Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Unataka akalie kanisani jumapili?!Naomba tufungwe magoli mengi!
Kila kitu ni siasa mkuuDaa mpira wetu umetawaliwa na siasa sasa
Makonda anawakilisha tabia za Watanzania wengiMaana yake nini hii? kwamba Kikosi kwenye mechi ya kwanza hakikuwa bora? Huyu Bashite hana adabu. Unaweza kushanaga leo na yeye yupo pale benchi la ufundi
Hakuna matataNaomba tufungwe magoli mengi!
Waache siasa kwenye mpira, amuache kocha afanye kazi yake!
hahahaha;Unataka akalie kanisani jumapili?!
Na kikosi atapanga kwa mujibuTayari kocha ashakuwa na shinikizo
Hahaha hahahahahahaha;
mama ake Ume kuwa kasumbufu siku hizi.
Leo tutakuwa lindo pamoja mpaka mpira utakapoishi;
ewaaaaaaaa mpira wetu umeingiliwa mama akeWaache siasa kwenye mpira, amuache kocha afanye kazi yake!
Na soka letu limeingiliwa sio kidogo!ewaaaaaaaa mpira wetu umeingiliwa mama ake
Natamanigi niwe na kuona kwenyeHahaha hahaha
Usijali, lindo ni letu sote!!
Jamaa huwa analiaga sana jamanii! Hata kama kosa ni lake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamanigi niwe na kuona kwenye
Ma sports sports uku kama shedeya na shunie.