point.

All in all he still has the right to run for the sit, we might only speculate but he JM knows the real motives of his political ambitions. Lets hope a fair election his conducted na mwenye kushinda ashinde, but i truly berlieve Tanzania sasa ianze kupiga marufuku kutoa misaada wakati wa campaig hii inachangia kurudisha mafisadi or bringing in new ones.
 
Selemani smacks of Curtis if you ask me. Much too much, perhaps they are ideological cousins like Bluray and Kiranga.

GT usijitie hujui kusoma, au unarukia post ya mwisho tu?

Hapo naona umechelewa ku-figure out. Sie wengine tulishastuka kuanzia hapa kuanzia kwenye peji fifti samsin' hivi, tukaipata kwa uzuri hii picha ya kihindi inavoendelea.

😀 😀 😀 😀
 
Baada ya kuichunguza thread kwa makini nimeonelea sitaeleweka hivo nimeghairi kuyafungua yaliyokuwemo kwenye makabrasha yangu.
 
This guy is going to run on the constituency ambayo, the current MP is somehow vocal in the house in comparable to many who just go to sleep and collect their allowances.

We need these people ingawa their not 100% trustworthy, but they give out their best shots under the circumstances, in raising some of our social concerns in the house.

Kwahiyo apite bila kupingwa? Mawazo mufilisi sana hayo! Kama mtu amefanya makubwa watakaoamua ni wananchi.

Makamba na mtu mwingine yeyote ana haki ya kugombea full stop.

Hapa JF kila anayetaka kugombea hafai; nyie mnaofaa, nendeni basi mkagombee.
 
All in all he still has the right to run for the sit, we might only speculate but he JM knows the real motives of his political ambitions. Lets hope a fair election his conducted na mwenye kushinda ashinde, but i truly believe Tanzania sasa ianze kupiga marufuku kutoa misaada wakati wa campaig hii inachangia kurudisha mafisadi or bringing in new ones.

Jamani embu muchukue muda kusoma mpaka mwisho post za wenzenu especially kama una-quote others please.
 
- Wakuu watoto wa viongozi wana haki sawa kama watoto wa waongozwa kikatiba, na pia watoto wa matajiri wana haki sawa kama wa masikini kikatiba yetu, Tanzania hatuwezi kuanzisha sheria ya kuwakataza watoto wa viongozi kugombea uongozi, maana kama ninawaelewa vizuri wajumbe wengi katika hii thread, they are falling short calling for that yaani sheria ya kuzuia watoto wa viongozi kugombea uongozi.

- Ni mawazo ya hatari sana kwa wananchi kuwa nayo hasa waliosoma, na the so called exposed, ni mawazo ya kuligawa taifa na kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na viongozi wao na hasa watoto wao ni mawazo unprogressive na Tanzania hatuyahitaji, kwa sababu yakiwa entertained ni vigumu ku-draw the line, leo itakuwa watoto wa viongozi, kesho itakuwa wazee, keshokutwa itakuwa kinamama, and then itakuwa vilema, sasa where do you stop with this madness?

- Haya maneno ya eti mtoto wa Matumla ni lazima awe bondia kwa hiyo ndio mfano hai kwamba mtoto wa masikini akipewa uongozi ataendeleza umasikini ni maneno mabovu sana na ni matusi makubwa sana kwa jamii. JF tunatakiwa kushauri ideas ambazo zitasaidia taifa na creation ya new sound poilicies kwa the future of our nation, sasa what the government should take a note from this debate, kwamba tuanzishe sheria ya kuzuia watoto wa masikini au viongozi kugombea uongozi?

- It seems watu nowadays tunaanza ku-run out of ideas za kusaidia taifa letu, I mean a big and long thread, kulalamikia watoto wa wananchi wenzetu ambao hawajavunja sheria yoyote, wala kumuibia mtu zaidi tu ya kutumia haki zao za kikatiba kugombea uongozi, inasikitisha sana na infact inatisha sana, yaani kwa sababu wewe ni mtoto wa masikini basi uwe na more rights katika sheria zetu katika kufikiriwa kugombea uongozi, kuliko wengine kwa sababu ukiwa mtoto wa masikini utaendeleza umasikini kwenye taifa! Mnasema hizi ideas zinatolewa na those who are supposedly over-educated na intellectualls katika jamii yetu?

- Maneno mengi sioni popote ambapo walalamikaji wanashauri kwamba wapi ni the rightful place kwa watoto wa viongozi kufanya kazi, inaonekana wengi tunaamini kwamba ni watoto wa masikini tu ndio wanaoweza uongozi, sasa tuambieni ni nani waliolifikisha hili taifa hapa tulipo kama sio watoto wa hao hao masikini? Hii debate ni waste of time na ni nothing ila ubaguzi wa ajabu sana na tukiendelea hivi hili taifa tunakwenda pabaya sana, yaani Januari asitumie haki yake kikatiba kugombea uongozi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi Makamba, na mnasema haya maneno yanasemwa na watu walioenda shule tena wengiwao shule za nje, ambako watoto wa viongozi wapo kila kona za uongozi na hakuna tatizo lolote!

Inasikitisha sana wakuu, tuache kupanda mbegu za chuki na division kwa taifa letu, wananchi ndio waamue nani wanamtaka na nani hawamtaki kwa kutumia demokrasia tuliyonayo, yaani kupiga kura hakuna njia yoyote nyingine, hatuwezi kuanzisha sheria mbili katika taifa letu, moja ya watoto wa masikini na nyingine ya watoto wa matajiri, au ya watoto wa viongozi na ya watoto wa waongozwa, it does not make any sense!

Respect.

FMEs!
 
Go January,sasa shelukindo aliahidi ndo mwisho 2005 anataka nini tena?Jamani ila hizi kampeni za mapiipiki wakati watu wanaishi kwa dola moja,kweli watu wanahitaji ukombozi wa kifkira
 
Go January,sasa shelukindo aliahidi ndo mwisho 2005 anataka nini tena?Jamani ila hizi kampeni za mapiipiki wakati watu wanaishi kwa dola moja,kweli watu wanahitaji ukombozi wa kifkira

- Hayo ya pikipiki ni kweli mbona tumeomba ushahidi mpaka tumechoka hatuuoni? Januari aligawa pikipiki vyumbani, au wapi maana ingekuwa nje kama tunavyotegemea si mleta mada anasema alikuwepo, vipi akashindwa hata kuleta picha ya vyarahani?

- Hiii thread haijakaa sawa, ilitakiwa kuwa imehamishwa siku nyingi sana kutokuwepo hapa, maana hizi ni tetesi ambazo ni miezi sasa bado kuthibitishwa, au?

Es!
 
Baada ya kuichunguza thread kwa makini nimeonelea sitaeleweka hivo nimeghairi kuyafungua yaliyokuwemo kwenye makabrasha yangu.

It is not fair, we need to educate each other. I am asking questions based on reality sina tatizo na anything. Ila kuna tofauti ya watu, wengine they may even slap you! (thanks Jf we dont see each other). Kuna watu ukiwauliza wanakuona adui tu.That is dangerous inamfanya mtu anakuwa kipofu kwa sababu yuko upande mmoja I believe in the power of discussion, and reaching into agreement.

so please spit out, some will understand you some will not. we need to know behind this scene
 
- Wakuu watoto wa viongozi wana haki sawa kama watoto wa waongozwa kikatiba, na pia watoto wa matajiri wana haki sawa kama wa masikini kikatiba yetu, Tanzania hatuwezi kuanzisha sheria ya kuwakataza watoto wa viongozi kugombea uongozi, maana kama ninawaelewa vizuri wajumbe wengi katika hii thread, they are falling short calling for that yaani sheria ya kuzuia watoto wa viongozi kugombea uongozi.

- Ni mawazo ya hatari sana kwa wananchi kuwa nayo hasa waliosoma, na the so called exposed, ni mawazo ya kuligawa taifa na kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na viongozi wao na hasa watoto wao ni mawazo unprogressive na Tanzania hatuyahitaji, kwa sababu yakiwa entertained ni vigumu ku-draw the line, leo itakuwa watoto wa viongozi, kesho itakuwa wazee, keshokutwa itakuwa kinamama, and then itakuwa vilema, sasa where do you stop with this madness?

- Haya maneno ya eti mtoto wa Matumla ni lazima awe bondia kwa hiyo ndio mfano hai kwamba mtoto wa masikini akipewa uongozi ataendeleza umasikini ni maneno mabovu sana na ni matusi makubwa sana kwa jamii. JF tunatakiwa kushauri ideas ambazo zitasaidia taifa na creation ya new sound poilicies kwa the future of our nation, sasa what the government should take a note from this debate, kwamba tuanzishe sheria ya kuzuia watoto wa masikini au viongozi kugombea uongozi?

- It seems watu nowadays tunaanza ku-run out of ideas za kusaidia taifa letu, I mean a big and long thread, kulalamikia watoto wa wananchi wenzetu ambao hawajavunja sheria yoyote, wala kumuibia mtu zaidi tu ya kutumia haki zao za kikatiba kugombea uongozi, inasikitisha sana na infact inatisha sana, yaani kwa sababu wewe ni mtoto wa masikini basi uwe na more rights katika sheria zetu katika kufikiriwa kugombea uongozi, kuliko wengine kwa sababu ukiwa mtoto wa masikini utaendeleza umasikini kwenye taifa! Mnasema hizi ideas zinatolewa na those who are supposedly over-educated na intellectualls katika jamii yetu?

- Maneno mengi sioni popote ambapo walalamikaji wanashauri kwamba wapi ni the rightful place kwa watoto wa viongozi kufanya kazi, inaonekana wengi tunaamini kwamba ni watoto wa masikini tu ndio wanaoweza uongozi, sasa tuambieni ni nani waliolifikisha hili taifa hapa tulipo kama sio watoto wa hao hao masikini? Hii debate ni waste of time na ni nothing ila ubaguzi wa ajabu sana na tukiendelea hivi hili taifa tunakwenda pabaya sana, yaani Januari asitumie haki yake kikatiba kugombea uongozi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi Makamba, na mnasema haya maneno yanasemwa na watu walioenda shule tena wengiwao shule za nje, ambako watoto wa viongozi wapo kila kona za uongozi na hakuna tatizo lolote!

Inasikitisha sana wakuu, tuache kupanda mbegu za chuki na division kwa taifa letu, wananchi ndio waamue nani wanamtaka na nani hawamtaki kwa kutumia demokrasia tuliyonayo, yaani kupiga kura hakuna njia yoyote nyingine, hatuwezi kuanzisha sheria mbili katika taifa letu, moja ya watoto wa masikini na nyingine ya watoto wa matajiri, au ya watoto wa viongozi na ya watoto wa waongozwa, it does not make any sense!

Respect.

FMEs!

You have said like a man! this is real good to me

However, in this good post if you will scratch a little bit you will find many things that are not clear. Note that, since I started posting in this thread I have never said we dont need JM because of his father rather his merits and capability to leade people which no one have proved to me

These some Tanzanians even if are educated and they talk 'foolish' things is because they have experience

1. Ndiyo kizazi hiki kimekua na kushuhudia viongozi walewale in decades kwa mfano kingunge, n.k

2. ni kizazi kinachoona mambo yanaoendelea ndani ya CCM hasa kwenye machakato wa kumpata rais, kuna dirty politics nyingi na watu wanajua

3. Is the very same generation wanaoona jinsi CCM(bila aibu) wasivyochukua hatua kwa mafisadi

4.Ndiyo generation inayoona viongozi wa CCM wakiwa tunavyowaona leo

For sociologist point of view they have a term called "social license" if social will accept you, trust you and believe you then you have done something extraordinary. remember trust is a temporary thing

yanayowapata akina makamba Jn ni zile zile chuki ambazo huwezi ukazifuta kwa kuandika post hiyo! rather by real action from CCM, leo ukienda USA, South Africa still zile chuki za races zipo pale pale kwa sababu ya historia.This is how social is no matter they are educated or not

JM kutaka kuwa mgombea wa ubunge haina tatizo, nataka kujua huwa wanafanya mchakato gani? mathalan kuna mtu wa tofauti aliyejitokeza mbali ya January, walipitishwa na CCM right, je huo mchakato ulikuwa fair kiasi gani?

FMES hawa watanzania sio wajinga, wanajua kila kinachoendelea ndani ya CCM , watoto wa wakubwa wanapata favour na hizo kamati zinazowapitisha they do so even if they dont like kwa sababu ya influence ya wazazi wao

Kuna cases nyingi wakubwa wakisema fulani agombee hata kama kuna suitable ordinary people ambao wako capable hawapati hizo nafasi,hii ni ndani ya CCM.

Nakumbuka wakati Ngeleja anatuacha vodacom alisema wazee wamemwambia akagombee ubunge na ataupata tu! akaenda akaupata, je hakukuwa na watu suitable ambao watu wa kule wanataka awe kiongozi, usiseme mbona amachaguliwa! there could be another long talk

FMES you may be clean, good worker lakini chama unachokitetea ni cha mafisadi , na wewe unaingia humo, this is human nature ya kujudge haina elimu ya msingi wala chuo kikuu cha havard.society may judge you unfairly simply because you not in fair gound

Makovu ya CCM kwa miaka yote hii hayatafutika hata kama utajaza post. Lakini very same chama kingekuwa kina peform well usingesikia watu wanapiga kelele.

remember "social license"
 
Fine,

Then let's stop this bs kwamba Tanzania is a classless society, with eaqual access to all. We might as well declare black on black apartheid and put some people into some homelands while bestowing knighthood, Maharajahood and Sultanhood on others.Sheesh.

Tujue moja kwamba ukizaliwa katika familia ya mchimba chumvi you are almost certainly destined to be a mbeba chumvi, just like medieval europe.They used to call that "knowing your station in life". By the way mizizi ya racism, the Aryan nation, Nazism and all these white supremacy bullshyt theories are essentially rooted in the same theory. I thought Napoleaon, the enlightenment, the Revolutionary War, the Bolshevik, the rare and more benevolent aspects of Mao, and the Fabians, in our case, most notably by Nyerere took care of that.How wrong was I.

Hayo mawazo uliyoyatoa hapo juu ni hatari sana, kwa sababu deep underneath hayako progressive, yanajenga class and caste systems. Kama unavyotaka watu wasi-m judge January vibaya kutokana na pedigree yake, vile vile unatakiwa ujue kwamba watu hawatakiwi kum judge favorably kwa sababu ya pedigree yake. Kuna failures wengi - kina Hussein Mwinyi na Charles Nyerere- just to mention two, ambao wametoka katika hizi so called political pedigrees.

January Makamba inabidi awajibu wananchi kwamba alimaanisha nini aliposema "A million flies can't be wrong, they eat shit" huku akiwafananisha watanzania wanao vote against their interests (CCM) na a million flies who eat shit. Labda anaelewa kwamba CCM ni tatizo, lakini kama ni hivyo ametumiaje influence yake kubadili mambo? the fact kwamba baba yake ni party general secretary haiwezi kuwa ignored in this aspect.

Kama anafikiri CCM ndio tatizo kwa nini bado yuko humo?

Kama anaamini CCM ndicho chama bora, basi hatufai kabisa, especially kwa sababu hakuna appreciable change anazoweza kutuambia kwamba ka contribute significantly for the last five years.

If anything, the ascent of January is poised to produce another arrogant, good for nothing, drunk, entitlement ridden, self promoting courtier posing as policy wonk, a poor person's Mkapa (in the worst possible interpretation of the idion).

At least with the Kikwetes of this world, one can excuse them on the basis of their lack of cometency.

The Mkapas and Januarys of this world will drive us to a ditch with their political partisanship while actually possessing the ability to introduce not onlly radical political reforms, but Deng Xiaoping style economic reforms.

Mark my words, and if the server does not crash and erase all our posts, you wanna revisit this thread in 5 years.For I fear he will be elected and god forbid my worst nightmares will be realized.

Sperm lotterry my foot, more like cracpot genetics theories. Hell, even if you are right, if Yusufu Makamba is any example of how January will be then he is not the right person.

I hope I am wrong, but I cannot help butt feel the cynicism.

Kaka, I didn't say bongo is a classless society. As a matter fact we have the widest gap between rich and poor. And disparity of social services deliverance between rural and urban areas is huuge. All these (and other reason) contributes to stagnation of growth that we have been experiencing in some 40 years now. Yes, under CCM.

Look babu, my involvement in this whole debate was to point out two things. 1) JM has a right kama mtanzania kugombea ubunge wa chama chochote anachotaka 2) The author of this post katudanganya, hizo story za pikipiki na kuzomewa, he was stretching the truth too much to make this Makamba kid look bad.

If you believe in democracy, then lets hope folks in Bumbuli will not elect this kid that YOU think he is a radical. Otherwise makelele mengine ni kupotezeana muda. One more thing, when you criticize somebody so strongly like the way you did ("arrogant, good for nothing, drunk, entitlement ridden, self promoting courtier posing as policy wonk, a poor person's Mkapa") it is very important that you have the facts right. Because once civility is taken out of these political debates, then we are stopping arguing about the issues and get into personal bullshit--which is another waste of time.
 
Back
Top Bottom