Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

Alichovaa hamisa na walichovaa wachezaj wasimba kinachofanan ni rangi na matangazo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1630657435026.png

Hapa bei yake ikoje?
 
Hizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..

Tumepigwa simba wenzangu
 
Tafuta hela Kamanda ili ufaidi mema ya Nchi! Wenzako wanatafuna mpaka kuzalisha kabisa. Wewe unaishia tu kusifia.
Hela kwetu zipo kwenye ukoo kabla ya mkoloni kufika Tanganyika sisi tuna hela na jina.
Babu yangu R.I.P ni mmoja wa waasisi wa Sunderland(Simba) na alimpatia nusu ya fedha swahiba wake wa karibu wakili msomi mzee Rashid Bob Makani akanunua Benz miaka iyo.ni basi tu watu tunaficha id zetu.
 
Hizi picha zimeeditiwa sana kwa jezi ni mbovu na hazifai kuitwa matambala
Hzo za kike nadhani ni wadangaji na malaya, mtu mdada mwenye heshima hawezi kubaki kitovu nje..

Tumepigwa simba wenzangu
Wewe Ni utoporo
 
Hiyo yetu haina misukule naona yenu imejaa wale majamaa wa kwenye movie ya wrong turn waliofanana na manara
IPO yenye picha ya barbara na nyuma yupo MO na Magori, yaani Magori ameshika chupa ya MO energy anakunya nayo ni official kit ya msimu huu.
 
Back
Top Bottom