CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

- Kila mwanachi ana haki ya kugombea uongozi, na kila mwananchi ana haki ya kujinadi wakati wa kampeni za uchaguzi huo, kuwa au kutokuwa mtoto wa kiongozi au wa masikini kama sio waongozwa haibadilishi anything,

- Maoni ya mwananchi mmoja humu JF sio ya wananchi wote kule Bumbuli, serious accusations kama za hii thread ni lazima ziambatane na some type of evidence au facts, otherwise ni waste of our valid time,

- Waliolifikisha hili taifa hapa lilipo ni watoto wa maskini sio wa viongozi, sasa hizi bakora itabidi tuanze na watoto wa masikini na baba zao, hili ni taifa la wananchi huru na ni la kibepari, sasa tusitishane as if kuwa masikini au mtoto wa masikini ndio kuwa na haki zaidi kikatiba kuliko kuwa mtoto wa tajiri au kiongozi, hizi ni empty thinking na hazina nafasi kabisa kwa taifa letu, kama ni rushwa tunajua imeanza lini Tanzania haikuanzishwa na watoto wa viongozi, kama ni umasikini wa wananchi haukuletwa na watoto wa viongozi waliouleta tunawajua sana, sasa please watu waache kutisha wengine hapa na empty b/s!

- Hili ni taifa la wananchi wote wa Tanzania, iwe mtoto wa masikini au wa tajiri au wa kiongozi wote ni wa-Tanzania na wote tuna haki sawa, kama ni bakora ni vyema tuanze na wale waliotufikisha hapa tulipo, yaani watoto wa masikini! Kilichotaka kusemwa katika kuanzisha hii thread, kimeshaonekana yaani chuki na wivu wa kujinga dhidi ya watoto wa viongozi wanaotuzidi maarifa, bahati mbaya sana hakuna katiba inayosema anything on that yaani watoto wa viongozi na wa masikini, sasa kam a tumeishiwa hoja ni vyema kuweka chini kalamu, badala ya kuanza kutishia wengine eti kwa sababu ni watoto wa viongozi, sometimes huwa tunaishia ku-reveal inferiority zetu I mean ni Great Thinker gani anayeogopa mtoto wa kiongozi, hii thread ni aibu kubwa sana kwa taifa! na wananchi wote wenye akili nyingi sana!

- Januari ana haki za kugombea na kujinadi kama katiba inavyosema, hakuna la kuongea wala kupunguza!

Respect.

FMEs!
 
j13.jpg
 
Field Marshall ES;aliandika

"Maoni ya mwananchi mmoja humu JF sio ya wananchi wote kule Bumbuli, serious accusations kama za hii thread ni lazima ziambatane na some type of evidence au facts, otherwise ni waste of our valid time"

Malafyale akaandika;

Usemayo ni kweli kabisa mkuu FMES wanaosema kuwa JM hawafai Bumbuli walete ushahidi wao tuuone!

Lkn na wewe FMEs please tuletee pia ushaidi unaoonyesha kuwa JM likely atawafaa wana Bumbuli kama unavyo jaribu kutuambia hapa kila siku:

JM ni smart

JM ka acomplish zaidi kulingana na umri wake

au hata hii kuwa JM ni msaidizi wa JK kwa hiyo "likely"atawafaa wana Bumbuli haina msingi wowote maana hata Balali au Ndulu walikuwa nje ya tz wakishika nafasi nono huko na kutupa imani kuwa watatusaidia sisi watz maskini walipoteuliwa lkn ndiyo leo hii hao hao wanakarabatiwa nyumba zao kwa dola milion 2.4 na kuliingiza Taifa kwenye kashfa ya EPA!So far,it has been confirmed that kuwa na nafasi nzuri serikalini au nje ya nchi sio kigezo cha kuja kuwa mtumishi bora ukipewa nafasi hiyo ama kwa kuteuliwa au kuchaguliwa!

Nani asiyejua elimu aliyonayo Rais Paul Kagame wa Rwanda hasa alipokatiza masomo yake nchini USA mwaka 1990 na kurudi kuongoza jeshi la waasi alipouawa rafiki yake General Rwigyema?Kagame haku-accomplish lolote darasani lkn je nani Rais anayehesabika kama kawaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi kifupi huku kwenye lakes zone?So far imethibitika pia kuwa ku-accomplish darasani sio ndiyo sababu ya kuwaletea wananchi maendeleo!

Majimbo kama Ludewa,au Rufiji yote yanaongozwa na maprofesa tena walikuwa smart sana wakati wanatelekeza kazi zao walizosomea(Profesa Mwalyosi na Profesa Mtulia Idris).Jimbo la Rorya lina Profesa Sarungi,waulize wakazi wa majimbo yao kuwa wamewafanyia nini kuwaletea maendeleo kwa kipindi walicho kaa bungeni,kwa hiyo basi kwa mifano hiyo hai u-smart ni irelevant na kazi ya Ubunge!

Kule jimbo la Buchosa wamemchagua Mchele Chitalilo Samwel kuwa Mbunge akiwa na elimu ya darasa la 7,ina maana na yeye ka accomplish nini kielimu hadi akashinda?Watz wanakuchagua tu kwa sababu zao tofauti na haya mambo ya Accomplishment.Unakumbuka Mbunge Ally Kihiyo wa Temeke alijiuzuru kwa sababu gani?

JM ninakuunga mkono kugombea Bumbuli kwa sababu tu anatimiza tamko la ndani ya katiba,kiutendaji yeye na wote watakao omba hawana tofauti kabisa labda Great thinkers yeyote aje hapa anieleze utofauti huo lkn hizi habari kama atawafaa Bumbuli kwa sababu ni smart,ka-accomplish vitu vingi kwa umri wake mdogo au kwa sababu ni msaidizi wa Rais nimezitupilia mbali kabisa!
 
- Mkuu Malafyale, mimi ninasimamia haki ya kikatiba ya Januari kugombea nafasi yoyote ya uongozi anayoitaka, na pili ninasema ana haki za kikatiba kujinadi as much as affordable kwake by our law of the land.

- Elimu anayo tena kubwa na pia ana ukaribu sana na viongozi wa juu wa taifa na pia amekua katika mazingara ya uongozi wa juu wa taifa, hizi ni facts ambazo hata useme yote unayoyasema huwezi kuzibadili, sasa uamuzi utakwua ni wananchi wa jimbo sio wewe wala mimi huku JF.

Nani asiyejua elimu aliyonayo Rais Paul Kagame wa Rwanda hasa alipokatiza masomo yake nchini USA mwaka 1990 na kurudi kuongoza jeshi la waasi alipouawa rafiki yake General Rwigyema?Kagame haku-accomplish lolote darasani lkn je nani Rais anayehesabika kama kawaletea maendeleo wananchi wake kwa kipindi kifupi huku kwenye lakes zone?So far imethibitika pia kuwa ku-accomplish darasani sio ndiyo sababu ya kuwaletea wananchi maendeleo!
- Ndio maana hatuelewani, hivi mkuu Hitler hakuwaletea maendeleo wananchi wake pamoja na kwamba hakuwa na shule kubwa, swali ni je alileta maendeleo yale kwa mgongo wa nani? Aliua wananchi Millioni Sita wasio hatia, sasa na wewe kweli Great Thinker bila hata ya aibu unadikiri kumsifia kiongozi anayeleta maendeleo ambayo kwanza ni conditioned na kwa gharama ya mgongo wa vifo vya wananchi karibu Millioni moja, wewe kweli unaona huyu ndiye mfano wa kuigwa? Ndio maana hatuelewani mkuu na huu mjadala! Mimi kwanga Kagame ni a muuaji ambaye it is a matter of time kabla hajatinga the Haque kwa hiyo huu mfano mkuu ni batili to the ishu ya Januari na elimu yake!

Majimbo kama Ludewa,au Rufiji yote yanaongozwa na maprofesa tena walikuwa smart sana wakati wanatelekeza kazi zao walizosomea(Profesa Mwalyosi na Profesa Mtulia Idris).Jimbo la Rorya lina Profesa Sarungi,waulize wakazi wa majimbo yao kuwa wamewafanyia nini kuwaletea maendeleo kwa kipindi walicho kaa bungeni,kwa hiyo basi kwa mifano hiyo hai u-smart ni irelevant na kazi ya Ubunge!
- Wamekua wabunge kwa muda gani sasa mkuu mbona wanachaguliwa kila baada ya miaka mitano, again hapo hakuna hoja ni yale yale wewe unaona nini na mimi ninaona nini, hao wabunge uliowataja wanaheshimika sana na wananchi wao, mbunge ambaye alikuwa haheshimiki alikuwa ni Ntagazwa na wananchi walimpuzisha, wale wote walioko bungeni sasa hivi wanakubalika sana na wananchi wao, again ni mfano batili na the ishu ya Januari!

Kule jimbo la Buchosa wamemchagua Mchele Chitalilo Samwel kuwa Mbunge akiwa na elimu ya darasa la 7,ina maana na yeye ka accomplish nini kielimu hadi akashinda?Watz wanakuchagua tu kwa sababu zao tofauti na haya mambo ya Accomplishment.Unakumbuka Mbunge Ally Kihiyo wa Temeke alijiuzuru kwa sababu gani?
- Now what has this have anything to do na Januari? Kama wananchi flani wamechagua kiongozi bila kuwa na elimu haina maana kila jimbo ni lazima lirudie huo upuuuzi, again hii haina anything to do na Januari!

JM ninakuunga mkono kugombea Bumbuli kwa sababu tu anatimiza tamko la ndani ya katiba,kiutendaji yeye na wote watakao omba hawana tofauti kabisa labda Great thinkers yeyote aje hapa anieleze utofauti huo lkn hizi habari kama atawafaa Bumbuli kwa sababu ni smart,ka-accomplish vitu vingi kwa umri wake mdogo au kwa sababu ni msaidizi wa Rais nimezitupilia mbali kabisa!

- Mkuu kutupilia kwako anything hakuongezi wala kupunguza anything, Januari sasa hivi ni msaidizi wa Rais wa jamhuri, amesoma kisomo kikubwa sana, amefanya mengi sana makubwa kwa umri wake! Tizama hapa chini yaani wewe tupilia mbali au karibu, lakini huwezi pigana na huu wasifu wa kijana mdogo sana, hebu soma tena mkuu:-

Wasifu wa Januari Makamba.

1. Mr. January Y. Makamba
, Chair of the Africa Working Group at the Institute for Conflict Analysis and Resolution (ICAR), Fairfax, Virginia.

2. Recipient of the Brenda Rubenstein Scholarship at ICAR, Mr. Makamba is also an International Organization Fellow of the UN Association and Intern at the Academy for Educational Development in Washington D.C.A MS degree in Conflict Analysis and Resolution from George Mason University will be awarded in May 2004,

3. following his BA degree in Peace and Conflict Studies from Saint John's University (Minnesota) in 2002.

4. Mr. Makamba
worked for AFRICARE as Assistant Camp Manager of the Mtabila II Refugee Camp, Kasulu, Tanzania from 1995 to 1997, where he oversaw the management of a camp of more than 60,000 Burundian refugees.

5. Later he worked summers as a Protection Assistant/Intern with the UNHCR Sub-Office in KasuluThe Carter Center (2002), and as a Researcher/Intern in the Ministry of Foreign Affairs of Tanzania, researching conflicts in the Great Lakes region of Africa as they relate to national policy (2003).

6. Mr. Makamba
(2001), as an Election Observer/Human Rights Intern in Atlanta and Sierra Leone with has built an extensive network of activists in politics and civil society in East and Central Africa.

7. Asisstant to the President of Tanzania, since 2005 to this date
.

- Sasa mkuu wewe tupilia mbali kijana mdogo mwenye huu wasifu, ila sisi wengine wapenda maendeleo tunampigia debe na kuona atawasaidia sana wananchi wa Bumbuli, na ndio demokrasia yaani kukubali kupingana, ni haki yako kama ilivyo yangu, na ninasisitiza kwamba:-

- Januari ana haki ya kugombeaa nafasi yoyote ya uongozi Tanzania ni haki yake kikatiba, na pia ni haki yake kujinadi kulingana na siasa za kibepari tunazozifuata Tanzania ya leo!

Respect.

FMEs!
 
FMEs aliandika

"Sasa mkuu wewe tupilia mbali kijana mdogo mwenye huu wasifu, ila sisi wengine wapenda maendeleo tunampigia debe na kuona atawasaidia sana wananchi wa Bumbuli, na ndio demokrasia yaani kukubali kupingana, ni haki yako kama ilivyo yangu"

Malafyale anajibu:

Mkuu maneno yako kwenye habari niliyokunukunuru hapo juu yananifanya nifunge rasmi kuchangia mada hii maana umesema wazi kabisa kuwa kila mtu ana uhuru wa ku express hoja zake;kwa kweli ni maneno mazito na ya kidemokrasia na namtakia mafanikio mema JM na ubunge wa Bumbuli lkn ningekuwa mm napiga kura huko ni wazi ASINGEPATA KURA YANGU maana sijashawishikika bado ni vipi angeisaidia Bumbulis!

Respect mkuu,tupingane bila kupigana!

- Mimi ninashawishika kwamba huyu kijana mdogo sana aliyekwisha fanya mambo makubwa sana, atawasaidia sana huko Bumbuli, saalam zao mkuu mimi bado nipo hapa mpaka kieleweke! Bwa! ha! ha! ha! bado ninasimamia principle hapa ya haki ya Januari kugombea ubunge!

Respect.

FMEs!
 
naona kampeni zimeanza kupamba moto....Kumbe January Makamba anagombea ubunge..mbona hatangazi rasmi?
mwandishi wa habari anasema january ni chaguo la wananchi baada ya kuchoshwa na mze shelukindo.....ila ameshindwa kumpata january kuthibitisha kgombea....
nazani hii ni hatua nzuri kw vijana kujitokeza....kama ni kweli mzee tangaza tukupe shavu....

kidumu chama cha mapinduzi.....
 
Umpe shavu akubusu au unataka kumblow?

Andika vizuri.
 
Afadhali Januari atangaze mapema tumsaidie akampumzishe huyo mzee aliye jichokea na anataka kufia bungeni!
 
Habari haitoi picha kwa watu ambao hamjui January Makamba kuchangia kwa ufasaha.
Tunaomba habari kuhusu huyu jamaa na full CV yake.
 
Habari haitoi picha kwa watu ambao hamjui January Makamba kuchangia kwa ufasaha.
Tunaomba habari kuhusu huyu jamaa na full CV yake.

Moja ya quotable quotes zake ni.

"A million flies eat shyt, they can't all be wrong"

Akimaanisha the million flies ni watanzania and the eating of shyt is voting for CCM.

Mtu mwenye dharau kwa wananchi kama hivi anatakia nini ubunge?
 
Mtu mwenye dharau kwa wananchi kama hivi anatakia nini ubunge?

Ukisema kuwa jamaa anadharau utaambiwa una get "personal" na kumwonea wivu. Na sijui kwa nini mtu umwonee wivu mbunge yeyote wa Tanzania.
 
Ukisema kuwa jamaa anadharau utaambiwa una get "personal" na kumwonea wivu. Na sijui kwa nini mtu umwonee wivu mbunge yeyote wa Tanzania.

Hapo sasa, mtu akiingia bungeni na dharau kama hii unafikiri zikija deal za kifisadi ataziachia? Kwanza haogopi kuwekwa accountable, kwa sababu anadharau employers wake, wananchi.

Wewe unafikiri kwa nini Mkapa alikuwa anakwapua deals za Kiwira with impunity? Greed na dharau, greed inamsukuma kuiba, dharau inamwambia wewe ni Mkapa, hakuna wa kukufuatilia nchi hii.

Mwisho wake rais ambaye angetakiwa kuwa na bonge la legacy katika kukusanya kodi na ku contain inflation tunamkumbuka kwa ufisadi.

Ndiko anakoelekea January huko. Entitlement, untouchability, impunity, elitism etc.

So palpably thick you could cut it with a knife.

Ndiyo new generation of leaders hii, kama mlifikiri Masha ana nyodo you folks ain't seen nothing yet.
 
Moja ya quotable quotes zake ni.

"A million flies eat shyt, they can't all be wrong"

Akimaanisha the million flies ni watanzania and the eating of shyt is voting for CCM.

Mtu mwenye dharau kwa wananchi kama hivi anatakia nini ubunge?

Umerudi tena

Quote from where?

uliambiwa ulete ushahidi kuwa January alisema/aliandika maneno hayo umeshindwa

let it go man, unazidi kujidhalilisha maana JF style ni KUMKOMA NYANI GILADI na suitegemee useme kitu bila kuja na evidence za kuback up your claims

Tuletee ushahidi kuwa January Makamba alisema maneno hayo Tafadhali!!!!
 
Hapo sasa, mtu akiingia bungeni na dharau kama hii unafikiri zikija deal za kifisadi ataziachia? Kwanza haogopi kuwekwa accountable, kwa sababu anadharau employers wake, wananchi.

Wewe unafikiri kwa nini Mkapa alikuwa anakwapua deals za Kiwira with impunity? Greed na dharau, greed inamsukuma kuiba, dharau inamwambia wewe ni Mkapa, hakuna wa kukufuatilia nchi hii.

Mwisho wake rais ambaye angetakiwa kuwa na bonge la legacy katika kukusanya kodi na ku contain inflation tunamkumbuka kwa ufisadi.

Ndiko anakoelekea January huko. Entitlement, untouchability, impunity, elitism etc.

So palpably thick you could cut it with a knife.

Ndiyo new generation of leaders hii, kama mlifikiri Masha ana nyodo you folks ain't seen nothing yet.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=WLsHP94bvXs[/ame]
 
Ndo huyu niliyesikia anatunga hotumba za kizembe-zembe kwa Rais. Kama hawezi kuandika hotuba, live oral anaiweza au ni sifa ya kupitia jina la baba?

Ndo maana wengi tunakuwa negative after short past poor performance which was basically an IQ test.
 
Umerudi tena

Quote from where?

uliambiwa ulete ushahidi kuwa January alisema/aliandika maneno hayo umeshindwa

let it go man, unazidi kujidhalilisha maana JF style ni KUMKOMA NYANI GILADI na suitegemee useme kitu bila kuja na evidence za kuback up your claims

Tuletee ushahidi kuwa January Makamba alisema maneno hayo Tafadhali!!!!

Nenda kwa Mihayo wa Youngafrican.com, tafuta kwenye archives kuna mtu alikuwa na handle ya "Curtis".
 
Habari haitoi picha kwa watu ambao hamjui January Makamba kuchangia kwa ufasaha.
Tunaomba habari kuhusu huyu jamaa na full CV yake.

Never expect a useful CV for any position at a national Level.

He is one of those ineligible who has been handpicked, upraised for big position in place of eligible intelligent people.

Just listen to those poorly constructed summaries of events, a.k.a. speeches from the statehouse and you will know who this person is.
 
Back
Top Bottom