Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

20210903_16403446439.jpg

Chek madude hayo KANYIMBI
 
Hizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..

Tumepigwa simba wenzangu
Mama j fc mmeanzaa...sasa!!!
 
Hizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..

Tumepigwa simba wenzangu
Malaya kalala na ukoo wako!unaitaje mtoto wa MTU malaya?!! Dada zako ,mama zako,shangazi zako nao Malaya pia!
Jifunze kuheshimu watu wewe!!!!
Ushabiki wa Simba na Yanga ndo uite mtu Malaya!
Malaya wewe na ukoo wenu mzima!!!
 
kiufupi hujaelewa umekurupuka..
Ni sawa pia
 
Kwa mara ya kwanza, Wife kanitumia Picha ya Mobeto ananiambia nataka uninunulie Jezi kama hii aliyovaa Hamisa. Halafu ananiuliza eti na mimi nitapendeza kama Mobeto?

Nilichogundua ni kwamba watu wanavyozisema eti zimevuja kumbe ndio wanazitangaza!

Hivyo nawapa hongera zao Vunja bei kwa kuvujisha mzigo kabla haujaanza kuuzwa. Pia kongole kwa kutengeneza jezi maalum kwa wanawake- Dunia nzima nyie ni wabunifu wa kwanza
 
Back
Top Bottom