Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Designer wa hizo jezi amezingua sana, mpangilio wa rangi hauna mvuto kabisa. Bora zile za jangwani unaweza kwenda nayo hata ukweni
 
Inshort Simba wame-copy na ku-paste jezi za Tunisia za 2019 wazilzovaa kwenye michuano ya Afcon
1630735765904.png

1630735785968.png

Vunjabei amewafanya vibaya Simba
 
Back
Top Bottom