Wanasimba wenzangu
Ni lini tutavumilia uhuni, utapeli,wizi,ujambakuzi, uchawi, tunaofanyiwa na mwamedi?
Licha ya kututengenezea jezi feki ambazo zinafaa kuitwa matambala na hata kudekia hazifai, lakini bado anaendesha team kiunjanja
Mpaka lini hali hii? Tumechoka kuchekwa na wenzetu yanga wenye jezi za viwango..
Binafsi sitonunua tambala hili linalifanana na nyanya pamoja na MO energy.
Nikiwa kama simba damu nimefadhaika sana na sitonunua takataka hii.
Mo atuachie team yetu.
View attachment 1922379