Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

IMG_20210903_142648.jpg
 
Kujadili jezi wakati umekosa ubingwa miaka minne mfululizo ni uzw*zwa.

Huyo mwenye jezi nzuri zilimsaidia je mbele ya K. Kapumbu?.
 
Habari zenu wanajukwaa!

Ningependa kufahamu kuwa endapo Mo Dewj angeweka Tangazo moja kwenye jezi ya Simba angepata hasara yoyote kibiashara?
Mimi naona hizi Mo 29, Mo Foundation n.k ..angezitafutia jina Moja pekee kwenye jezi.

Au matangazo mengi badala ya moja(lenye uwakilishi) yanamnufaisha vip huyu bwana mkubwa.

Wataalamu wa biashara naomba mnisaidie hapo
 
Back
Top Bottom