Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Ningependa kufahamu kuwa endapo Mo Dewj angeweka Tangazo moja kwenye jezi ya Simba angepata hasara yoyote kibiashara?
Mimi naona hizi Mo 29, Mo Foundation n.k ..angezitafutia jina Moja pekee kwenye jezi. Au matangazo mengi badala ya moja(lenye uwakilishi) yanamnufaisha vip huyu bwana mkubwa. Wataalamu wa biashara naomba mnisaidie hapo

1630671438281.png
 
☝️☝️☝️☝️
nadhani comment ya January Makamba hapo juu imeshakujibu
 
Wanasimba wenzangu

Ni lini tutavumilia uhuni, utapeli,wizi,ujambakuzi, uchawi, tunaofanyiwa na mwamedi?

Licha ya kututengenezea jezi feki ambazo zinafaa kuitwa matambala na hata kudekia hazifai, lakini bado anaendesha team kiunjanja

Mpaka lini hali hii? Tumechoka kuchekwa na wenzetu yanga wenye jezi za viwango..

Binafsi sitonunua tambala hili linalifanana na nyanya pamoja na MO energy.

Nikiwa kama simba damu nimefadhaika sana na sitonunua takataka hii.

Mo atuachie team yetu.

Screenshot_20210903-150408.jpg
 
Angeweka tangazo moja, na hela ni yake?
anavyolipia matangazo kwanini husemi aweke million moja pekee.?
 
Yanga mna shida sana, baki huko huko Kwenye jezi nzuri
 
Sisi siyo limbukeni wa Jersay kazi mnayo nyinyi Vibwengo FC aka Gongowazi
Na kwa kuwa mmetoka kuwa gongo wazi hatuwashangai povu likiwatoka kwenye Jersay.

mmeweka misukule katika Jersay mpaka imempa mihemko mama j akaenda kuosha rungu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]povu la nini kwenye team isiyo kuhusu utakuwa baba kiherehere na utasuswa na kuja kuwa mchawi mubaya huko mbeleni
umbeya suna...uchawi nao ni kipaji 😆 😆 😆
 
Habari zenu wanajukwaa!
Ningependa kufahamu kuwa endapo Mo Dewj angeweka Tangazo moja kwenye jezi ya Simba angepata hasara yoyote kibiashara?
Mimi naona hizi Mo 29, Mo Foundation n.k ..angezitafutia jina Moja pekee kwenye jezi.
Au matangazo mengi badala ya moja(lenye uwakilishi) yanamnufaisha vip huyu bwana mkubwa.
Wataalamu wa biashara naomba mnisaidie hapo

Jibu ni rahisi tu, Na wewe toa hela uwekeze pale Simba utaweza kuweka hata Majna yako ya Ukoo kwenye Jezi ya Simba na hakuna wa kumuuliza.

Lakini kama huna Hela wacha kulialia na Waliotoa Mabilioni yao utaonekana Kichaa tu.
 
Jezi ya Simba Iko poa sana, lazima niitafute huu uzi
 
Back
Top Bottom