Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Bado Yanga walitulliza kichwa aisee
Hela kwetu zipo kwenye ukoo kabla ya mkoloni kufika Tanganyika sisi tuna hela na jina.Tafuta hela Kamanda ili ufaidi mema ya Nchi! Wenzako wanatafuna mpaka kuzalisha kabisa. Wewe unaishia tu kusifia.
Wewe Ni utoporoHizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..
Tumepigwa simba wenzangu
Hujaipenda ile ambayo ina misukule ?Mimi nimeipenda ile yenye picha ya Barbara kifuani
Nimependa zilivyo na mitindo kwenye mikunjo ya shingo na mikono zilivyochanganywa rangi nyekundu na nyeupe.
Mimi nimeipenda ile yenye picha ya Barbara kifuani
Si ndio iyo misukule ya MOHujaipenda ile ambayo ina misukule ?
Hiyo yetu haina misukule naona yenu imejaa wale majamaa wa kwenye movie ya wrong turn waliofanana na manaraSi ndio iyo misukule ya MO
IPO yenye picha ya barbara na nyuma yupo MO na Magori, yaani Magori ameshika chupa ya MO energy anakunya nayo ni official kit ya msimu huu.Hiyo yetu haina misukule naona yenu imejaa wale majamaa wa kwenye movie ya wrong turn waliofanana na manara
Kama ni kweli kuwa hizi ndio jezi mpya za SIMBA SPORTS CLUB (SSC) za 2021/2022 basi watani wao watachekea jangwani au vipi!?