Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram.

Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa.

Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda hapo ni kama nani kwenye benchi la ufundi? Amunike ana madhaifu yake lakini pia na sisi tuna yetu tu na makubwa sana. Halafu hii timu ikiitwa " Timu ya Taifa ya Awamu ya 5 " kuna watu mnachukia? Tusubirie dk 90.


Screenshot_20190627-170830_Instagram.jpeg
 
Maana yake nini hii? kwamba Kikosi kwenye mechi ya kwanza hakikuwa bora? Huyu Bashite hana adabu. Unaweza kushangaa leo na yeye yupo pale kakaa kwenye benchi la ufundi. Yaani tunaleta politiki na mambo ya kipuuzi kwenye soka
 
Ila ikitokea Stars imepata matokeo swali litakuwa,kwani Makonda alicheza?

Tukipoteza lawama zote kwake as if alicheza

Amunike akipangiwa kikosi anatakiwa abwage manyanga tukifungwa akataja kupangiwa kikosi ataonekana zwazwa na ni doa kwenye career yake kukubali huo ujinga

Kwanza hawajibiki kwenye kamati ya hamasa or Makonda
 
Back
Top Bottom