Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Hasa Hilo MO foundation limechafua jezi halikuwa na umuhimu bana hapo angeachwa vunja bei. Sasa Mimi navaaje jezi imeandikwa Mo foundation inahusikaje na team. Watoe hayo matangazo loh
Usibebwe na mawazo ya Manara, wadhamini ndio wanaolipa fedha zinazosaidia kuendesha timu. Kama hutaki kuvaa, wapo watakaovaa
 
Hizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..

Tumepigwa simba wenzangu
Mkuu nahisi kama zimekunjwa tu hizo.
 
Mimi shabiki kindakindaki wa Simba. Ila kwa hizi jezi tuwe wakweli ni utopolo tu. Afadhali hata za mwaka jana ukiachilia mbali matangazo.

Kwenye jezi yanga wametupiga bakora, ila bahati mbaya sana hawatabeba chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani wewe ndiye Mwenye Akili kuliko Mtu yeyote aliyepost kwenye Uzi huu
IMG-20210903-WA0087.jpg
 
Uto bhana! Wanavyoreply utadhani kuna Mshabiki wa Simba alitegemea kuwa Yanga atasifia Jezi ya Simba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom